Tazama jinsi Samia alivyomzidi akili Magufuli kwenye uchumi

Sasa mkuu Tanzania tuna zalisha bidhaa gani za kupeleka kenya? Kama wananchi wa Dar wanatumia bidhaa kutoka Kenya na Supermarket zote zimejaa bidhaa kutoka Kenya, na Phamace zote ukienda kununua dawa utapewa dawa kutoka kenya au India
Hasa Kenya kinaenda chakula , kwa wingi sana.
Mahindi, machungwa, mananasi, mbao za Sao Hill na hivi karibuni hata makaa ya mawe.
 
Kila Rais kafanya yake, Kikwete naye aliingia na kuacha vyuo, barabara shule na hospitali kibao, ajira bwerere
Ila hakuiacha nchi na madeni makubwa
Mkapa aliacha dollar moja sawa na shilingi 800, Kikwete kaiacha dollar moja 2200 , kwajyo kwa sasa Rais akikopa ladhima mkopo utakuwa mkubwa tofauti ya Kikwete alivyo kuta dollar moja sawa na 800.
 
Chawa wa mama mnalicost taifa.
 
Mkapa aliacha dollar moja sawa na shilingi 800, Kikwete kaiacha dollar moja 2200 , kwajyo kwa sasa Rais akikopa ladhima mkopo utakuwa mkubwa tofauti ya Kikwete alivyo kuta dollar moja sawa na 800.
Ukubwa wa deni nimeupima kwa USD sio Tshs
 

Huna haja ya kuandikia mate mkuu, Tazama tu shillingi ya Kenya inavyoshuka ukilinganisha na ya Tanzania.
 
Tuuunganishe nguvu, tutoe Kodi Kwa uaminifu, uchumi utapandaaa Hadi wa kufikia marekanii.

Niombe wapinzani kwenye mikutano wasiache kutoa pongeziii
 
exactly
 
Mfafanulie mtu wa mtaani kwa lugha nyepesi akuelewe ambae mtu huyu akienda kununua mchele anakuta unauzwa 3,500 na kilo ya maharage 4,000,nini unamaanisha unaposema inflation imekuwa controlled.
Mchele na maharagwe ni bidhaa mbili kati ya nyingi zinazouzwa tz,by the way mtu was mtaani ni yupi!?
 
Inflation huku kwetu hakuna:-
  • Mchele Super wa Mbeya Kg 1 - 1,800/-
  • Mafuta kupikia Lita 1 - 3,000/-
  • Soda - 500/-
  • Bia - 1500/-

Maisha raha mstarehe...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani USD 1 huku tunainunua kwa Tsh. 1,800/-
 
Akili gani kwani ujui sasa ni dhama za kunya akili na kubakisha kinyesi ..em tufafanulie
 
Haya basi umejitekenya umecheka na kujifariji.Tulia Sasa
 
 

Attachments

  • 65D20616-8BCE-4671-95EB-6E95D2655C3B.jpeg
    167.9 KB · Views: 1
Yule mporipori aliamini kutumia mitutu ya bunduki kuliko kutumia akili, tunamshukuru Mungu kutuamulia huu ugomvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…