Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Is this level of stupidity taught or natural?Mbunge wa Kinondoni (CCM), Tarimba Abbas amesema Serikali haioni haja ya kuweka sharti la kisheria la watoto wakubwa kuwatunza wazazi wao wasiojiweza.
Akizungumza Bungeni Leo Jumatano Januari 28,2025 Tarimba amesema katika mataifa mengine kuna sheria za lazima kwa watoto kuwalea wazazi wao lakini Tanzania ina sheria ya lazima kwa wazazi kuwalea watoto, hivyo akaomba ipelekwe haraka bungeni sheria hiyo ili iwalazimishe watoto kuwatunza wazazi wao. Huku akipendekeza pia Serikali ikajifunze hilo kwenye mataifa yanayotumia sheria hiyo namna inavyofanya kazi.
Zaidi: Mbunge Ndakidemi ataka kutungwe sheria ya kuwalazimisha watoto kuwatunza wazazi wao wakiwa wazee
Hii ni mara ya pili hoja hiyo kuibuka bungeni, kwani katika Bunge la 12, hoja kama hiyo iliibuliwa na aliyekuwa Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba ambaye alitaka itungwe sheria kwa ajili ya kuwabana watoto wawatunze wazazi wao.
Kuna mtu alimtuma huyo mzazi kuzaa ,? Mzazi alipaswa ajipange uzeeni ataishi vipMnaokataa na nyie mtazeeka
Toto umelihangaikia linakutelekeza kwenda kula bata na malaya
Sheria za kijinga jinga kama hizo zitawaibua wazazi wa hovyo kwa kasi .Wapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate,
Anyway, back to topic, leo naongea na wote mlio U40, mmejiandaaje na uzee? Umejiandaaje kuzeeka pindi ambapo mwili utakuwa hautaki tena kufanya kazi? Kipind ambacho trip za Hospital zitakuwa kila wiki? Kipind ambacho chululu haisimami tena na maziwa yamelala kama ndala za lodge? 😂😂
Watu wengi tunasema nitafanya biashara nikistaaf, au wengine tunafungua maduka, ila kazi ya kusimamia maduka na biashara ni ngumu inayohitaji damu inayochemka,
Wengine wanasema watajenga nyumba ili wawe...
- Beberu
- elimu ya uchumi masoko ya hisa utt amis uwekezaji
- Replies: 112
- Forum: Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
Inabidi ipitishwe na sheria kali , kama hauna uwezo wa kumjengea mtoto mazingira mazuri ya kufanikiwa ni marufuku kuzaa.Muswada wa kitahira kama huu ukipitishwa nakuambia wahuni wote wataanza kufyatua mitoto kama tofali lengo waje kulelewa uzeeni .
Hiyo sheria sio kabisa ,nawaza leo kuna wazazi watoto wao wasipowatumia hela ni ugomvi vipi sheria ikiwapa nguvu kudai hiyo haki mbona vijana watafia jela wazee
Wee msaidie mzee wako, tusipangiane matumiziHii sheria ni nzuri, watoto nao watunze wazazi kama wao walivyotunzwa wakiwa wadogo. Utakuta kuna wazee wanageuka ombaomba huku wakiwa na watoto wala bata hawajali wazazi wao. Umri unapokuwa mkubwa mzee hawezi tena kukimbiakimbia kufanya mishe za kupata mkate, huo ni umri wa kupumzika na kula shushu za watoto
Namna hiyo kaka .Inabidi ipitishwe na sheria kali , kama hauna uwezo wa kumjengea mtoto mazingira mazuri ya kufanikiwa ni marufuku kuzaa.
Is this level of stupidity taught or natural?
Ulilazimishwa umzae !?Mnaokataa na nyie mtazeeka
Toto umelihangaikia linakutelekeza kwenda kula bata na malaya