Princess misa
New Member
- Dec 1, 2019
- 1
- 3
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spinal cord opp zake huwa ni utata. Unaambiwa unaweza ishi ukawa zezeta au ukawa huwezi kuongea au ukafia kwenye opp table. Watu tunatatizo la hivyo lakini madaktari wote wamesema opp will be the last resort halafu mtu anakuja na mambo ya uchawi????? Seth asingefanyiwa opp labda angeweza kuishi kwa matumaini labda kama alikuwa na maji kwenye uti wa mgongo. Mtu anayeamini uchawi ujue kwao ni wachawi tena waliokubuhu.Sina cha kukueleza
Ila wewe ni mpumbavu
Yaaan ni cheap wasted sperm
Inasikitisha Sana Aiseee,Mara ya Mwisho niliona mahojiano yake na Hoyce Temu kwenye Capital TV Mimi na Tanzania alikuwa yupo fresh tu!!Mdogo wa Marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara,DSM alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo,Abela ambaye ni Dada wa Marehemu amethibitisha.
#RIPNduguYetu🙏🏽
Source:millardayo.com
She is stupid achana naeSpinal cord opp zake huwa ni utata. Unaambiwa unaweza ishi ukawa zezeta au ukawa huwezi kuongea au ukafia kwenye opp table. Watu tunatatizo la hivyo lakini madaktari wote wamesema opp will be the last resort halafu mtu anakuja na mambo ya uchawi????? Seth asingefanyiwa opp labda angeweza kuishi kwa matumaini labda kama alikuwa na maji kwenye uti wa mgongo. Mtu anayeamini uchawi ujue kwao ni wachawi tena waliokubuhu.
Well said sis.Usiwe na mawazo ya hvyo ndugu,kila nafsi itaonja mauti siku yake ikifika. Huyo amefariki baada ya kuugua mda mrefu of which hua inatokea kwa watu wengne pia so sio kifo cha ajabu.
Hizi tabia za Kiswahili swahili umezipata wapi wewe mfu?She is stupid achana nae
Wewe unaweza ua mwanao?