Taswira ya Yesu anayehubiriwa ni tofauti na Yesu halisi

Umeuliza maana ya hori nimekujibu kwa Kiswahili maana yake na nimekupa link ya wikipedia dictionaty au unataka mpaka Niwaite BaKITA kina sigara
Labda aje kiranga ( Mr thibitisha) atanishinda kwa ubishi ila sigara haniwezi
 
Kwani mzee habari za UUMBAJi biblia ilizipataje wakati Musa ndo mwandishi wa kwanza wa biblia na amezaliwa miaka 3500 baada ya Uumbaji?
Moses hakuandika kitabu alipewa yoke yenye amri 10 ilio adikwa na alie mpa na hakumuona isitoshe hajui nani aliandika kama unabisha siku ukikutana nae haven muulize atakupa majibu marthawa.
 
Moses hakuandika kitabu alipewa yoke yenye amri 10 ilio adikwa na alie mpa na hakumuona isitoshe hajui nani aliandika kama unabisha siku ukikutana nae haven muulize atakupa majibu marthawa.
Amri kumi Nazijua vizuri vipi kuhusu Vitabu vitano vya Musa au na vyenyewe mkuu ni vya kufoji 😅
 
Yesu alisema waniabuduo halisi wataniabudu katika roho na kweli. Sio picha, wala chochote. Kumbuka amri ya kwanza ya Mungu inasema,”Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa kwenye nyumba ya utumwa, usiabudu miungu mingine, usifanye sanamu ya kuchonga wala mfano wa chochote kilicho juu mbinguni wala kilicho chini duniani wala kilicho chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia maana mimi Bwana Mungu wako ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao.”
Yesu hakutangua hii amri hii popote. So hiyo picha ni batili.
 
Hoja hapa naongelea watu walichokuwa wanakiona kwa macho ya nyama hayo mengine mnayaleta nyinyi..
 
Ukilifuata kusudi la Mungu hasa ni kuokoa ulimwengu wote. Alimtoa Yesu kama mtoto wa kwanza kufufuka kama malimbuko wa ndugu wengi. Kupasuka kwa pazia la hekalu ni kutupa neema ya kuvuka na kukiendea kiti cha rehema. Mbele za Mungu kuna viti vingi. Kimojawapo ni kiti cha rehema. Hapo Mungu anakaa ili kutoa msamaha kwa wanadamu. Pia kuna kiti cha Enzi alipoketi Yesu mkono wa kuume na kuna kiti cha Hukumu alichokasimishwa Yesu ili kuhukumu ulimwengu. Basi sasa tunao ujasiri wa kupaingia Patakatifu kwa Damu ya Yesu ili tupewe neema na Rehema.
 
Tasbee, Rozali,Msalaba,Nyota na mwezi. Hivi vitu unawajua wenyewe?
Mimi nmeongelea lifestyle na kampani yake. Ndio hoja ya nilichoandika kwenye main thread. Mengine huku kwenye comment ni ziada tu.
 
Mimk nmeongelea lifestyle na kampani yake. Ndio hoja ya nilichoandika kwenye main thread. Mengine huku kwenye comment ni ziada tu.
Hao wakuu wate walio pita mf, Adam,Ibrah,Musa,Daud,YESU. Wakitokea Leo hakuna atakae amini kama hii Dunia ni ile au ni nyingine. Maendeleo hayana chama na wakati hausubiri mambo ya kale.
 
Madam hapa,... umeenda wrong turn sasa
 
Hao wakuu wate walio pita mf, Adam,Ibrah,Musa,Daud,YESU. Wakitokea Leo hakuna atakae amini kama hii Dunia ni ile au ni nyingine. Maendeleo hayana chama na wakati hausubiri mambo ya kale.
Mkuu hivi nlichokiandika umekielewa kweli? Uwe na usku mwema kama uko kwenye GMT+3 time zone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…