Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Waone wataalamu wa masikio!
Kama upo Dar mtaalam mmoja yupo Ekenywa hospital (ingawa huduma zao ni kipimo cha uvumilivu)
Hawa waliniokoa mkuu. Nilikuwa nakaribia kuchanganyikiwa.
 
Jamani nisaidie dawa ya sikio linavuma sana usiku, nikitumia antibiotics lina acha zikiisha dawa linarud tena sasa mpk kichwa nimeanza kuuma upande huo Wa kushoto karibu na sikio tafadhali msaada

Pole sana mkuu, kwani hadi unaandika hapa ni muda gani umekuwa unaugua na hatua gani umekwisha chukua??!,

Kwa sababu, kama walivyoshauri wenzangu ni muhimu kuwaona madaktari bingwa wa masikio kabla ya kushauriwa dawa za kiasili kama mafuta ya kuku na hata nimepata kusikia BANGI ikitayarishwa ipasavyo nayo ni dawa mujarabu kwa sikio, na hiyo ndiyo kazi mojawapo ya bangi na siyo kuvuta.
 
Aisee atleast 2 years hali hii huisha then inarudia but safar hii ni skio moja linavuma kwa kas ya kimbunga sina raha tena maishan kichwa nimeanza kuniuma mawazo pia na hali hii sikuwah kumuona Dr yeyote till now
 
Nakir kusikiliza music kwa fujo maishan mwangu pia earphones pia ni mtumiaji Wa machine za barabarani zenye kelele nahis ndio sababu tatizo au nin
 
"mashine za barabarani" fafanua tafadhali
 
Aisee atleast 2 years hali hii huisha then inarudia but safar hii ni skio moja linavuma kwa kas ya kimbunga sina raha tena maishan kichwa nimeanza kuniuma mawazo pia na hali hii sikuwah kumuona Dr yeyote till now

Pole sana mkuu, wala huna haja ya kukata tamaa mapema hivyo, wewe pambana na inakupasa umuone kwanza daktari katika kituo cha afya kilicho karibu ili akupatie ushauri zaidi kabla ya kuanza tiba zingine (tiba mbadala nk.).
 
Jamani nisaidie dawa ya sikio linavuma sana usiku, nikitumia antibiotics lina acha zikiisha dawa linarud tena sasa mpk kichwa nimeanza kuuma upande huo Wa kushoto karibu na sikio tafadhali msaada
Inaitwa Tinnitus mkuu, google uisome. Mimi ni miaka 10 now sikio la kushoto
 
Nenda pharmacy iliyo na near na wewe ulizia candibiotic ear drop

Usipopona na hio nenda hospital wakakucheki zaidi.
Jamani nisaidie dawa ya sikio linavuma sana usiku, nikitumia antibiotics lina acha zikiisha dawa linarud tena sasa mpk kichwa nimeanza kuuma upande huo Wa kushoto karibu na sikio tafadhali msaada
 
Ahsa
[QUSanawote pia mliochangia "clixus, post: 32297007, member: 402169"]
Nenda pharmacy iliyo na near na wewe ulizia candibiotic ear drop

Usipopona na hio nenda hospital wakakucheki zaidi.
[/QUOTE]
Ahsante Sana wote mliochangia je tunaishi VP wakuu na hali mfano jamaa kasema ten years now
 
Back
Top Bottom