Tazama jinsi Samia alivyomzidi akili Magufuli kwenye uchumi

Ni mpumbavu tuu ndio atakaye unga mkono upumbavu huu.
 
Sisi wabongo ni wazee wa mapambio ya sifa kila awamu...

Ni juzi juzi tu hapa JPM akiwa hai, pambio kuu lilikuwa ni uchumi wa chini wa kati, sifa kemkem...

Sasa hayo yote yamesahaulika, marehemu anapigwa madongo na mama anapambwa kama ilivyokuwa kwa JPM...
 
Nonsense.
 
Huyu mtoa mada Hana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sasa hivi iko 4.9 hiyo controll ni ipi ?
Rekodi ya kiwango Cha juu ni zaidi ya 33% kipindi Cha Nyerere,lakini kati ya 1999-2022 rekodi ilikua 2011 kwa 19pc.....umeelewa maana ya under control!?
 
Yule mporipori aliamini kutumia mitutu ya bunduki kuliko kutumia akili, tunamshukuru Mungu kutuamulia huu ugomvi

Mkuu JPM kafariki tayari. Haya Sasa Karudie kusoma alichoandika jamaa then Kama una akili nje ya kutukana marehemu, anza kuijadili mada yake Kama utarudi kumsifia.
 
Mkuu JPM kafariki tayari. Haya Sasa Karudie kusoma alichoandika jamaa then Kama una akili nje ya kutukana marehemu, anza kuijadili mada yake Kama utarudi kumsifia.
Tusi liko wapi hapo? Au nyie wahutu Kiswahili kinawapa shida kuelewa
 
Sisi wabongo ni wazee wa mapambio kila awamu...

Ni juzi juzi tu hapa JPM akiwa hai, pambio kuu lilikuwa ni uchumi wa chini wa kati, sifa kemkem...

Sasa hayo yote yamesahaulika, marehemu anapigwa madongo na mama anapambwa kama ilivyokuwa kwa JPM...
Uteuzi mtamu sana mkuu
 
Rekodi ya kiwango Cha juu ni zaidi ya 33% kipindi Cha Nyerere,lakini kati ya 1999-2022 rekodi ilikua 2011 kwa 19pc.....umeelewa maana ya under control!?
Mkuu mfumuko wa bei hatuhitaji takwimu ambazo mimi na wewe tunaweza tusijue zimepatikanaje.

Tuangalie tu uhalisia wa bidhaa sokoni.
Mafuta ya kula chini ya JPM yalikuwa 5000 kwa lita hivi sasa ni 8500 hiyo ni kiashiria cha inflation,

Maharage chini ya JPM yalikuwa 1600-2000 ila kwa sasa kwa bei ya leo sokoni ni 4000.

Mbolea chini ya JPM ilikuwa 60000 mfuko wa kila 50 Urea leo hii ni 120000 bila Ruzuku.

Bati chini ya JPM ilikuwa 240000-270000 kwa Bando sasa ni 400000+.

Sabuni mchi wa Sabuni tulinunua kwa 1500 bei ya juu sasa ni 3500.

Chumvi kwa miaka 7 mfululizo tulinunua mfuko wa 20kg kwa 6000-7000 sasa ni 12000.

Hebu nieleze hii control ya inflation wewe unaiona wapi ???
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
2016/17 Bei zilikuwaje na ulikuwa wakati wa nani!?...Mimi wakati wa jakaya nilinunua mfuko wa urea elf 18, dap 25.... unamaanisha huwaamini NBS.. NBS wakudanganye 'kipindi hiki' ili iweje!?...unga 2017 ulifika 2500 kilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…