TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

Sina cha kukueleza

Ila wewe ni mpumbavu

Yaaan ni cheap wasted sperm
Spinal cord opp zake huwa ni utata. Unaambiwa unaweza ishi ukawa zezeta au ukawa huwezi kuongea au ukafia kwenye opp table. Watu tunatatizo la hivyo lakini madaktari wote wamesema opp will be the last resort halafu mtu anakuja na mambo ya uchawi????? Seth asingefanyiwa opp labda angeweza kuishi kwa matumaini labda kama alikuwa na maji kwenye uti wa mgongo. Mtu anayeamini uchawi ujue kwao ni wachawi tena waliokubuhu.
 
Mdogo wa Marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara,DSM alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo,Abela ambaye ni Dada wa Marehemu amethibitisha.
#RIPNduguYetu🙏🏽
Source:millardayo.com
Inasikitisha Sana Aiseee,Mara ya Mwisho niliona mahojiano yake na Hoyce Temu kwenye Capital TV Mimi na Tanzania alikuwa yupo fresh tu!!
 
Spinal cord opp zake huwa ni utata. Unaambiwa unaweza ishi ukawa zezeta au ukawa huwezi kuongea au ukafia kwenye opp table. Watu tunatatizo la hivyo lakini madaktari wote wamesema opp will be the last resort halafu mtu anakuja na mambo ya uchawi????? Seth asingefanyiwa opp labda angeweza kuishi kwa matumaini labda kama alikuwa na maji kwenye uti wa mgongo. Mtu anayeamini uchawi ujue kwao ni wachawi tena waliokubuhu.
She is stupid achana nae
 
Back
Top Bottom