Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

Hii hoja naunga mkono, akili zitumike kuwasimamia wale wanaochangisha michango ya aina hii, namba za simu zisiwe zao private na michango yote lazima ipite kwa Katibu Mkuu.
 
Ulitaka wewe uwe jela ndio ukatolewe wewe,sasa zilizobaki zilipewa wahusika waweze kuanza maisha,kwani kwa roho zenu mbaya na ukatili mliwavurugia Manisha yao na familia zao,pia ulishajitangaza kama kamanda uliyechoka ,nilikushauri upumzike Hadi uchovu uishe.
 
Uzuri michango hii ni yahiari,kwa wale wenye moyo na wapenda haki.
Kwahiyo kama ni hiyari ndio taarifa za kilichopatikana kilicho tumika na kilichobaki iwe ni siri?.

Sisitiza uwazi mkuu ilikudhibiti upigaji,kunasiku watu wakigundua wenyewe kama kuna upigaji alafu viongizi wakitoa ufafanuzi itakuwa too late. Likitokea bakuli jingine tutaliangaliatu.
 
Mimi nilichanga ili waliokuwa mahabusu/jela watoke na wametoka sihitaji kujua zilizozidi zimefanyia nini maadam lengo la kuchanga limetimia.
 
Chadema km chama mbadala ktk kuongoza nchi kinapaswa kuonyesha utofaut kati yake na mtawala hususan ktk usimamiz wa fedha na kufata taratibu ktk utendaj ili kujenga ushawish kwa wafuas wapya inakatisha tamaa kiongoz wa chama anafanya harakat za kichama kwa kutumia hadhi na ofisi za chama kuchangisha michango alafu pesa yenyewe anaihifadh ktk akaunti yake binafs nadhan wanapaswa kujitathmin.
 
Yaezekana una hoja but ingekua vyema uweke ushahid wa jinsi michango inavyoliwa. Au uonyeshe kuna percentage ya michango imeliwa kinyume na lengo la jambo husika! Apart from that ni unaendeleza katabia ka propaganda. Badilika, kamanda usiechoka kwa hisani ya watu wa Lumumba!!
 
Mimi nilichanga ili waliokuwa mahabusu/jela watoke na wametoka sihitaji kujua zilizozidi zimefanyia nini maadam lengo la kuchanga limetimia.
Kwanini huitajikujua zilizobakizilipo, huoni kama zikijulikana nikiasigani zinaweza kusaidia wengine sikuambayo wewe huna.
Huoni haja zilizobaki zibaki kama akiba ya baadae, wewe nimfanyakazi,mfanya biadhara ama kipatochako unapataje kiasichakutotaka kujua mahesabu ya jinsi pesa zinavyotumika.

Hizoesabu nilazima zijulikane mkuu labda kama upokwa shemejiyako ndio hutaona haja ya kujua mapato matumizi na ballance.
 
tuliochanga tumeridhika na matumizi, sasa nyie ambao hamjachanga kelele za nini?
 
Watu wamechanga ndio mana wanauliza jinsi zinavyotumika. Kumbuka wajinga ndio wanaoliwa.
 
waliochanga hawaulizi, mnaouliza ni vijana wa Lumumba7
Unabahati hiyo avatar imekuokoa ninge kufyatua neno ungejikuta katikati ya vyura utopoz wa kijani, maana leo ndio sikuyenyewe.

Hao mnao waita buku7 ndio wanawaokoa nyie bilakujua sasa msigwa lazima ataleta mrejesho kiasigani kinatakiwa na zikizidi atatolea ufafanuzi zinakwenda wapi sio kutembeza bakuli tu bila maelezo.
 
Kiutaratibu taasisi kubwa yoyote lazima iweke mahesabu ya mapato na matumizi na lazima hayo mahesabu yakaguliwe haijulish hiyo pesa ni ya kutembeza bakuli au ya fee na lengo LA haya yote ili kuondoa ukakas ktk taasis husika
 
Watakutukana badala ya kufanyia kazi ushauri
Nilimuona kiongozi mmoja wa chama chetu anaitwa Mwaipaya alichangisha pesa kujenga ofisi huko Njombe lakini pesa zilipitia kwenye akaunti yake ya M pesa na Tigo pesa hii ni janjajanja.

John Pambalu alipochangisha pesa kumtoa lupango yule mwandishi vitabu vya kijasusi anayeitwa Yeriko alitumia akaunti yake binafsi ya M pesa na Tigo pesa na hata hakusema kiasi kilichozidi.

Hiii janjajanja ya kutafuna michango kupitia Chadema imezidi sana. Tuache mara moja.
 
Unabahati hiyo avatar imekuokoa ninge kufyatua neno ungejikuta katikati ya vyura utopoz wa kijani, maana leo ndio sikuyenyewe.

Hao mnao waita buku7 ndio wanawaokoa nyie bilakujua sasa msigwa lazima ataleta mrejesho kiasigani kinatakiwa na zikizidi atatolea ufafanuzi zinakwenda wapi sio kutembeza bakuli tu bila maelezo.
Wewe usilete habari za kitembere hapa
 
Kiutaratibu taasisi kubwa yoyote lazima iweke mahesabu ya mapato na matumizi na lazima hayo mahesabu yakaguliwe haijulish hiyo pesa ni ya kutembeza bakuli au ya fee na lengo LA haya yote ili kuondoa ukakas ktk taasis husika
Wakati tunatembeza bakuli mlikuwa mnatuzodoa kuwa hatutapata kitu, baada ya kuona jinsi tulivyofanikisha zoezi letu tayari mmeshaanza kunyanyua midomo.
 
Wewe usilete habari za kitembere hapa
We jitoe akilitu.
Juzi hapa mmeonyeshwa jinsi mzee wa Miga anavyo tifua minyamachoma pembeni ya beberu, nyie mnakula marage 7dys kila wiki alafu utasikia mnaambiwa mumchangie nauli arudi nyumbani, mambo kamahayo ndio watu wanaulizia chenchi zao ilizitumike.
 
Wakati tunatembeza bakuli mlikuwa mnatuzodoa kuwa hatutapata kitu, baada ya kuona jinsi tulivyofanikisha zoezi letu tayari mmeshaanza kunyanyua midomo.
CHADEMA ni chama ambacho kinajitanabaisha km chama kinachojiendesha kidemokrasia,na ktk demokrasia Uhuru wa kujieleza na kusikilizwa ni miongon mwa nguzo zake sasa inashangaza miongon mwetu tunaleteana kebeh linapokuja swala LA kujieleza.
 
Wewe sio mwanachadema, na haujachanga, sasa kwanini unataka kulazimisha upewe taarifa ya michango?
 
Back
Top Bottom