Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hapa umeigaR.i.p little twins
Nipo mkuumama D, habari ya leo
Innaaa lillaaah wainnaaa ilaih raaajiunSiku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha
Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena.
Natoa pole kwa National Anthem pamoja na familia yake kwa ujumla. Tukiwa kama wanachama wenzake, tutumie comment box au PM kumfariji na kumpa pole.