Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

Ngoja waje wanaomtetea utaambiwa wewe ni CCM lakini ndiyo hali halisi ya DJ
 
Kufilisika kukianzia kichwani inabidi tuzidishe maombi.

Hata hujui unachoandika. Anayekutuma atume wenye akili kidogo basi!
nyie ndiy mliologwa kabisa ndiyo mnaompigia makofi akifanya mavi yake kwenye chama mbowe ni janga la chama
 
sawa kabisa hizi ndiyo siasa za tanzania upinzani hamna kitu ni saccos za kina mbowe tu hizo
 
CCM KUMEOZA LAKINI UPINZANI KUNATOA FUNZA.....
 
Mashabiki wa vyama hawana tofauti na mashabiki wa mpira unweza kujiuliza huyu anatetea Chama hiki mwingine Chama kile na hawaelewani lakini ukienda jukwaa la michezo unawakuta wanashabikia timu moja na wanaelewana balaa wanaitetea timu kwa nguvu zote lakini wakija kwenye siasa wanapishana tena.

Siasa ni mchezo usiotabirika kabisa.
 
Wewe kamanda ubwabwa wa kijani tuachie chama chetu! "ford ranger" ndio gari ya kutishia royal family yenye mpunga kuliko ukoo wako wote!!!? Wewe ni wa jiwe na una frustrations huna pa kwenda! hillllllloooooooooooooo!!
 
Acha tabia za kumchokonoa Mwenyekiti wetu wa kudumu wa chama
 
Mpeleke Polisi
 
Fisadi ni yule aliye lisababishia taifa kupata hasara ya 150 billion tshs ktk kipindi cha miaka 5.
 
Kufilisika kukianzia kichwani inabidi tuzidishe maombi.

Hata hujui unachoandika. Anayekutuma atume wenye akili kidogo basi!
Kavurugwa baada ya babake jiwe kusepa zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…