Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
Uwe na akili timamu.
Nenda polisi kituo kilicho karibu nawe watakuelekeza kila kitu.
Kama uko Dar nenda Makao pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaratibu wa kumiliki silaha Bongo unaweza kusema uliwaambia unataka kumiliki silaha ili ukavanmie Ikulu! In short, ukishajaza fomu, inaanzia kwenye Serikali ya Mtaa kabla ya kwenda ngazi ya kata na hatimae wilayani na kisha mkoani ambako maamuzi yanaenda kuidhinishwa na vigogo wa polisi na usalama wa taifa!Nenda polisi kituo kilicho karibu nawe watakuelekeza kila kitu.
Kama uko Dar nenda Makao pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikoani utaanzia kwa watendaji mtaa halafu unapitsha katani. Then Kuna makaratasi ya kujaza police . Ukiwa umeishainunua Lakini na unaiacha dukani na namba zake zinatumika ktk makaratasi hayo ya police.Wajemeni eeh
Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia!
Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko!
Najua humu kuna wengi tu wanaomiliki silaha kikazi, na wanaomiliki silaha kwa sababu kama zangu mie,..tatizo sijui "a" wala "be" nianzie wapi, meaning sheria na taratibu zikoje Bongo kumiliki silaha, hivi kuna duka la silaha Bongo?
Wapi?
Mfano; nikipata semi auto M92 Beretta yenye uwezo wa rounds 12 au 15 inatosha, au kuna 'limit' ya silaha ya aina gani naruhusiwa kuwa nayo? natamani kuagiza nje lakini nahofia nisijebanwa na sheria za uingizaji silaha...
Sheria ya umiliki wa Bunduki Tanzania