Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Kwahio hapo kuna miamala hii Silaha Kali inakula zaidi hata ya Kampuni ambayo ndio ina overheads...

Alafu utasikia watu Mpesa wezi kweli..., Kumbe umzaniaye siye.., na wale mnaowaona ndio watetezi kumbe ndio makupe.... tutarudi kwenye enzi za takupa pesa tukikutana na sio nitumie kwenye namba hii
 
naona kodi zinakatwa mara mbilimbili..ilimradi tu kumuua mnyonge. Mnyonge mnyonge hadi afe. Miamala yote ilikuwa na kodi za serikali naona wameongeza kwa kuzipa neno tozo
 
Kwani hizi kodi zinaathiri NYONGEZA za mishahara na KUPANDA madaraja tulikokuwa tunalilia miaka nenda rudi? Sidhani kama kuna issue, tufurahie nyongeza, achaneni na hayo matozo, yaliyoshindikana kwa miaka 5 mama kayafanya ndani ya siku 90 tu, kwa UZALENDO kabisa, VAT iongezwe mpaka 30%, PAYE iwe flat 30% ili wale tuliobanwa kwa miaka 5 iliyopita turejeshe mzigo wetu kwa expense ya wananchi, tujenge barabara mpaka milangoni, MAMA ANAUPIGA MWINGI.....Kazi iendelee
Kwani kila mtu ameajiriwa?
 
Vyombo husika vipo na vinashughulika ,kutajwa ni jambo moja na kuthibitisha ni jambo tofauti .

Mkuu kodi lazima maana haziendi kutumika kwenye familia ya Mwigulu nk bali zinakuwa coordinated zitumike kwenye miradi ya wananchi.

Nyie wa mjini hamuelewi tabu za Vijijini ndio maana mnajisemesha na kulilia hovyo mitandaoni.
Akili huna kabisa. Hivi unaelewa maana ya kodi wewe?

Kodi huwa inakatwa kutoka nini?

Umeshawahi kufanya hata biashara yoyote ambayo TRA wanakukata kodi?

Wanakata kodi kutoka kwenye ulichopata au kwenye faida?

Kama wewe ni mzazi basi watoto wako wameshakula hasara.

Mimi ungekuwa Baba yangu wallah ningeshakulamba viboko siku nyingi. Siwezi kuwa na baba Poyoyo kama wewe.

I rest my case.
 
Nyie misukule wake dikteta simnasema mama Atekeleze ya magufuli, ndio haya Sasa, maana haya makato yalishapangwa tangu enzi za magufuli
Unajisikiaje kutumia jina hilo ( msukule) dhidi yangu?

Siyo nyie mlikuwa mnashangilia na kudai kuwa "Mama anaupiga mwingi"? Na mkasema anafumua "Sukuma gang" ili aweke vizuri nchi?

Mmeona "mama" yenu anavyobana kende?

Mpka ziwakae vizuri [emoji23][emoji23], [emoji119]
 
Sasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Kuumia ya ny*ko? Badala ya ku simplify maisha wanakaza? Nyoooo
 
Sasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Haya ni makato ya kununua vieitee.

"Unaijua vieitee wewe"
 
Shida kubwa ni kwamba tuna viongozi ambao IQ zao ni ndogo sana. Uwezo wao unaishia kukariri. Akikariri akapata A au B+ anaamini kuwa ana akili sana.

Waziri ambaye hajui kuwa ongezeko la kodi na tozo kwenye huduma wezeshi, indirectly kunasababisha kupungua mapato na kuzifanya sekta mbalimbali zisinyae, kweli huyo ana akili?
Kuna sehemu unaandika point.....
kuna sehemu unaandika utopolo....
hii ya leo point......
 
Pesa haiendi kwenye mfuko wa Mwigulu au Rais ,,wakibainika kutumia pesa za umma vibaya hatua zitachukuliwa.

Kama ni kwenda huko wanaweza enda maana Wana vipato vyao,Cha msingi lipa kodi hoji matokeo hayo mengine waachie wao
Umelipa Kodi ngapi na umehoji zimefanya Nini ama umeweka huku ili kupooza watu baadaye unajifanya kuwa hauna uhusiano na yellow fever ama green city.
Kuna jamaa amepiga hesabu kuwa wao wakikatwa 0.3 ya wanayopata tutapata bilioni plus kwa mwezi.
Wao uzalendo uko wapi.
Ninakuhakikishia lazima hii biashara ya miamala ya simu inaenda kufa kmmk.kama haifi lazima ipungue transactions Ile turnover.
Ile tuliyokuwa tunasikia kuwa sijui Trillion ngapi zimepita kwa miamala ya simu itabaki kitendawili tu.

Lazima watu wapate njia mbadala na wao wamebazi pale pale mnyonge anapoweza kutuma hela.
Ila masikini ni mtaji mzuri sana.yaani Kuna ujinga na umasikini ni mtaji mzuri kwa mtu mjanja kuutumia kutokea kimaisha.
Eti lipa Kodi afu uhoji.
Naona unatuliza emotions za watu.
Yaani nikuambie zilizokuwepo tu watu walikuwa wanaziwazia Sana Sasa Tena zimeongezeka.
Ama mishahara Yao ipunguzwe iwe hata 5M,
Wasipewe v8 wapewe double cabin Mana wao ni wazalendo wanaongoza wazalendo ama wanaongozwa tu ndio wazalendo.
Ila Kuna kauli zinatumika muda huo huo unakamuliwa.

Utakuja njia mbadala tu na watakifunza kitu.


Eti lipa Kodi afu hoji matokeo,so Leo ndo watu wanaanza kulipa Kodi hapo nyuma haikuwahi kulipwa????
 
ALIPOSEMA MTAMKUMBUKA YULE BWANA, NYIE MKAKAZA SHINGO[emoji23][emoji23][emoji23]..heee vip bado anaupuga mwingi huyo delila wenu
Screenshot_2021-07-14_212903.jpg
 
Tanzania haikua tayari kuwa na rais mwanamke. Ninavyoona anapangiwa kila kitu.

Itoshe kusema mitano hii inamtosha......

Nimemaliza
 
Sasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Mkuu huu ni uzalendo ama unyonyaji
 
Kwa takribani miaka mitatu nimekuwa natumia Sim kupokea pesa za mauzo kila siku baada ya kufunga ofisi na kufanya manunuzi ya bidhaa na kutuma pesa kwa sim tu, hii habari inaisha leo.

Viongozi wa nchi hawana manufaa yoyote, wanafikiria kodi tu pamoja na rasilimali mali zoote tulizonazo. Gesi, madini, vivutio vya utalii, mito, misitu na ardhi ya kutosha.

Kwanini Stamico isitumike kuwekeza kwenye madini, ifanye biashara na kuiingizia mapato serikali moja kwa moja ili kupunguza utegemezi kwenye kodi kama ifanyavyo sasa? Kwa mtindo huu, watu watakwepa sana kulipa kodi.
 
Back
Top Bottom