Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

Haaaa, hapo umechapia bro, kwahiyo Kakonko itakuwa mkoa gani? Make haiwezekani Kibondo iwe ndani ya Chato halafu Kakonko iliyoko karibu na Biharamulo iwe Kigoma.
 
CRDB walipofungua tawi Marangu Mtoni (Moshi Vijijini) hamkulalamika leo wamejitanua Chato imekuwa NONGWA hakika Chagadema ni adui wa taifa.
 
Jamani ebu nielezeni nami nielewe the motive behind, nimetembea sana nchi karibu kila pahala, wilaya nyingi nchini benki ya Crdb ina matawi, juzi tu nimepita Sikonge nikielekea Chunya kuna tawi la crdb bank. Sasa tatizo ni chato kuwa tawi la bank ya crdb au tatizo ni nini?
 
Achana nao, ngoja tuwanyoshe kwanza, Magufuli atapiga hadi 2034 then anachukua Makonda. Yaani wanataka kila kitu kiwe kwao, Arusha, Moshi Tanga. Kigoma huku hata lami tunaisikia tu, umeme kanjanja. Go JPM go go go...
 
Wivu utakuua mkuu!!
 
Hii vita ni kati ya wafuasi wa (Pontio Pilato_ - Vatikano) na JJKKKT (Dr. Martini Ruta)...sioni mwisho wake
 
Hili tawi limefunguliwa kwa KIKI, sio kwa UTAFITI. Si unajua bwana kubwa anavyopenda kiki?
 
Jamani mkae mkijua, chochote kinachoanzishwa Chato, huwa hakina tija, hata hai wasomi wanaongoza taasisi husika na kwenda kutupa fedha huko wanajua.
 
Roho mbaya na chuki ya ukabila inawatafuna na kuwamaliza taratibu.
Mlipofungua matawi ya hiyo Benki huko migombani mbona Watanzania walikaa kimya!?
Leo hii ndio imekuwa nongwa kisa tawi limefunguliwa sehemu anayozaliwa Rais wa nchi!
Migombani pesa ipo.
 
Machozi yanakulengalenga
 
Sijui wako wahudumu wangapi, wangejiwekea utaratibu anakwenda mmoja kwa siku au wiki wengine wa kila maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…