Taswira ya Yesu anayehubiriwa ni tofauti na Yesu halisi

Swali kwako mkuu: Kwanini mpaka leo Wayahudi hawamkubali Yesu.

Jawabu: Nabii hakubaliki kwao
 
Swali kwako mkuu: Kwanini mpaka leo Wayahudi hawamkubali Yesu.

Jawabu: Nabii hakubaliki kwao
Hili jibu jepesi mkuu. Mbona leo asilimia kubwa ya waarabu wanamkubali Mohamad kama nabii hakubaliki kwao?
Jibu ni kwamba wao walikuwa na taswira ya Yesu atakuwa hivi, yeye akaja kivingine wakamwona kama outcast ndio maana hawaamini kama ni yeye.
 
Usitutishe
 
Quran habari za Yesu ilizipataje? Maana Yesu kitambo sana kuliko quran.

Ili
Sasa ndio umeandika nini wewe? Ingekuwa qur an ndio kitambo kuliko yesu isingeweza kupata habari zake, lakini yesu ndio kitambo kuliko qur an ndiomaana ina habari zake
 
Une Elimu gani? Ilimu Duniya.
Haha Elimu Duniya Nimeenda enda shule kidogo nina Vijiwe viwili...

Elimu ya kidini..
Kwenye ukristo nilisoma theology na nikapata diploma..
Kwenye uislam nilisoma mpaka thanawi...

Kwenye Budhism,Hinduism na Other Mystesism nina certificate ila bado naendelea kusoma.....

Kwa hiyo mkuu Sijajua Lengo lako la kuuliza elimu
 
Na mimi pia nayapenda Japo sipo upanxe wwote nilishajitoa Gerezani na siko katika utumwa japo nimepita magereza yote vizuri...
Na nakuambia kuwa Huwezi kusimiliwa yesu wa kweli kwa sbabu hakuna aliyewahi kumuoma akaandika habari zake

Kwahiyo wewe huyo wa kweli umeonana naye wapi mkuu???
 
kwa mujibu wa Quran yesu alikuwa na wanafunzi wangapi? Na kwa mujibu wa Quran ni mtu yupi alifufuliwa na huyo Yesu?
Yesu hakufufuwa yeyote kwa mujibu wa Qur'an na wala hakuna idadi ya wanafunzi iliyowekwa.

Qur'an siyo "bigraphy ya yeyote. Ukikuta visa (hadithi) za mitume (60 to 70 % ya Qur'an) vyote viba mafundisho fulani.

Waliotafsiri Qur'an kuwa Yesu "kafufuwa" wamefanya makosa ya kufata mafundisho ya biblia yenye mikono ya watu ndani yake (corrupted).

Mimi na challenge Waislam na Wakristo (yeyote) tuichambuwe Qur'an tuone wapi kafufuwa mtu. Mimi sijapaona hapo. Kwanza siamini kuwa kwenye Qur'an Yesu (Isa) katajwa kufanya muujiza wowote ule.

Hata kuzaliwa kwake Yesu Qur'an ipo wazi, hakuna muujiza, watafsiri wamechomekea kwa uvivu wa kuchambuwa.

Qur'an siyo kilinganisho cha biblia wala taurati. Qur'an ni ukweli mtupu usiyo na shaka ndani yake.

Twende kisomi.
 
Sasa Hapa unadanganya Faiza hebu relax utetezi mwingi mwisho wa siku unaharibu kwa kusema uongo
 
Umesahau kuwa jamaa pia alikuwa anafuga rasta..ana masela kama wote anafatana nao,
 
Marko 8:27-38
Yesu aliwauliza wanafunzi wake, watu wanasema mimi ni nani?

Wengine wanasema wewe ni Yohana Mbatizaji, wengine Elia, wengine mmojawapo wa Manabii,

Na ninyi je mnasema Mimi ni nani?

Petro akajibu, "Wewe ndio Kristo"


Hivyo sio wote ambao watamuona Yesu kama Petro alivyoona...

Sio rahisi kuiona taswira ya Yesu halisi ikiwa huna nguvu za Roho Mtakatifu...

Ni kwakuwa wanaoongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu...
 
Tuhuma nzito hiyo umenirushia, nimedanganya nini?
Unajua kuwa ni Kujitoa Katika imani na kupituka Mipaka juu ya Mitume Tukufu wa M/Mungu unapo wafanyia hiyana juu ya matendo yao Waliyofanya?
Unajua kuwa Kumtilia kashfa mtume yeyto inaenda kinyume na NGUZO za Imani ya dini ya Kiislamu..

Kuhusu Kisema Yesu/issah Hkufanya Miujiza huoni kama unajiweka kundi la Ahulul Kufar (Kafir) na huoni unapinga aya za Mwenyezi Mungu zilizo wazi na kusema wametafasiri Tofuti..Huoni kama kwa kusema tafasiri zimetupotosha bado unapinga Kuhusu Ahadi ya mwenyezi Mungu iliyopo kwwnye Quran ya kuilinda...
Wewe ni Muislam usiingizwe Na ukafanywa kuwa Ahlul kufar
 
Una uhakika Petro aliongozwa na Roho mtakatifu au aliwah kuambiwa hivyo na Mwanfunzi wa Yohana mbatizaji Andrea Ambaye ni nduguye
 
Una uhakika Petro aliongozwa na Roho mtakatifu au aliwah kuambiwa hivyo na Mwanfunzi wa Yohana mbatizaji Andrea Ambaye ni nduguye
Ndio neno linavyotuambia, na neno la Mungu ni kweli, hata sasa mimi na wewe tunatofautiana ni kwakuwa mi ninavyomuona au kumjua Yesu sio kama wewe...

Ni ngumu sana kumjua YESU kwa kibinadamu lazima uwe mtu wa Rohoni
 
Mfano?..
 
Ndio neno linavyotuambia, na neno la Mungu ni kweli, hata sasa mimi na wewe tunatofautiana ni kwakuwa mi ninavyomuona au kumjua Yesu sio kama wewe...

Ni ngumu sana kumjua YESU kwa kibinadamu lazima uwe mtu wa Rohoni
Sasa hapo point yangu ya msingi ndipo ilipo. Waliokuwepo physically wakamuona physically kwa maisha yake physically wengi walimwona hivyo nilivyoandika. Na ndio maana Wayahudi ambao alisema yeye ni mfalme wao mpaka leo hawamwamini wanahisi bado hajaja maana wana picha yao ya Yesu na physical life ambalo wanadhani ndilo angekuwa nalo.
Huenda hata wewe ungekuwepo usingeamini.
 
Sasa wewe ndiyo unarusha maneno yake unayaingiza kinywani mwangu, hapo wewe ndiyo unaleta uzushi au sijuwi ni ushuzi.

Wewe unayesema kafanya muujiza, weka ushahidi wako kuwa kfanya muujiza tuuchambuwe. Mimi nasema hakufanya, sasa nani anayezuwa hapo?
 
Sijasema yupo wa ukweli au wa uongo ila nimesema hakuna Authentic Eye witness account ya any Gospel owenye biblia

Kwa hoja hii unataka kusema kwamba madai yote ni sahihi au sio sahihi??
 
Wao ni wapumbavu, maana wao walimuona kwa macho, waliona Miujiza anafanya, sisi tunasikia habari zake kwa kupitia Manabii na tunaamini, Inamaana sisi tuna IMANI kubwa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…