TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Jamani angalieni hii video ya Ecuador nchi ambayo ni kama sisi kiuchumi
Makaburi yamejaa watu wanazikimbia maiti za wapendwa wao mitaani

Hatari sana, wananchi mitaani na hata wale watoa huduma sekta ya afya Tanzania hawajui kama wameambukizwa bila ya kuwa na dalili lakini wanaendelea kuusambaza ktk jamii kama alivyosema Mh. Ummy Mwalimu kuwa sasa tishio ni maambukizi ya ndani ktk jamii.
 
Ni kupindi kifupi tu Hospitali zetu zitazidiwa hadi zicollapse

Tuweke siasa pembeni tumuite Prof Janabi aongoze mapambano
 
Swala la msingi hiyo Corona hapo TBC iliingiaje? Maana imezoa watu wamejazana Mloganzila!

Pia inasemekana madame Ritha naye yupo Mloganzila maana alikutana na Joseph siku chache zilizopita. Mambo ni magumu kweli. Hapo TBC iliingiaje?
Tatizo mkuu una madini ila unashindwa kuyatema..
 
MACCM nayo yanapata na yanakufa na Corona, wala siamini. Nikikumbuka kauli na matendo yao dhidi yetu hasa mweneziCCM. napata raha sana.
Mungu anisamehe.
 
Mkuu unafaa kuwa detective
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakiwaweka Quarantine nani atamrusha jiwe akitambaa juu ya mawe?
Mpwa kulikuwa na party gani, mi nilikuwa busy for the past few days sijui chochote. Na Kama Marine alikuwa na COVID 19 kwa nini serikali haijasema chochote? Na kwa nini wasiwaweke quarantine wafanyakzai wa TBC ili wawaponye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MACCM nayo yanapata na yanakufa na Corona, wala siamini. Nikikumbuka kauli na matendo yao dhidi yetu hasa mweneziCCM. napata raha sana.
Mungu anisamehe.
Mwenezi naye yupo Mlonganzila?
 
TBCCM inajiendesha kienyeji ni TV iliyokosa weledi mbinu mpya hawana watu wabunifu tena waliopo wamekuwa watumwa wa Lumumba wanafanya kazi kwa zidumu fikra za polepole ni Aibu chombo kikubwa cha kitaifa kufanya kazi kwa zidumu fikra za mtu binafsi

Kasome Tanzania Daima. Afu Rudi hapa. Sema neno. Fuatilia BBC. Then come hapa. Fuatilia Foxy News. Then come. At the end of the day unavyomwongelea Baba yako, Ni tofauti na watakavyomwongelea majiranl zako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…