Sasa wewe ndiyo unarusha maneno yake unayaingiza kinywani mwangu, hapo wewe ndiyo unaleta uzushi au sijuwi ni ushuzi.
Wewe unayesema kafanya muujiza, weka ushahidi wako kuwa kfanya muujiza tuuchambuwe. Mimi nasema hakufanya, sasa nani anayezuwa hapo?
Ok sawa ngoja nianze kukuonyesha baadhi..
Aliongea akiwa na umri Mdogo...
Soma Quran 19 anzia aya ya 29 au suratul Maryam aa kuanzia 29
فَأَشَارَتْ إِلَيْهِ ۖ قَالُوا۟ كَيْفَ نُكَلِّمُ مَن كَانَ فِى ٱلْمَهْدِ صَبِيًّۭا
inatamkwa hivi..
Faasharat ilayhi qaluu kayfa nukallimu man kana fii almahdi sabiyyan
kwa lugha ya mama samia
Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo na angali yumo katika malezi?
قَالَ إِنِّى عَبْدُ ٱللَّهِ ءَاتَىٰنِىَ ٱلْكِتَٰبَ وَجَعَلَنِى نَبِيًّۭا
Qala innii AAabdu Allahi ataniya alkitaba wajaAAalanii nabiyyan
kwa lugha ya mama samia
(Mtoto Issa) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii.
وَجَعَلَنِى مُبَارَكًا أَيْنَ مَا كُنتُ وَأَوْصَٰنِى بِٱلصَّلَوٰةِ وَٱلزَّكَوٰةِ مَا دُمْتُ حَيًّۭا
inatankwa hivi..
WajaAAalanii mubarakan ayna ma kuntu waawsanii bialssalati waalzzakati ma dumtu hayyan
kwa lugha ya mama samia
Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai,
وَبَرًّۢا بِوَٰلِدَتِى وَلَمْ يَجْعَلْنِى جَبَّارًۭا شَقِيًّۭا
inatamkwa hivi...
Wabarran biwalidatee walam yajAAalnee jabbaran shaqiyyan
kwa lugha ya mama samia
Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu.
وَٱلسَّلَٰمُ عَلَىَّ يَوْمَ وُلِدتُّ وَيَوْمَ أَمُوتُ وَيَوْمَ أُبْعَثُ حَيًّۭا
Inatamkwa hivi..
Waalssalamu AAalayya yawma wulidtu wayawma amootu wayawma obAAathu hayyan
kwa lugha ya mama samia
Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa tena kuwa hai.
Miujiza Mingine
Chakula Kutoka Mbinguni na kulisha halaiki ya watu..
SURATUL MAIDA Aya ya 112-115
KUPONYA WAGONJWA ,KUFUFUA WAFU,VIPOFU ,KUUNDA NDEGE NA KUMPULIZIA PUMZI NA KUWA HAI,
SURATUL IMRAN Aya kuanzia ya 47 mpaka 51..
CC: Sheikha FaizaFoxy nasubiri