Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Degree ni degree tu😂😂Waache kuweka vigezo vya GPA kuna watu wana GPA ndogo na wako na talent ya kufundisha na wanasahau chuo watu wanafaulu kwa mengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂😂Sema GPA zina mambo mengi sana aseeh nikikumbuka Kuna mademu hawakusubmit hata report za prac lakini waligonga A shenzi kabisa😂Waache kuweka vigezo vya GPA kuna watu wana GPA ndogo na wako na talent ya kufundisha na wanasahau chuo watu wanafaulu kwa mengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kweli, inategemeana na chuo😂😂😂😂😂😂Sema GPA zina mambo mengi sana aseeh nikikumbuka Kuna mademu hawakusubmit hata report za prac lakini waligonga A shenzi kabisa😂
Degree za UDSM, SUA, zinatafutwa huko kwingine sijui😂😂😂😂😂😂Sema GPA zina mambo mengi sana aseeh nikikumbuka Kuna mademu hawakusubmit hata report za prac lakini waligonga A shenzi kabisa😂
Sawa sawa siku ukikutana nayo ndo utajua kama ni Kweli au vipiSio kweli, inategemeana na chuo
Unadhani lecturer anavyokutreat wewe ni sawa na wengine?Degree za UDSM, SUA, zinatafutwa huko kwingine sijui
Kweny point ya 4 ,,kuandaa presentation yako ,kupima ufundishaji wako ,kumanage darasan ..SASA USAHILI WA UTUMISHI WANAMARK UANDAJI WA PRESENTATION, PRESENTATION and Q&A ili uapate 70% za UFAULU ....UNAPITIA UWASILISHAJI WA MADA (PRESENTATION) ZEN Q & A FROM UR PRESENTATION WANAPIMA NN HAPA AU KUANGALIA UWEZO WAKO KUIDEFEND PRESENTATION YAKO ..KAMA VILE TUKIWA CHUO WAKT UPRESENT RESEARCH YAKO BAADA YA KUPRESENT PANEL INAKUKANDA MASWALI KUONA UMEFANYA HII RESEARCH YAKO WW AU UMEPIKA AU UMEFANYIWA KUJILIDHISHA NA MAJIBU YAKO KUIDEFEND RESEARCH YAKONadhani lengo la usaili ni pamoja na yafuatayo:-
1. Kutenda haki ya uwazi na usawa (fairness and openness). Ukipigiwa simu watu watasema "ujomba ujomba" umetumika.
2. Kuchuja baina ya wengi (kama mko wengi mnaokidhi vigezo) ili kumpata aliye bora zaidi kwa ajili ya kazi husika.
3. Kujiridhisha juu ya uwezo wako wa kufundisha, kuelewesha, kulimudu darasa pamoja na kiwango chako cha kujiamini. Hivi ni vitu muhimu sana katika mkufunzi/mhadhiri lakini huwezi kuvitambua kwa kutumia ufaulu wa kwenye cheti (GPA).
Halaf kweny presentation unatakiwa kuprisent ka unapresent research au unafundisha kabisa KUNA TOFAUTI YA PRESENTATION NA TEACHING DEMONSTRATION???Nadhani lengo la usaili ni pamoja na yafuatayo:-
1. Kutenda haki ya uwazi na usawa (fairness and openness). Ukipigiwa simu watu watasema "ujomba ujomba" umetumika.
2. Kuchuja baina ya wengi (kama mko wengi mnaokidhi vigezo) ili kumpata aliye bora zaidi kwa ajili ya kazi husika.
3. Kujiridhisha juu ya uwezo wako wa kufundisha, kuelewesha, kulimudu darasa pamoja na kiwango chako cha kujiamini. Hivi ni vitu muhimu sana katika mkufunzi/mhadhiri lakini huwezi kuvitambua kwa kutumia ufaulu wa kwenye cheti (GPA).
Wao wanaprac zao special wanazozitolea jasho kama wewe ulivyoitolea jasho kuiandaa hadi kuiwasilisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema GPA zina mambo mengi sana aseeh nikikumbuka Kuna mademu hawakusubmit hata report za prac lakini waligonga A shenzi kabisa[emoji23]
Unapresent kama utakavyokuwa unafundisha.Halaf kweny presentation unatakiwa kuprisent ka unapresent research au unafundisha kabisa KUNA TOFAUTI YA PRESENTATION NA TEACHING DEMONSTRATION???
Kwa mshahara wa sh. ngapi.Unapresent kama utakavyokuwa unafundisha.
Hakika. Na vyuo vya Tanzania kwa bahati mbaya sana havifanyi hivi siku hizi.Tuajiri wageni ? Hapana.
Vyuo viajiri wakufunzi wasaidizi (tutorial assistants) hawa wapo wengi sana, na wawaendeleze wao wenyewe kielimu ili kuwapata hao wahadhiri wa ngazi za juu. Wasitegemee kuokota mtaani masters na PhD zinazozagaa.
Professional hizo mbwembwe tu, kaulize hao viongozi wakubwa kama wanahizo professional, tufanye kazi kwa bidii tu.Hakika. Na vyuo vya Tanzania kwa bahati mbaya sana havifanyi hivi siku hizi.
Ilhali, professors wengi waliopo kwenye vyuo TZ waliajiriwa kama TAs, wakawa groomed kuwa walivyo leo.
Sijui hata kama tulielewana!!Professional hizo mbwembwe tu, kaulize hao viongozi wakubwa kama wanahizo professional, tufanye kazi kwa bidii tu.
Nmekuelewa sana boss,Sijui hata kama tulielewana!!
Huwa wanataja scale ya mshahara kwenye tangazo la kaziKwa mshahara wa sh. ngapi.