Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Msaada wa bei tasafaliWe nenda kalipie Dukani kisha chukua risit zako tembea nazo wakati wa kufwatilia vibalii
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada wa bei tasafaliWe nenda kalipie Dukani kisha chukua risit zako tembea nazo wakati wa kufwatilia vibalii
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hiyo ithibati sasa laah!
Kwa haya maelezo yako tu, tayari huna sifa za kumiliki aina yoyote ile ya silaha ya moto. Lengo kuu la kumiliki silaha ni kwa ajili ya kujilinda! Na siyo kuondoa hizo dhuluma hapa duniani.Wakuu hbr za jioni??. Natamani Sana kumiliki silaha ya moto, Matharani bunduki au hata Bastola, maana duniani kumejaa Dhuluma.Sasa naomba msada wenu kujua utaratibu ukoje??.km vile gharama zake,n.k.
Basi dhuluma zikome,na haki ipatikane mo,kwa watoa haki.Kwa haya maelezo yako tu, tayari huna sifa za kumiliki aina yoyote ile ya silaha ya moto. Lengo kuu la kumiliki silaha ni kwa ajili ya kujilinda! Na siyo kuondoa hizo dhuluma hapa duniani.
Mahakama na polisi ndiyo wenye jukimu hilo! Na siyo wewe. Hatutakia ya Hamza kuendelea kujirudia kwa kigezo cha kuondoa dhuluma duniani.
Mm niongezee swali, ukishaipata huwa mafunzo ya kuitumia yanatolewa na naniWakuu hbr za jioni??. Natamani Sana kumiliki silaha ya moto, Matharani bunduki au hata Bastola, maana duniani kumejaa Dhuluma.Sasa naomba msada wenu kujua utaratibu ukoje??.km vile gharama zake,n.k.
Kwa haya maelezo yako tu, tayari huna sifa za kumiliki aina yoyote ile ya silaha ya moto. Lengo kuu la kumiliki silaha ni kwa ajili ya kujilinda! Na siyo kuondoa hizo dhuluma hapa duniani.Wakuu hbr za jioni??. Natamani Sana kumiliki silaha ya moto, Matharani bunduki au hata Bastola, maana duniani kumejaa Dhuluma.Sasa naomba msada wenu kujua utaratibu ukoje??.km vile gharama zake,n.k.
Mkuu hapa duniani hakuna haki! Haki iko Mbinguni. Vumilia tu! Hakuna namna. Ukishindwa kuvumilia, basi utajikuta unaangukia kwenye kundi la akina Hamza.Basi dhuluma zikome,na haki ipatikane mo,kwa watoa haki.
Kwa sasa ni mali ga jeshiHivi bastola ya hamza ilipatikana?
Tunaogopa kukushauri. Achana na huo mpango.Wakuu hbr za jioni??. Natamani Sana kumiliki silaha ya moto, Matharani bunduki au hata Bastola, maana duniani kumejaa Dhuluma.Sasa naomba msada wenu kujua utaratibu ukoje??.km vile gharama zake,n.k.
Nenda ofisi ya wizara ya mambo ya ndani utapewa mwongozo..Wakuu hbr za jioni??. Natamani Sana kumiliki silaha ya moto, Matharani bunduki au hata Bastola, maana duniani kumejaa Dhuluma.Sasa naomba msada wenu kujua utaratibu ukoje??.km vile gharama zake,n.k.
Uoga wanini,mbona wao hawaogopi kufanya wayafanyayo?Tunaogopa kukushauri. Achana na huo mpango.
Naenda keshoNenda ofisi ya wizara ya mambo ya ndani utapewa mwongozo..
Barua ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa..
Barua au cheti cha daktari cha uzima wa akili yako...
Kitambulisho cha uraia...
Wadhamini wasiopungua 3....
Uwe hajawahi shtakiwa....
Any way nisikupe vyote wee nenda maelezo utayakuta huko
Jaribu njia nyingine, mfano uchawi/ushirikina kwani ni safe zaidi.Wakuu hbr za jioni??. Natamani Sana kumiliki silaha ya moto, Matharani bunduki au hata Bastola, maana duniani kumejaa Dhuluma.Sasa naomba msada wenu kujua utaratibu ukoje??.km vile gharama zake,n.k.
Wasted na Wakupuliza nawafananisha kwani mnahusiana kivyovyote?Nenda ofisi ya wizara ya mambo ya ndani utapewa mwongozo..
Barua ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa..
Barua au cheti cha daktari cha uzima wa akili yako...
Kitambulisho cha uraia...
Wadhamini wasiopungua 3....
Uwe hajawahi shtakiwa....
Any way nisikupe vyote wee nenda maelezo utayakuta huko
Mzee Mpili nawewe umo?Jaribu njia nyingine, mfano uchawi/ushirikina kwani ni safe zaidi.
Kama una uhakika umedhulumiwa, nenda kwa wataalamu wakusaidie lolote unalotaka. Unaweza kuanzia hapa ukapata clues kisha ukaingia kazini..
Kupambana na dhuluma kwa njia ya mttutu wa bunduki kwa bongo hii bado sana. Bado hatuna magundi wa kufanya hizo kazi kwa weledi unaotakiwa. Kama unafikiria njia hiyo, labda uhamie nchi zenye umafia kama US au Mexico. Huko utafanikiwa.
Hi hayo tu kwa leo.