PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Tumia mafuta ya kuku huwa yanakuwa huku matakoni kwa kuku unayayeyusha unaweka kwenye chombo unadondoshea kwenye sikio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuhTumia mafuta ya kuku huwa yanakuwa huku matakoni kwa kuku unayayeyusha unaweka kwenye chombo unadondoshea kwenye sikio.
Waone wataalamu wa masikio!
Kama upo Dar mtaalam mmoja yupo Ekenywa hospital (ingawa huduma zao ni kipimo cha uvumilivu)
Duh sio mchezo Mkuu mpk nakata tamaa Mkuu ok ahsante kwa ushauriMkuu hiyo kesi ya kumuona daktari bingwa mambo hayo.
Usichukulie poa.
Nipo Dom Mkuu thanks so muchWaone wataalamu wa masikio!
Kama upo Dar mtaalam mmoja yupo Ekenywa hospital (ingawa huduma zao ni kipimo cha uvumilivu)
Hawa waliniokoa mkuu. Nilikuwa nakaribia kuchanganyikiwa.Waone wataalamu wa masikio!
Kama upo Dar mtaalam mmoja yupo Ekenywa hospital (ingawa huduma zao ni kipimo cha uvumilivu)
Jamani nisaidie dawa ya sikio linavuma sana usiku, nikitumia antibiotics lina acha zikiisha dawa linarud tena sasa mpk kichwa nimeanza kuuma upande huo Wa kushoto karibu na sikio tafadhali msaada
Aisee atleast 2 years hali hii huisha then inarudia but safar hii ni skio moja linavuma kwa kas ya kimbunga sina raha tena maishan kichwa nimeanza kuniuma mawazo pia na hali hii sikuwah kumuona Dr yeyote till nowPole sana mkuu, kwani hadi unaandika hapa ni muda gani umekuwa unaugua na hatua gani umekwisha chukua??!,
Kwa sababu, kama walivyoshauri wenzangu ni muhimu kuwaona madaktari bingwa wa masikio kabla ya kushauriwa dawa za kiasili kama mafuta ya kuku na hata nimepata kusikia BANGI ikitayarishwa ipasavyo nayo ni dawa mujarabu kwa sikio, na hiyo ndiyo kazi mojawapo ya bangi na siyo kuvuta.
"mashine za barabarani" fafanua tafadhaliNakir kusikiliza music kwa fujo maishan mwangu pia earphones pia ni mtumiaji Wa machine za barabarani zenye kelele nahis ndio sababu tatizo au nin
Aisee atleast 2 years hali hii huisha then inarudia but safar hii ni skio moja linavuma kwa kas ya kimbunga sina raha tena maishan kichwa nimeanza kuniuma mawazo pia na hali hii sikuwah kumuona Dr yeyote till now
Waone wataalamu wa masikio!
Kama upo Dar mtaalam mmoja yupo Ekenywa hospital (ingawa huduma zao ni kipimo cha uvumilivu)
Inaitwa Tinnitus mkuu, google uisome. Mimi ni miaka 10 now sikio la kushotoJamani nisaidie dawa ya sikio linavuma sana usiku, nikitumia antibiotics lina acha zikiisha dawa linarud tena sasa mpk kichwa nimeanza kuuma upande huo Wa kushoto karibu na sikio tafadhali msaada
Ndio mkuuHawa kwa bima za afya wanatibu?
Jamani nisaidie dawa ya sikio linavuma sana usiku, nikitumia antibiotics lina acha zikiisha dawa linarud tena sasa mpk kichwa nimeanza kuuma upande huo Wa kushoto karibu na sikio tafadhali msaada