Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Wakuu hbr za jioni??. Natamani Sana kumiliki silaha ya moto, Matharani bunduki au hata Bastola, maana duniani kumejaa Dhuluma.Sasa naomba msada wenu kujua utaratibu ukoje??.km vile gharama zake,n.k.
Kwa haya maelezo yako tu, tayari huna sifa za kumiliki aina yoyote ile ya silaha ya moto. Lengo kuu la kumiliki silaha ni kwa ajili ya kujilinda! Na siyo kuondoa hizo dhuluma hapa duniani.

Mahakama na polisi ndiyo wenye jukimu hilo! Na siyo wewe. Hatutakia ya Hamza kuendelea kujirudia kwa kigezo cha kuondoa dhuluma duniani.
 
Nyakati hizi za uzao undava undava ni muhimu sana kuwa na hiyo kitu.
 
Kwa haya maelezo yako tu, tayari huna sifa za kumiliki aina yoyote ile ya silaha ya moto. Lengo kuu la kumiliki silaha ni kwa ajili ya kujilinda! Na siyo kuondoa hizo dhuluma hapa duniani.

Mahakama na polisi ndiyo wenye jukimu hilo! Na siyo wewe. Hatutakia ya Hamza kuendelea kujirudia kwa kigezo cha kuondoa dhuluma duniani.
Basi dhuluma zikome,na haki ipatikane mo,kwa watoa haki.
 
Wakuu hbr za jioni??. Natamani Sana kumiliki silaha ya moto, Matharani bunduki au hata Bastola, maana duniani kumejaa Dhuluma.Sasa naomba msada wenu kujua utaratibu ukoje??.km vile gharama zake,n.k.
Kwa haya maelezo yako tu, tayari huna sifa za kumiliki aina yoyote ile ya silaha ya moto. Lengo kuu la kumiliki silaha ni kwa ajili ya kujilinda! Na siyo kuondoa hizo dhuluma hapa duniani.

Mahakama na polisi ndiyo wenye jukimu hilo! Na siyo wewe. Hatutakia ya Hamza kuendelea kujirudia kwa kigezo cha kuondoa dhuluma duniani.

Basi dhuluma zikome,na haki ipatikane mo,kwa watoa haki.
Mkuu hapa duniani hakuna haki! Haki iko Mbinguni. Vumilia tu! Hakuna namna. Ukishindwa kuvumilia, basi utajikuta unaangukia kwenye kundi la akina Hamza.
 
Wakuu hbr za jioni??. Natamani Sana kumiliki silaha ya moto, Matharani bunduki au hata Bastola, maana duniani kumejaa Dhuluma.Sasa naomba msada wenu kujua utaratibu ukoje??.km vile gharama zake,n.k.
Tunaogopa kukushauri. Achana na huo mpango.
 
Wakuu hbr za jioni??. Natamani Sana kumiliki silaha ya moto, Matharani bunduki au hata Bastola, maana duniani kumejaa Dhuluma.Sasa naomba msada wenu kujua utaratibu ukoje??.km vile gharama zake,n.k.
Nenda ofisi ya wizara ya mambo ya ndani utapewa mwongozo..
Barua ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa..
Barua au cheti cha daktari cha uzima wa akili yako...
Kitambulisho cha uraia...
Wadhamini wasiopungua 3....
Uwe hajawahi shtakiwa....
Any way nisikupe vyote wee nenda maelezo utayakuta huko
 
Naenda kesho
 
Jaribu njia nyingine, mfano uchawi/ushirikina kwani ni safe zaidi.

Kama una uhakika umedhulumiwa, nenda kwa wataalamu wakusaidie lolote unalotaka. Unaweza kuanzia hapa ukapata clues kisha ukaingia kazini..

Kupambana na dhuluma kwa njia ya mttutu wa bunduki kwa bongo hii bado sana. Bado hatuna magundi wa kufanya hizo kazi kwa weledi unaotakiwa. Kama unafikiria njia hiyo, labda uhamie nchi zenye umafia kama US au Mexico. Huko utafanikiwa.

Hi hayo tu kwa leo.
 
Wasted na Wakupuliza nawafananisha kwani mnahusiana kivyovyote?
 
Jaribu njia nyingine, mfano uchawi/ushirikina kwani ni safe zaidi.

Kama una uhakika umedhulumiwa, nenda kwa wataalamu wakusaidie lolote unalotaka. Unaweza kuanzia hapa ukapata clues kisha ukaingia kazini..

Kupambana na dhuluma kwa njia ya mttutu wa bunduki kwa bongo hii bado sana. Bado hatuna magundi wa kufanya hizo kazi kwa weledi unaotakiwa. Kama unafikiria njia hiyo, labda uhamie nchi zenye umafia kama US au Mexico. Huko utafanikiwa.

Hi hayo tu kwa leo.
Mzee Mpili nawewe umo?
 
Back
Top Bottom