Sky Eclat unajitaidEndogenous sources - it is produced within the gut. Gas may be produced as a by-product of digestion of certain foods, or when foods are not digested completely. Anything that causes food not to be digested completely by the stomach and/or small intestine can cause flatulence when it reaches the large intestine.
Simple...kunywa maji moto yaliyochanganywa na asali..nzuri ni ya nyuki wadogo...kuboresha ladha..kamulia limao kidogo..kitu cha kwanza asubuhi..walau glass tatu..tatizo hitaliona tena..ina speed up metabolism..pia hukata cholestrol..maana yake itakusaidia kukata weight kiaina...limao lina cleansing property..ngoz itakuwa natural..faida ni nyingi..giv it a shot![emoji6]Habari nasumbuliwa Sana na tumbo kujaa gesi na kupelekea kujamba Sana, Hali hii inanisumbua Sana na kunikosesha raha haswa nikiwa kazini na ikitokea nikijibana tumbo linauma na kuunguruma Sana mwisho nitaharisha na kupata maumivu makali sehemu za haja kubwa
Hali hii imeanza kama miez mitatu iliyopita kama Kuna ushauri au dawa nisaidieni nimalize hili tatizo
Nashukuru Sana nitaleta marejeshoSimple...kunywa maji moto yaliyochanganywa na asali..nzuri ni ya nyuki wadogo...kuboresha ladha..kamulia limao kidogo..kitu cha kwanza asubuhi..walau glass tatu..tatizo hitaliona tena..ina speed up metabolism..pia hukata cholestrol..maana yake itakusaidia kukata weight kiaina...limao lina cleansing property..ngoz itakuwa natural..faida ni nyingi..giv it a shot![emoji6]
Mkuu umenisaidia hata Mimi. Nadhani ntachukua hapa Mbinga asali ya nyuki wadogo.Simple...kunywa maji moto yaliyochanganywa na asali..nzuri ni ya nyuki wadogo...kuboresha ladha..kamulia limao kidogo..kitu cha kwanza asubuhi..walau glass tatu..tatizo hitaliona tena..ina speed up metabolism..pia hukata cholestrol..maana yake itakusaidia kukata weight kiaina...limao lina cleansing property..ngoz itakuwa natural..faida ni nyingi..giv it a shot![emoji6]
Pole sana, zipo tiba nyingi lakini rahisi ni hii: unapokula chakula tafuna KWA muda mrefu kidogo. Lengo ni kufanya chakula kichanganyike na mate vya kutosha.Habari nasumbuliwa Sana na tumbo kujaa gesi na kupelekea kujamba Sana, Hali hii inanisumbua Sana na kunikosesha raha haswa nikiwa kazini na ikitokea nikijibana tumbo linauma na kuunguruma Sana mwisho nitaharisha na kupata maumivu makali sehemu za haja kubwa
Hali hii imeanza kama miez mitatu iliyopita kama Kuna ushauri au dawa nisaidieni nimalize hili tatizo
Pole sana, zipo tiba nyingi lakini rahisi ni hii: unapokula chakula tafuna KWA muda mrefu kidogo.Mkuu Nilipoiona Post Hii Nikadhani Ni Mimi Nilipost ila nimesahau..
Sijakanyaga Jukwaa hili tangu Mwaka jana lakini Leo Nimekuja ili nimepost kitu hichohicho Ulichopost wewe..
Sawa nitaleta mrejeshoPole sana, zipo tiba nyingi lakini rahisi ni hii: unapokula chakula tafuna KWA muda mrefu kidogo. Lengo ni kufanya chakula kichanganyike na mate vya kutosha. Pia hata kama unakunywa soda liache funda likae KWA muda kidogo mdomoni ili lichanganyike na mate vya kutosha. KWA Faida ya wengine naomba baada ya siku tano andika matokeo hapa.
sio mlaji wa viporo mkuupunguza kufakamia viporo
thanks mkuuAcha kula maharagwe na mbaazi kila siku mkuu
mwanaume mkuumkuu ambatanisha na jinsia yako ili iwe rahisi sisi kukupa sababu
Nimepata mkuu, lakini pia huko choon nikiingia kabla ya kutoa haja naachia mabomu ya hatari.Izo siku zote ulipata choo?
nenda kanye