Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Kifupi ni kwamba hakuna kampuni au mtu binafsi anayeruhusiwa kumiliki siraha automatic(inayojikoki yenyewe)
Isipokuwa vyombo vya ulinzi na usalama. S A R na kuendelea.
 
Kongosho kasema AK 47 hairuhusiwi.

Uko sahihi. Jibu langu lilimhusu member aliyeuliza: MALIMA aliibiwa silaha gani kule hotelini Moro? Ndipo nikataja hizo. Of course kisheria raia haruhusiwi kumiliki silaha za kivita kama SMG, MG, SAR, AK 47 na nyinginezo
 
Mundu na hengo pia!!!!
 
Mm nina miliki pepper spray na taser nilinunua pale Tanganyika arms unapewa risiti ambayo inakuwa kama kibali kwako.
 
Hii ni silaha ya aina gani mkuu?

Ni pilipili iliyo katika hali ya kimiminika ambayo imefungashwa kwenye kopo kama la dawa ya mbu. Mtu akikuletea za kuleta unampulizia usoni kama unavyopuliza dawa ya mbu.
 
Ni pilipili iliyo katika hali ya kimiminika ambayo imefungashwa kwenye kopo kama la dawa ya mbu. Mtu akikuletea za kuleta unampulizia usoni kama unavyopuliza dawa ya mbu.

Nimeipenda hiyo,,wapi inapatikana?
 
Kifupi ni kwamba hakuna kampuni au mtu binafsi anayeruhusiwa kumiliki siraha automatic(inayojikoki yenyewe)
Isipokuwa vyombo vya ulinzi na usalama. S A R na kuendelea.

uongo huu!
 
tafuta kama ile aliyotumia Ditopile
 
Bongo tunabaniwa sana nilifuatilia umiliki wa kifaru nikaambiwa sheria haziruhusu bahati yao.!
 
Bongo tunabaniwa sana nilifuatilia umiliki wa kifaru nikaambiwa sheria haziruhusu bahati yao.!

Mbona wapo kibao tu hata mbugani,we kamkamate tu wanapenda mikate we nenda na mkate tu wanakufuata hadi home!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…