Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Inatutoaje kwenye mambo ya ongezeko la muamala.? Unadhani watu wote tunashinda kwenye mitandao kufatilia wasanii.?
 
Tulipe tu kodi wengine watazitumia ipasavyo

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Huwa najiuliza zile raslimali ambazo tunaambiwa tunazo mpaka wazungu wanaitamani nchi yetu, yako wapi ili yatupunguzie hizi double taxation? Au hizo raslimali ni hizi line zetu za simu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haiingii akilini mtuanatajwa kwenye report.ya CAG kwamba ametumia vibaya mabilioni ya serikali lkn yupo tu mtaani anadunda.

Halafu mnataka mkamuwe watu hela muende mkafuje tena.

Watu mmejaa funza kichwani
 
Wanaamua kulundika makato yasiyo na uhalali kwa wananchi, uongozi ujitafakari!
 
Pesa haiendi kwenye mfuko wa Mwigulu au Rais ,,wakibainika kutumia pesa za umma vibaya hatua zitachukuliwa.

Kama ni kwenda huko wanaweza enda maana Wana vipato vyao,Cha msingi lipa kodi hoji matokeo hayo mengine waachie wao
 
Haiingii akilini mtuanatajwa kwenye report.ya CAG kwamba ametumia vibaya mabilioni ya serikali lkn yupo tu mtaani anadunda.

Halafu mnataka mkamuwe watu hela muende mkafuje tena.

Watu mmejaa funza kichwani
Vyombo husika vipo na vinashughulika ,kutajwa ni jambo moja na kuthibitisha ni jambo tofauti .

Mkuu kodi lazima maana haziendi kutumika kwenye familia ya Mwigulu nk bali zinakuwa coordinated zitumike kwenye miradi ya wananchi.

Nyie wa mjini hamuelewi tabu za Vijijini ndio maana mnajisemesha na kulilia hovyo mitandaoni.
 
Kuna vitu vingi sana ambavyo vinaweza kutumika kama vyanzo vipya vya mapato sio kama hivi wanavyofanya kurundika kodi sehemu ambapo walishaweka kodi.
 
Unapoongeza kodi na kuwa kubwa mara dufu unakimbiza wateja. Watu watatafuta njia nyingine ya kutumiana hela.

Tukiwaita wapumbavu mnatuona tunawaonea lakini huo ndo ukweli.
 
Maccm hayapendi kutuona is a tuna furaha, hivi vipesa tunavyowatumia wazazi wamevitolea macho tena.
 
Sasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu

Sasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Kungekuwa na matumizi sahihi ya kodi zetu ingekuwa hakuna shida , tatizo tunabanwa na makodi lukuki hakafu watu wanaenda kujenga useless airport chato
 
Kibubu for life
 
Unapoongeza kodi na kuwa kubwa mara dufu unakimbiza wateja. Watu watatafuta njia nyingine ya kutumiana hela.

Tukiwaita wapumbavu mnatuona tunawaonea lakini huo ndo ukweli.
Tafuta tuu hizo njia nyingine ukiweza,ukienda bank kodi iko pale pale ukibeba kwenye mabegi unahatarisha usalama wako kwa hiyo pima mwenyewe.

Ukitukana unalipa kodi wewe hunufaiki na kitu
Unapoongeza kodi na kuwa kubwa mara dufu unakimbiza wateja. Watu watatafuta njia nyingine ya kutumiana hela.

Tukiwaita wapumbavu mnatuona tunawaonea lakini huo ndo ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…