ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mimi nanunuaga umeme wa mwezi.....πππ
Ukimsachi hukosi kadi ya Chadema.Na Idda NJAU MIJIZI HIII nawachukia sana hawa hatu
inawezekana maana HAIWEZEKANI critical system iendeshwe bila backupHakuna uzembe hapo....
Hii ni pre meditated
Weee mpuuzi kweli mm mwenyewe nipo kwenye industry ya IT ,system zote sensitive lazima ziwe na backup,main ikiwa down backup inapeak automatically ,baadae ndipo mnapo troubleshoot main.Sasa kwa taasisi kubwa kama Tanesco ni aibu haikutakiwa kutokea hii kitu.Tukubali tu ni wazembe.Pumbavu. Hata mambo ya kitaalam ya programming mnataka kumpa mzigo mama, wataalam wapambane na hali zao, mmadhani programming ni kama mchezo wa kidali po.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
...Sasa ni Saa Mbili na Dakika 10 usiku na Bado bila bila...!![emoji34]Sasa Ni saa nane na dkk saba
Director General Bwana Tito Mwinuka atashughulikiwa lini?Vipi kuhusu Board pamoja na ile Risk ana Finance committee bado wapo hawa? Hawakuwahi kufanya Risk assesment?Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja.
Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini.
==
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amemsimamisha kazi kwa siku kumi Meneja wa Tehama na huduma za biashara wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Njau, ili watoe maelezo kufuatia kuwepo kwa tatizo katika huduma ya manunuzi ya LUKU kupitia njia za Kielekroniki.
Dkt. Kalemani amewaambia Waandishi wa habari mkoani Dar es salaam kuwa, endapo maelezo yao hayatajitosheleza Watumishi hao waondolewe kazini.
Kwa muda wa takribani siku tatu, wateja wa TANESCO wameshindwa kununua umeme wa LUKU kwa njia.ya Kielekroniki, na hivyo kulilazimu shirika hilo kuwaelekeza Wateja wake kununua umeme kwenye ofisi zake za mikoa na wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.
Pole sana best...inaboa..bora ukose sijjui nini...ila kuna uzembe sana kwahiliMimi nanunuaga umeme wa mwezi.....
umeisha juzi siku tatizo lilipoanza...
nina hasira kishe.nzi
Kuwa mambo ya kizembe namna hii hayakuwahi kutokeaUnataka kusemaje labda
MnaloKuwa mambo ya kizembe namna hii hayakuwahi kutokea
Kwahiyo kosa lipo tokea miaka na miaka sio?Weee mpuuzi kweli mm mwenyewe nipo kwenye industry ya IT ,system zote sensitive lazima ziwe na backup,main ikiwa down backup inapeak automatically ,baadae ndipo mnapo troubleshoot main.Sasa kwa taasisi kubwa kama Tanesco ni aibu haikutakiwa kutokea hii kitu.Tukubali tu ni wazembe.
Tunalo woteMnalo
Upinzani hayatuhusuuuTunalo wote
Sijui na kama lipo miaka na miaka ,ila kosa ni lao wenyewe Tanesco.Kwahiyo kosa lipo tokea miaka na miaka sio?
Kwahiyo nyie hamna tatizo la umeme, mambo shwari luku haisumbui. HongereniUpinzani hayatuhusuuu
Akchuali anayetakiwa kufutwa kazi Ni mwinuka na huyo waziri.Director General Bwana Tito Mwinuka atashughulikiwa lini?Vipi kuhusu Board pamoja na ile Risk ana Finance committee bado wapo hawa? Hawakuwahi kufanya Risk assesment?
Hawana recovery plan?. Hii Taasisi ni ya hovyo kabisa kumbe. Juzi hapa pale bandarini lilitokea tatizo kama hilohilo madhara tumeyaona mapema sana. Sijui serikali inakwama wapi?