kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Badala ya kuwasimamisha kisha kuwaomba maelezo, angesubiri wachape kazi kwanza hadi mfumo usimame vizuri, then ndio achukue hatuaAmetaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini.
Naona wewe unapeta siyo
Ova
Madness; mtu asafiri kutoka Mgololo, Malangali, Nyigo kwenda Mafinga kununua umeme wa shilingi 3000 wakati nauli ni shilingi 10,000 kwenda na kurudi.Na hivyo kulilazimu shirika hilo kuwaelekeza Wateja wake kununua umeme kwenye ofisi zake za mikoa na wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.
Wewe umetumia mbinu gani,hujakumbwa na hii chamgamoto, ama suit mtumiaji wa huduma hii.Kwanini wasielezee ndani ya masaa matatu? Siku kumi ni kuwapa mwanya kupanga mengi ya kudanganya tu..
TEHAMA ni papo papo.. hakuna ya masiku
Poleni msio na umeme majumbani kwenu.
Kazi iendelee.
Una maana gani,ama nanusa harufu ya ukanda na ukabila hapa.Mwendazake Alituonya..... Mushi...Njau....
Mkuu ofisini kwao wapi? Labda makao makuu Dar es salaam.Kumbe ofisini kwao unanunulika
Na wamekaa kimya km hamna lolote na hakuna yyt wa kuwafanya chochote, kazi iendelee.Leo ni siku ya tatu huduma hapatikani,nimefika ofisi yenu KIBAMBA napewa business kadi kwamba niwapigie simu.
Kuweni serious umeme ni moja ya huduma muhimu kwa sasa mnapokaa siku 3 huduma haipo sijui mnatupeleka wapi.
TANESCO ni wahuni sanaNa wamekaa kimya km hamna lolote na hakuna yyt wa kuwafanya chochote, kazi iendelee.
Wanamhujumu mamaLeo ni siku ya tatu huduma hapatikani,nimefika ofisi yenu KIBAMBA napewa business kadi kwamba niwapigie simu.
Kuweni serious umeme ni moja ya huduma muhimu kwa sasa mnapokaa siku 3 huduma haipo sijui mnatupeleka wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samia na mawaziri wake wanachekesha sana!Kusimamishwa kazi siku 10 maana yake nini?
Mshahara wake utakatwa hizo siku ambazo hajafanya kazi au inakuaje? Ni kama vile kapewa mapumziko