Na actually si wahandisi wa mafuta na gesi tu wanaosugua kitaa uhandisi in general ni majanga tu sasa hivi ni kama ualimu ulivyo tu , ajira hamna watu wachache ndio wanajishikiza Kwa kanjibai kuganga njaa hata kozi za afya napo hali si nzuri ,asikudanganye mtu kuna madaktari , manesi , maabara nk wanasugua kitaa vile vileBoss hii ni mada technical tusiwaseme watu au vyama vya watu. Bali tuchangie mambo technical. Tulinganishe miradi iliyopo na idadi ya ajira na idadi ya hao vijana. Angalia hata capital investment ya hiyo Miradi.
Najua wewe ni mmoja wa Wadau wanaoifuatilia sana hii sekta...Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili:
Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu mwaka 2016.
Mnaongea msivyo vijua hao wa kilimo ,afya na ualimu wanasugua Gaga kitaa kama Kawa siku hizi na ni wengi huwezi amini , kama unabisha fanya utafiti uoneWazazi hamtumii Akili course za maana zinajulikana sasa mnakuwa na over expectations Hadi mnaboa
Soma udaktari
Soma kilimo
Somo ualimu
If wewe Ni mtoto wa masikini
Halafu wale wahuni wa ERB wapo tu ,kazi kuvimbisha matumbo yao kwa pesa za fees za wahandisi , hamna majitu ya ovyo kama haya majamaa ya bosi ya wahandisi ,yaani ni takataka ,mimi huwa yana kutumia mimeseji mpaka nilishachoka .Chief Eng. pale anakunja 300k basic/month qmmmq
Unasema tusiwaseme watu na vyama vya watu [emoji849][emoji849][emoji849]Boss hii ni mada technical tusiwaseme watu au vyama vya watu. Bali tuchangie mambo technical. Tulinganishe miradi iliyopo na idadi ya ajira na idadi ya hao vijana. Angalia hata capital investment ya hiyo Miradi.
Kama akili zenyewe za watanzania ndio hizi kama zako ni bora muendelee kujengewa vyoo tu kwa misaada wa USAID na mminywe tozo tu na mbogamboga hamna namna ,Thinking yako ni ya Industrial Revolution Age! Tuko kwenye Information Age!
Mnaosoma ili mkaajiriwe kwenye miradi ya Serikali mmepitwa na wakati!
Kuna wenzenu darasa la saba wamejiongeza wanauza petrol na diesel vijijini kwenye shughuli za kilimo na migodi!
Ukipita njia inayotoka Kahama hadi Masumbwe kuna madumu yamening'inizwa maporini kuashiria biashara ya "kupiga nyoka" katika magari yaendayo Rwanda na Burundi inafanyika!
Jitu lina degree ya petroleum na gas linapiga miayo mtaani hata mia halina!
Elimu ya kijinga ya kukariri theories ( tena mengi yanatamka seori)!
Pia Ufundi wa aina mbali mbali katika vyuo vya VETA.Mtoto wa masikini Anabidi kusoma fani tatu tu
Udaktari
Ualimu
Kilimo
Kila siku nawaambia lakini mnashupaza shingo
Yah ! We umeongea issue ya Maana ingawa Kwa issue ya certification inafanywa na bodi ya engineers ERB , Ila ni pale unspomaliza masomo ya chuo then unatakiwa kufanya STEM program ambayo hii unakuwa umeajiriwa au kama trainee WA internship ambapo unaandika technical reports Chini ya usimamizi wa Professional Engineer kama supervisor wako na kuzituma kule ERB kwa miaka mitatu ,then baadaye ndio kuna mchakato mingine inafuata then unakuwa certified ,kitu ambacho ni unfeasible Kwa ambao hawajapata sehemu ya kufanya hizo internships au kazi .Kitu kingine cha kuangalia ni hiki hapa
Kwenye fields za oil and gas,wanajali sana ''certification"
kitu ambacho hapa kwetu hakuna mamlaka inayofanya hiyo kazi hata kwa kushirikiana na taasisi
za nje,badala yake unakuta mtu anatoka msumbiji ,congo au Australia ni wa VETA lakini
yuko certified na mamlaka husika anakuwa boss wako wewe na degree yako
na anapiga pesa ndefu kichwani pako.
Tufike pahala,Taasisi kubwa kama UDSM zianze kufanya certification.
Hii itasaidia sio wenye degree tu bali hata watu wa veta waliothibitishwa kwenye fani fulani.
Mfano ni mafundi welder,ambaye hajathibitishwa hata kama huku
mtaani anafanya kazi nzuri ya welding,hawezi kuruhusiwa kuunga bomba la gesi.
Kwanini ,kwa sababu kampuni zote za bima zinaweka hicho kuwa kigezo cha mtu kufidiwa
au kutofidiwa endapo miundo mbinu yako itapata ajari ili ulipwe.
Ongezezea civil +eletronic engineering hauwezi kukosa Hela ya kuendesha maishaMtoto wa masikini Anabidi kusoma fani tatu tu
Udaktari
Ualimu
Kilimo
Kila siku nawaambia lakini mnashupaza shingo
Unamjua muasisi wa msemo wa Mkono mtupu haulambwi?Achana na haya mawazo. Unatakiwa kuiambia serikali jambo la kufanya. Usijiangalie wewe kama wewe. Hapa tunatajadili kwa mstakabali wa taifa letu.
Asante kwa ufafanuzi,ila mimi sina uhakika na hilo,siweziongelea nyanja nyingine ila kwa upande wa oil and gasYah ! We umeongea issue ya Maana ingawa Kwa issue ya certification inafanywa na bodi ya engineers ERB , Ila ni pale unspomaliza masomo ya chuo then unatakiwa kufanya STEM program ambayo hii unakuwa umeajiriwa au kama trainee WA internship ambapo unaandika technical reports Chini ya usimamizi wa Professional Engineer kama supervisor wako na kuzituma kule ERB kwa miaka mitatu ,then baadaye ndio kuna mchakato mingine inafuata then unakuwa certified ,kitu ambacho ni unfeasible Kwa ambao hawajapata sehemu ya kufanya hizo internships au kazi .
Hii kilimo hii, inalipa sana ila uangalifu muhimu mno, usije ukaingia mazao serikali inatolea macho, lazima ukate mtaji!Hapo labda kilimo tu, labda na course za kujiendeleza kama computer programming na software development.
Chief Eng. pale anakunja 300k basic/month qmmmq
Miradi ilisimama Magufuli alikataa kuna mambo haya kuwa sawa kwenye mikataba ya utafutaji na uchimbaji wa gas naafuta kwaiyo kampuni nyingi ziliondoka, kwa saa zimeshaanja kurudi tena uko Mtwara, Magufuli aliwaambia Makubaliano yao na awamu ya 4 yeye hatambui, alikataa hizo kampuni kama alivyo kataa ujenzi wa Bandari ya Bagomoyo.Tuchangie mada inavyotaka jamani. Mada inazungumzia ukubwa wa miradi yenyewe. Swali la kujiuliza kwenye hiyo miradi wakina nani wanakaa. Ndio mada ilenge hapo.
Kuna dogo jirani yangu anasomea petroleum engineering field chuo kiliwapeleka karakana ya tazara wakawa wanafanyishwa kazi za kuosha train
Wewe ndo akili yako ndogo kwani umeshindwa kuelewa theme ya submission yangu!Kama akili zenyewe za watanzania ndio hizi kama zako ni bora muendelee kujengewa vyoo tu kwa misaada wa USAID na mminywe tozo tu na mbogamboga hamna namna ,
Wewe ndo akili yako ndogo kwani umeshindwa kuelewa theme ya submission yangu!Kama akili zenyewe za watanzania ndio hizi kama zako ni bora muendelee kujengewa vyoo tu kwa misaada wa USAID na mminywe tozo tu na mbogamboga hamna namna ,
Huyo hata aende Somalia tu hapo hatoboi,elimu yetu ya kumeza madesa.Mkuu huyo kijana ni bright na skilled?.mbona kazi za gas&oil zimejaa dunia nzima mwambie aombe nje ya tz..inashangaza sana vijana potentials kukomaa na kuajiriwa na Gov ambapo malipo ni kidogo wakati nchi nyingine fursa ni nyingi sana kwa skilled people.