TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Waache kupendelea upande mmoja tu, wawe na story ambazo ziko balanced
 
Trust None,
Mi nadhani hatuna haja ya kupata hizi details, kwa wakati huu..zinakusaidia Nini..Cha msingi wewe fuata masharti ya wataalam fullstop. Tafuta kazi ya kufanya ufanye usianze kuwapa watu hofu hapa isiyokuwa na mbele Wala nyuma.

After all wote tutakufa ni Nani ambaye hatakufa.kumbuka binadamu wote ni mavumbi tuu na mavumbini tutarudi..tumeumbwa kwa udongo jomba..dongo linatusubiri jomba sisi ni Nani hasa...sali kwa Mungu wako uombe rehema.
 
Hapo kwenye kidoti cha Gloria unamaanisha nini ?, Kwamba sio yeye au ?, na hizo habari za watangazaji kuzuiliwa umezipata toka same source ya kidoti ?,

Kama kweli wamewazuia ni pracaution nzuri.., kinga ni bora kuliko kuponya...
 
Kidoti sio wanja, acha ushamba wako. Ni alama iliyoko mwilini isiyotoka. Sasa mtu anajufumbua macho bado unabaki na ukaidi wako. Kwahiyo kidoti cha Mwegelo ni wanja au?
mkuu kidoti sio issue, wanawake baadhi huweka wanja kwenye vidoti vyao sasa siku umkute hajapaka wanja unaweza usikione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wataalamu bongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumwombe Mungu ainusuru nchi yetu. Tusiombeane mabaya. COVID-19 haina mipaka. Kama iko TBC, kila Mtanzania yuko katika hatari. Siyo TBC tu.
 
Inaonyesha jomba utaishi milele..Safi sana..endelea na jokes zako
maoni yako na muono wako, haukatazwi kuyatoa, ila usidharau ya kwangu maana ni muono wangu na maoni yangu, pole sana sana kama umekwazika!
 
Kidoti sio wanja, acha ushamba wako. Ni alama iliyoko mwilini isiyotoka. Sasa mtu anajufumbua macho bado unabaki na ukaidi wako. Kwahiyo kidoti cha Mwegelo ni wanja au?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu,umeshindwa kuniuliza nikujibu vizuri mpaka uniite mshamba ? kuwa mstaarabu, sijaandika hivo kwamba sijui, yupo mtu namfahamu ana kidoti ila sio cheusi sana mpaka hua anakipaka wanja, akipiga picha bila kukiwekea wanja hakionekani ila ukiwa naye ukamuangalia karibu kama hajapaka wanja ndio unakiona.

una uelewa mdogo sana maana mimi nimezungumzia baadhi ya watu lakini wewe umedhani mimi nimeongelea kila mtu sasa jokate anahusika vipi na comment yangu ? kwani mimi simjui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…