Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Kumiliki silaha ya moto uleta ushawishi wa kuitumia either itakuua wewe au mke.
Kama unataka kununua silaha nunua mpya.
Used kama ilishawahi ua ni lzm utaua.
Na ukiua mtu umewasha bluetooth on maisha yako yote.
 
 
Na kweli M42 pia uwe umeshiba wakati unafyatua. Hiyo .45 ACP H&K USP inakitako kikubwa, handling yake mgogoro, sitaki dubwana linalo 'bulge' kwenye nguo.

Nini ushauri wako kuhusu Sig sauer P250 9para, au TAURUS slim 9para? ...all in all ni silaha ya self defence tu... not less than 12 rounds, ukivamiwa na mwenye AK-47 si unajua tena yeye 'ananyeshea mvua' tu mpaka magazine yake iishe.
Silaha ni timing na confidence yako tu na sio ubora wa silaha
 
Wajemeni eeh

Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia!

Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko!

Najua humu kuna wengi tu wanaomiliki silaha kikazi, na wanaomiliki silaha kwa sababu kama zangu mie,..tatizo sijui "a" wala "be" nianzie wapi, meaning sheria na taratibu zikoje Bongo kumiliki silaha, hivi kuna duka la silaha Bongo?

Wapi?

Mfano; nikipata semi auto M92 Beretta yenye uwezo wa rounds 12 au 15 inatosha, au kuna 'limit' ya silaha ya aina gani naruhusiwa kuwa nayo? natamani kuagiza nje lakini nahofia nisijebanwa na sheria za uingizaji silaha...








Sheria ya umiliki wa Bunduki Tanzania


chazachaza njoo usome huu uzi utakupatia maarifa zaidi kuhusu umiliki wa silaha. Watu wengi kwenye uzi wako hawaelewi wanakupotosha tu.
 
Kwa ajili ya kujilinda, nahitaji kuwa na bastola.
Naomba utaratibu wa kuinunua na kuimiliki.
 
Fuata Muongozo.

IMG-20220604-WA0005.jpg
 
Tembelea duka la silaha: Tanganyika Arms pale Stesheni au Mzinga duka LA jeshi Upanga. Huko watakujuza AINA mbalimbali za silaha. Lipia silaha uliyochagua, kisha waachie wakutunzie hadi upatapo KIBALI. Kisha NENDA ofic ya OCD wilaya unayoishi atakupa fomu za Maombi ya kumiliki silaha.
 
Back
Top Bottom