Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

Umebez kisiasa kulko uhalisia amna namna lazma mji uje Kuwa mkubwa Sana
Labda kwa kulazimisha. Miji kama Katoro, Kahama ama Buseresere imechangamka sana kuliko hapo kwa bosi. Nadhani ndio sababu tunatumia nguvu na rasilimali nyingi sana na nguvu kupapatia umaarufu na kupakuza
 
Watu wengine hata majumbni mwao wanataarifa za kutunga kuhusu familia zao.
Kma wachawi
 
Nahisi kufikia tu deposit ya 1bn itachkua miaka... Wataimba kinyar...
 
Yaani kwa akili kama hii ,wakoloni warudi afrika ili watutawale vizuri, yaani unachukulia nchi kama vyumba vya wake wenza kwamba huyu akipewa bhasi na mwingine apate ili wasioneane wivu ...yaani masuala ya kitaifa unayajadili kwa kuangalia wivu !!!!!.......

wenzetu wanaangalia kidogo walichonacho wakiwekeze wapi penye fursa zaidi ya kuzalisha pesa ili wauimarishe uchumi wao na kuendeleza jamii zao ila sisi tupo busy kugawana maghorofa ili tusioneane wivu !!!!!!......
Endeleeni kufurahia ila nina uhakika wajukuu zenu wataisoma michango yenu kupitia jf hiihii na watapigwa na butwaa kwa jinsi mnavyozitumia akili zenu
 
wale Logistics wangefanya hivi:

'Wizara na Taasisi zote muhimu zihamishiwe Chato...ili zikaiunge mkono hiyo Bank...au jiji la Mwanza lihamie hapo...

Tuipende nchi yetu
 
Labda kwa kulazimisha. Miji kama Katoro, Kahama ama Buseresere imechangamka sana kuliko hapo kwa bosi. Nadhani ndio sababu tunatumia nguvu na rasilimali nyingi sana na nguvu kupapatia umaarufu na kupakuza
Sawa mkuu
 
Chadema wewe bomu sana sana
Huko utafikiri hamna watu wasio CCM

Sasa kuandika upupwu.unasaidiaje wananchi..
Bure kabisa...
 
Kwani zaidi ya huyo jamaa kutokea huko chattle kuna mtu gani mwingine wa maana and aliyetokea huko. Tuache kuwalaumu wa migombani. Ila wale walistahili kupelekewa branch maana kule mzunguko wa pesa na watu wenye pesa wapo sana
Shame on you and your family.
 
Mlitaka wana Chato wasipate chochote kile, why such hatred while it is within your own country? Kwani anayehudumiwa pale si mtanzania mwenzio? Katika hii dunia wewe unajua kesho yako iko wapi, je ukijikuta unatua pale Chato hiyo huduma si utaitumia au utaendelea kuhoji vitu vya ajabu ajabu?

Na mwisho, Chato si dar kwamba kila eneo unakuta wateja wa kutosha. However, the longer it takes the more the customers will come around.
 
wale Logistics wangefanya hivi:

'Wizara na Taasisi zote muhimu zihamishiwe Chato...ili zikaiunge mkono hiyo Bank...au jiji la Mwanza lihamie hapo...

Tuipende nchi yetu
Waifanye iwe makao makuu ya nchi,ingependeza zaidi ili mkuu wa malaika angepunguxiwa gharama na mda wa kusafiri kwao hata Kwa miguu tu angefanya mazoezi.
 
Walitaka kuona viti vinajaa overnight, wanasahau hata wao walipo kuna watu walianza kufyeka msitu ili kujenga msingi wa nyumba na leo ni kati ya majiji makubwa hapa duniani.

Vipi wasingetokea wa kuanza kusafisha eneo nani alitakiwa kuja kufanya hiyo kazi. Kuanzisha benki ni masuala ya kitaalamu ila kutoa maoni ni utashi wa msemaji, mambo ya kitaalamu yako kisayansi na benki iko kisayansi make kuna guidelines, steps n.k ambazo zinatizamwa.

By the way, ni nani anaelewa master plan ya eneo hilo la kanda ya ziwa ikoje? Nakumbuka kuna maeneo zilianzishwa ofisi za posta miaka ya 1980 watu hawakushangaa ila leo 2018 kinafunguliwa kitu cha hivyo dot.com wetu wanahoji ...sijui kama kweli tunaendelea ama tunarudi nyuma.

Kwanini usifikilie kuwapelekea bank watu ambao wanatunza pesa zao kwenye vibuyu katika karne hii?
 
Na mtapasuka kwa wivu Na hasira. Mlidhanj maendeleo no Moshi Na Arusha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…