Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

mnaoulizia ni nyie ambao hamkuchanga na mlikuwa mnatuzodoa kuwa hatutafanikiwa kukamilisha michango
 
Wachawi wataonagere na kuanza vile vitimbi vya kipindi kifupi kilicho pita.Zaidi mlijua kupora zile nafasi za kupata ruzuku ndio kifo kwa wale msiowapenda, shida ni kuwa mawazo mandala ni imani ndani ya mioyo ya watu.
 
CHADEMA ni chama ambacho kinajitanabaisha km chama kinachojiendesha kidemokrasia,na ktk demokrasia Uhuru wa kujieleza na kusikilizwa ni miongon mwa nguzo zake sasa inashangaza miongon mwetu tunaleteana kebeh linapokuja swala LA kujieleza.
Shida ni kuwa mamluki wengi na hasa wasiopenda mawazo mbadala ,uhuru ,haki na maendeleo ya kweli kwa taiga letu.
 
Naona bado ndoto za Mheshimiwa mungu zinakutesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…