Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Swali kwako mkuu: Kwanini mpaka leo Wayahudi hawamkubali Yesu.Hapa sasa ndipo ndipo shida inapoanzia.
Hakuna sehemu nilipochallenge ila nimeongea uhalisi ukisoma story ya masiha yake. Tofautisha uhalisia na kuchallenge. By the way yeye mwenyewe aliwajibu kwanini ana mingle na watu hao.
Hivi hivi ndivyo mnawaambuiwa shetani ni jitu la kutisha linaogopesha, wakati mambo mengi ya shetani ndiyo yenye kumvutia binadamu, mfano: ulevi, uzinzi, yani starehe starehe. Kuna maandiko yanasema shetani alikuwa malaika mzuri kwa mwonekano kuliko wote.
In short, mimi nilichokiandika sio kuchallenge ila nimeongelea namna ambavyo jamii ya kipindi kile ilivyokuwa ikimchukulia. Swali kwako mkuu: Kwanini mpaka leo Wayahudi hawamkubali Yesu?
Jawabu: Nabii hakubaliki kwao