Hatua dhidi ya Slaa zichukuliwe, kwa nini akae na silaha kwenye mkutano?Katika uchaguzi mdogo uliopiata kule Ugunga kuna Mbunge alionekana wazi wazi akiwa na Bastola, na baadae alipigwa faini ya 100,000.00 kwa kosa la kuonekana kwa bastola yake katika mkutano wa hadhara; hata hivyo sijasikia habari kwamba kuna chombo chochote kilichokamata ile bastola yake na kuikagua kama ina risasi ngapi na kama amamilki kihalali au la.
Jana amekamatwa Kiongozi wa chama cha upinzani katika kile kilichodaiwa kukusanyika bila kibali akiwa na bastola ambayo ilishilkiliwa na polisi kukaguliwa na kuhakikiwa kama inamilikiwa kihalali na ikaonyeshwa hata kwenye TV, ambapo iligindulika bastola ilikuwa na risasi 7 na in hati miliki. Hii ishu ikawa habari muhimu sana kwenye baadhi ya vyombo vya habari! Yani kama vile jambazi kakamatwa na silaha inayomilikiwa kinyume na utaratibu.
Hivi kwani suala la kumiliki silaha hapa TZ likoje? Upatikanaji wake ukoje? Taratibu za kuipata zikoje? Managent yake imekaaje kisheria?
Hatua dhidi ya Slaa zichukuliwe, kwa nini akae na silaha kwenye mkutano?
Nadhani ni vema nikaweka kumbukumbu sahihi
1. Dr Slaa hakukamatwa na kukutwa na bastola. Dr Slaa alikuwa ndani ya Fuso wakati mabomu ya machozi yalipoanza kupigwa majira ya saa 10.45 alfajiri. Nilikaa ndani ya gari hadi majira ya saa 12.15 nilipotoka mwenyewe.
2. Nilikabidhi bastola yangu kwa hiari yangu kwa mujibu wa sheria ndiyo maana swala la bastola haliko kwenye kesi waliyonifungulia.
3. Jioni nilipopewa mdhamana nikarudishiwa bastola yangu kwa kuwa ninaimiliki kihalali.
Wewe ni una upungufu wa kujua sheria kwa hyo kaa na ujinga wako hvyohvyo,haujiulizi kwann hao Police hawakufungua kesi inayohusiana na yeye kukutwa na siraha? Bata wewe
1. Afadhali umetoa ufafanuzi wewe mwenyewe. Baadhi yetu humu hatuendi mbali katika uchambuzi wa taarifa.
2. Poleni sana kwa yanayoendelea kutokea, kama kawaida taarifa kutoka ndani ya Chama bado ni hafifu. Watu wa Publicity waongeze kasi ya kufafanua mambo katika vipindi vigumu kama hivi, vinginevyo wananchi wanapumbazwa na propaganda za upande wa pili.
Sawa Dr. umefanya vizuri kutoa huo ufafanuzi. Poleni na unyanyasaji mnaofanyiwa na vyombo vya dola na hasa polisi ambao ni wazi hawako huru katika utendaji wao bali wapo kwa kupokea amri kutoka chama cha magamba na viongozi wao.Nadhani ni vema nikaweka kumbukumbu sahihi
1. Dr Slaa hakukamatwa na kukutwa na bastola. Dr Slaa alikuwa ndani ya Fuso wakati mabomu ya machozi yalipoanza kupigwa majira ya saa 10.45 alfajiri. Nilikaa ndani ya gari hadi majira ya saa 12.15 nilipotoka mwenyewe.
2. Nilikabidhi bastola yangu kwa hiari yangu kwa mujibu wa sheria ndiyo maana swala la bastola haliko kwenye kesi waliyonifungulia.
3. Jioni nilipopewa mdhamana nikarudishiwa bastola yangu kwa kuwa ninaimiliki kihalali.
ni wazi huoni double standards kwa kuwa UWEZO WAKO WA KUFIKIRI NI MDOGO, SILAHA YA DR SLAA NI HALALI NA ALIIKABIDHI MWENYEWE, LAKINI POLISI WALIPOITA WAANDISHI WA HABARI WALITANGAZA KUWA AMEKAMATWA NA SILAHA AS IF HAIMILIKI KISHERIA. HAPO NDIPO DOUBLE STANDARD ILIPO.hizi kesi mbili zipo tofauti, Rage alikuwa anahutubia mkutano halali (uliombwa) na akaonekana na silaha (halali) akiionyesha hadharani akapigwa faini. Dr. Slaa kama alivyosema mwenyewe alikamatwa kwa kosa la kuwa na mkusanyiko usio halali alikabidhi silaha yeye mwenyewe na baadaye akarudishiwa. mimi sioni double standard unayoongelea hapo
hizi kesi mbili zipo tofauti, Rage alikuwa anahutubia mkutano halali (uliombwa) na akaonekana na silaha (halali) akiionyesha hadharani akapigwa faini. Dr. Slaa kama alivyosema mwenyewe alikamatwa kwa kosa la kuwa na mkusanyiko usio halali alikabidhi silaha yeye mwenyewe na baadaye akarudishiwa. mimi sioni double standard unayoongelea hapo
Katika uchaguzi mdogo uliopiata kule Ugunga kuna Mbunge alionekana wazi wazi akiwa na Bastola, na baadae alipigwa faini ya 100,000.00 kwa kosa la kuonekana kwa bastola yake katika mkutano wa hadhara; hata hivyo sijasikia habari kwamba kuna chombo chochote kilichokamata ile bastola yake na kuikagua kama ina risasi ngapi na kama amamilki kihalali au la.
Jana amekamatwa Kiongozi wa chama cha upinzani katika kile kilichodaiwa kukusanyika bila kibali akiwa na bastola ambayo ilishilkiliwa na polisi kukaguliwa na kuhakikiwa kama inamilikiwa kihalali na ikaonyeshwa hata kwenye TV, ambapo iligindulika bastola ilikuwa na risasi 7 na in hati miliki. Hii ishu ikawa habari muhimu sana kwenye baadhi ya vyombo vya habari! Yani kama vile jambazi kakamatwa na silaha inayomilikiwa kinyume na utaratibu.
Hivi kwani suala la kumiliki silaha hapa TZ likoje? Upatikanaji wake ukoje? Taratibu za kuipata zikoje? Managent yake imekaaje kisheria?
hizi kesi mbili zipo tofauti, Rage alikuwa anahutubia mkutano halali (uliombwa) na akaonekana na silaha (halali) akiionyesha hadharani akapigwa faini. Dr. Slaa kama alivyosema mwenyewe alikamatwa kwa kosa la kuwa na mkusanyiko usio halali alikabidhi silaha yeye mwenyewe na baadaye akarudishiwa. mimi sioni double standard unayoongelea hapo
Bastola ilikuwa na risasi 7, maana yake alipanga kuua watu saba na kusingizia kuwa polisi ndio walioua. Huyu mtu anastahili kwenda jela kati ya miaka Miwili mpaka mitano.
Tusikilizie, maana kuna tetesi kuwa Silaha nyingi zimeletwa mkoani Arusha na Moshi toka KENYA NA SOMALI IKISADIKIWA KUWA ZINAMILIKIWA NA CHADEMA.
Katika uchaguzi mdogo uliopiata kule Ugunga kuna Mbunge alionekana wazi wazi akiwa na Bastola, na baadae alipigwa faini ya 100,000.00 kwa kosa la kuonekana kwa bastola yake katika mkutano wa hadhara; hata hivyo sijasikia habari kwamba kuna chombo chochote kilichokamata ile bastola yake na kuikagua kama ina risasi ngapi na kama amamilki kihalali au la.
Jana amekamatwa Kiongozi wa chama cha upinzani katika kile kilichodaiwa kukusanyika bila kibali akiwa na bastola ambayo ilishilkiliwa na polisi kukaguliwa na kuhakikiwa kama inamilikiwa kihalali na ikaonyeshwa hata kwenye TV, ambapo iligindulika bastola ilikuwa na risasi 7 na in hati miliki. Hii ishu ikawa habari muhimu sana kwenye baadhi ya vyombo vya habari! Yani kama vile jambazi kakamatwa na silaha inayomilikiwa kinyume na utaratibu.
Hivi kwani suala la kumiliki silaha hapa TZ likoje? Upatikanaji wake ukoje? Taratibu za kuipata zikoje? Managent yake imekaaje kisheria?
Kama una ndugu Somalia ni rahisi kupata toka kwa Al shabaab. Huku bongo unaanza kuhonga mwenyekiti wa mtaa hadi mkuu wa wilaya, unawalipa na posho ya vikao vya kukujadili. Kama uko vizuri kuhonga ndani ya wiki moja unamiliki kama nilivyofanya mimi.