Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Kifupi ni kwamba hakuna kampuni au mtu binafsi anayeruhusiwa kumiliki siraha automatic(inayojikoki yenyewe)
Isipokuwa vyombo vya ulinzi na usalama. S A R na kuendelea.
 
Kongosho kasema AK 47 hairuhusiwi.

Uko sahihi. Jibu langu lilimhusu member aliyeuliza: MALIMA aliibiwa silaha gani kule hotelini Moro? Ndipo nikataja hizo. Of course kisheria raia haruhusiwi kumiliki silaha za kivita kama SMG, MG, SAR, AK 47 na nyinginezo
 
Bisi bisi
Viwembe
Kisu
Panga
Jambia
Mshale na upinde, tena wenye sumu
Mkuki
Manati
Kombeo
Mtarimbo
Nondo
Tindikali(mmh, labda dil Haidrokloc acid, conc hairuhusiwi, wala Sulphuric acis hairuhusiwi)
Rungu

Bunduki sasa, tunaruhuriwa gobole, na yale ya polisi, AK47 no
Bastola iwe bomba moja, bomba mbili hapana.

Mie namiliki zote hizo, isipokuwa mabunduki na bastola.


Mundu na hengo pia!!!!
 
Mm nina miliki pepper spray na taser nilinunua pale Tanganyika arms unapewa risiti ambayo inakuwa kama kibali kwako.
 
Hii ni silaha ya aina gani mkuu?

Ni pilipili iliyo katika hali ya kimiminika ambayo imefungashwa kwenye kopo kama la dawa ya mbu. Mtu akikuletea za kuleta unampulizia usoni kama unavyopuliza dawa ya mbu.
 
Ni pilipili iliyo katika hali ya kimiminika ambayo imefungashwa kwenye kopo kama la dawa ya mbu. Mtu akikuletea za kuleta unampulizia usoni kama unavyopuliza dawa ya mbu.


Nimeipenda hiyo,,wapi inapatikana?
 
Wanajamvi hususani wenye ufahamu wa mambo ya silaha, ningependa kujua ni aina
gani ya silaha ambazo tunaruhusiwa kumiliki kihalali sisi Watanzania?

Napenda sana ile silaha ambayo unaweza kumlenga mtu aliye mbali SNIPER RIFLE sina uhakika
kama ndivyo inavyoitwa lakini naiona ni mzuri sana kwa ulinzi,

Mwisho naomba kujua bei za hizo silaha na gharama zake katika usajili.

tafuta kama ile aliyotumia Ditopile
 
Bongo tunabaniwa sana nilifuatilia umiliki wa kifaru nikaambiwa sheria haziruhusu bahati yao.!
 
Bongo tunabaniwa sana nilifuatilia umiliki wa kifaru nikaambiwa sheria haziruhusu bahati yao.!

Mbona wapo kibao tu hata mbugani,we kamkamate tu wanapenda mikate we nenda na mkate tu wanakufuata hadi home!!!!
 
Back
Top Bottom