Tatizo la kurudiwa kutangazwa kwa nafasi za kazi za Assistant Lecturers

As
Huyo jamaa nazni alikuwa anaongelea TA wa Institutes ambao wanataka minimum GPA 3.5 ILA kwa vyuo vikuu minimum ni 3.8 GPA
Asee kuna saili moja nilipiga ilihitaji GPA ya 3.8 ila bahati mbaya nilikosa ilihitaji mtu mmoja tu na oral tuliingia watatu wakatuambia eti tupo reserve maana kuna institute zilitangaza kazi kwa kada hiyo hiyo lakini GPA ya 3.5 wakasema tuwe tunafatilia placement vizuri zinapokuwa zinatoka za hizo institute mbili je hapo wakuu kuna ukweli au kutiana moyo tu nawasilisha
 
@Mwanamaji Bro samahani hvi kweny presentation za TA kuna weza kuwa na tricks za kuchezewa na panel kaungalia jinsi ya kumiliki darasa ....
 
Sawa nmeelewa kaka
 
@Ahmet tusaidie uzoefu wa presentation za TA katka kumiliki darasa ..kwa mtazamo wako Nia ni kujifunza na kuwasaidia wengne
Ofcourse unabidi uonyeshe kivipi unaweza kuteach, kwaiyo unaweza kuwauliza kama wameelewa, ukawataka waulize swali n.k.

Shida kubwa inayofanya ushindwe kufanya hivyo ni muda, mara nyingi hutoa dakika Tano Hadi kumi kupresent, Sasa utaangalia ufanyaje kati ya kulecture au kudiscuss na panelist

Siwezi kutumia oral yangu kama reference Kwasababu bado sijapata placement. Kama nitafaulu na kupata kazi basi nitaweka uzi kabisa juu ya nilichokifanya kuanzia kuomba kazi mpka kupangiwa kituo Cha kazi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umeshawahi kufundisha olevo au advance Kaka??hivyo ndivyo inavyotakiwa
 
Nmekusoma bro ,,miezi mingap now tunasubria placement??...lkn hicho hcho kidogo kinaweza kutoa mwanga kwa mtu ukamsaidia kk
 
Umeshawahi kufundisha olevo au advance Kaka??hivyo ndivyo inavyotakiwa
Sijawahi kufundisha kk wizy ,,Maana nakumbuka wakt Niko collage kuna Dr. Mmoja hv alikuwa mtata sana yy alikuwa akilecture ,anakuambia mie sio mwalimu kufundisha kuelewa mie ni lecture na kukupiga lecture ya mwanga zaidi usome ,, ilikuwa sio poa
 
Sijawahi kufundisha kk wizy ,,Maana nakumbuka wakt Niko collage kuna Dr. Mmoja hv alikuwa mtata sana yy alikuwa akilecture ,anakuambia mie sio mwalimu kufundisha kuelewa mie ni lecture na kukupiga lecture ya mwanga zaidi usome ,, ilikuwa sio poa
Unapofundisha pale inatakiwa umsome yule panelist wako maana huwezi kuendelea kufundisha wakati mtu akiendelea na mambo yake kwahiyo kumanage darasa ni muhimu sana na utoe sauti yakusikika hio itaonesha unajiamini na kile unachokifundisha
 
Unapofundisha pale inatakiwa umsome yule panelist wako maana huwezi kuendelea kufundisha wakati mtu akiendelea na mambo yake kwahiyo kumanage darasa ni muhimu sana na utoe sauti yakusikika hio itaonesha unajiamini na kile unachokifundisha
Kwa hyo kuna mitego wanaweza kuchezea kukupima kumanage darasa ,mfn kuongea wenyw waone utachukua hatua gaan wizy
 
Kama mtakuwa wengi Wana acess content pekeake
Lakini ukiwa pekeako au wawili Wana access nakumanage darasa ambayo huangalia hata utoaji wa sauti yako
wizy ulichonacho kichwani kweny presentation na Q&A kupima understanding yako sio
 
Mara nyingi wanakupima kwenye maswali kama Kuna kitu hukueleza kiundani lazima wanakinote afu wanakuuliza swali hapo ili wajue unakijua au umeunga unga
Ok ok wizy nami nakumbuka kweny oral yangu nilikuaga nmeandaa aspects/characteristics za topic yangu moja hv ,,sijui hawakuzielewa ,,Maana swali la pili nilipigwa give 5 aspects of ..nikawarudishie zile zile nilizo ziandaa uku nazielezea ,,,swali la Tatu nikapigwa Explain 5 characteristics of .. yaani zile zile characteristics/aspects natakiwa nizieleze moja moja ... jobless nilijitahidi kufunguka kwa maelezo ilinioneshe unaa najua vitu ,,mpka point moja unaelezea mpka wakandaji wananiambia unaelezea sana [emoji3][emoji3][emoji3] ,, aisee sio poa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Jiandae kuchukua barua mwezi ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ