Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

Programming haijawahi kuwa nyepesi, mammaer, Sasa shida ataeletwa atahitaji muda wa kusoma mfumo then a trouble shoot problem, ni Bora wangempa mda, Ila wahuni washachokonoa, haya Sasa maintenance hyo Kama nawaona vile wahuni wakienda kupiga hela.
 
Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini.
Badala ya kuwasimamisha kisha kuwaomba maelezo, angesubiri wachape kazi kwanza hadi mfumo usimame vizuri, then ndio achukue hatua
 
Kwanini wasielezee ndani ya masaa matatu? Siku kumi ni kuwapa mwanya kupanga mengi ya kudanganya tu..
TEHAMA ni papo papo.. hakuna ya masiku

Poleni msio na umeme majumbani kwenu.

Kazi iendelee.
Wewe umetumia mbinu gani,hujakumbwa na hii chamgamoto, ama suit mtumiaji wa huduma hii.
 
Leo ni siku ya tatu huduma hapatikani,nimefika ofisi yenu KIBAMBA napewa business kadi kwamba niwapigie simu.

Kuweni serious umeme ni moja ya huduma muhimu kwa sasa mnapokaa siku 3 huduma haipo sijui mnatupeleka wapi.
 
Kumbe ofisini kwao unanunulika
Mkuu ofisini kwao wapi? Labda makao makuu Dar es salaam.

Makao makuu ya wilaya na mkoani kwetu huku ukiwaulizia huduma wanakuangalia kama picha, hawana majibu zaidi ya "mfumo upo down" huku wanabofya simu zao na toothpick mdomoni!

NIDHAMU KWA WATUMISHI WA UMMA IMEENDA NA MWENYEWE!
 
Leo ni siku ya tatu huduma hapatikani,nimefika ofisi yenu KIBAMBA napewa business kadi kwamba niwapigie simu.

Kuweni serious umeme ni moja ya huduma muhimu kwa sasa mnapokaa siku 3 huduma haipo sijui mnatupeleka wapi.
Na wamekaa kimya km hamna lolote na hakuna yyt wa kuwafanya chochote, kazi iendelee.
 
Leo kutwa nzima nimehangaika Sana kununua umeme mitandaoni. Pengine tanesco wapo Kwenye majaribio ya kumpima mama Samia
 
Leo ni siku ya tatu huduma hapatikani,nimefika ofisi yenu KIBAMBA napewa business kadi kwamba niwapigie simu.

Kuweni serious umeme ni moja ya huduma muhimu kwa sasa mnapokaa siku 3 huduma haipo sijui mnatupeleka wapi.
Wanamhujumu mama
 
Kusimamishwa kazi siku 10 maana yake nini?

Mshahara wake utakatwa hizo siku ambazo hajafanya kazi au inakuaje? Ni kama vile kapewa mapumziko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samia na mawaziri wake wanachekesha sana!

Hizi siku 10 si ni sawa na kuwapa likizo ya siku 10?
 
Back
Top Bottom