Kwani kila mtu ameajiriwa?Kwani hizi kodi zinaathiri NYONGEZA za mishahara na KUPANDA madaraja tulikokuwa tunalilia miaka nenda rudi? Sidhani kama kuna issue, tufurahie nyongeza, achaneni na hayo matozo, yaliyoshindikana kwa miaka 5 mama kayafanya ndani ya siku 90 tu, kwa UZALENDO kabisa, VAT iongezwe mpaka 30%, PAYE iwe flat 30% ili wale tuliobanwa kwa miaka 5 iliyopita turejeshe mzigo wetu kwa expense ya wananchi, tujenge barabara mpaka milangoni, MAMA ANAUPIGA MWINGI.....Kazi iendelee
Akili huna kabisa. Hivi unaelewa maana ya kodi wewe?Vyombo husika vipo na vinashughulika ,kutajwa ni jambo moja na kuthibitisha ni jambo tofauti .
Mkuu kodi lazima maana haziendi kutumika kwenye familia ya Mwigulu nk bali zinakuwa coordinated zitumike kwenye miradi ya wananchi.
Nyie wa mjini hamuelewi tabu za Vijijini ndio maana mnajisemesha na kulilia hovyo mitandaoni.
Unajisikiaje kutumia jina hilo ( msukule) dhidi yangu?Nyie misukule wake dikteta simnasema mama Atekeleze ya magufuli, ndio haya Sasa, maana haya makato yalishapangwa tangu enzi za magufuli
Kuumia ya ny*ko? Badala ya ku simplify maisha wanakaza? NyooooSasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Hapa naona fulsa kwa dereva bodaboda mwaminifu. Yaani kama unamtumia pesa elfu 50000/= makato elfu 7500/= si bora umpe bodaboda elfu 2000/= aikimbize fasta
Haya ni makato ya kununua vieitee.Sasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Kuna sehemu unaandika point.....Shida kubwa ni kwamba tuna viongozi ambao IQ zao ni ndogo sana. Uwezo wao unaishia kukariri. Akikariri akapata A au B+ anaamini kuwa ana akili sana.
Waziri ambaye hajui kuwa ongezeko la kodi na tozo kwenye huduma wezeshi, indirectly kunasababisha kupungua mapato na kuzifanya sekta mbalimbali zisinyae, kweli huyo ana akili?
Umelipa Kodi ngapi na umehoji zimefanya Nini ama umeweka huku ili kupooza watu baadaye unajifanya kuwa hauna uhusiano na yellow fever ama green city.Pesa haiendi kwenye mfuko wa Mwigulu au Rais ,,wakibainika kutumia pesa za umma vibaya hatua zitachukuliwa.
Kama ni kwenda huko wanaweza enda maana Wana vipato vyao,Cha msingi lipa kodi hoji matokeo hayo mengine waachie wao
Hapa itatumwa kwa basi.Ataikimbiza kutoka Arusha kwenda Mwanza???[emoji1787][emoji1787]
Mkuu huu ni uzalendo ama unyonyajiSasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Nimecheka kama mazuri yaanSerikali inachangiwa kupitia VAT na tozo mpya, yaani serikali inapokea mchango mara mbili kwenye muamala mmoja..