Watanganyika waliojigeuza machawa ndio tatizo kubwa ,kwa sasa unafiki/chuki umetamalaki ,Rais ndio anaongoza kwa chuki za wazi wazi na wanafiki wanashangiliaNiliona video mpina akiondoka kwa miguu bila ulinzi wala gari kwenye mkutano wa CCM baada ya kumuambia samia wananchi wanamuhitaji.
Katika mkutano ule samia alionekana kukasirika bila sababu na niliona mpina akiondoka kwa miguu mkutanoni, suala hili linatupa picha gani ?
sisi kama nchi ndio tume fikia kwenye hii hatua tunaelekea kubaya sana tunapaswa kuzinduka usingizini na kusema hii ni nchi yetu sote, kitendo cha samia kuambiwa wananchi wanamuhitaji sio kosa wala tusi na kitendo cha mpina kuondoka mkutanoni bila usafiri wakati yeye ni mbunge hakikubariki na kina chafua taswira ya nchi yetu hii sio nchi ya kifalme.
Kitendo kile hakija jificha kila mtu mwenye akili timamu ameona wasizani sisi hatujaona na kwa kitendo kile ni wazi tuna raisi mbaya sana.
Anagombea na Nani Hadi asishinde?hawezi kushinda uchaguzi
Acha hoja za uongo, magari maalum ni kwa Rais na msafara wake tukwenye mikutano ya viongozi wa nchi kuna kuwa na magari maalum ya kuwapeleka viongozi na kuwarudisha hivyo pale hawezi kwenda na gari lake
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa ChoiceVariableKitendo kile hakija jificha kila mtu mwenye akili timamu ameona wasizani sisi hatujaona na kwa kitendo kile ni wazi tuna raisi mbaya sana.
Kwani wabunge huwa wanakuwa na walinzi? Kama ni ndiyo hao walinzi wanawekwa na nani? Nani anawagharamia? Waziri mwenyewe hana mlinzi ndiyo itakuwa mbunge wa kawaida!!!! Msikuze mambo.Niliona video mpina akiondoka kwa miguu bila ulinzi wala gari kwenye mkutano wa CCM baada ya kumuambia samia wananchi wanamuhitaji.
Katika mkutano ule samia alionekana kukasirika bila sababu na niliona mpina akiondoka kwa miguu mkutanoni, suala hili linatupa picha gani ?
sisi kama nchi ndio tume fikia kwenye hii hatua tunaelekea kubaya sana tunapaswa kuzinduka usingizini na kusema hii ni nchi yetu sote, kitendo cha samia kuambiwa wananchi wanamuhitaji sio kosa wala tusi na kitendo cha mpina kuondoka mkutanoni bila usafiri wakati yeye ni mbunge hakikubariki na kina chafua taswira ya nchi yetu hii sio nchi ya kifalme.
Kitendo kile hakija jificha kila mtu mwenye akili timamu ameona wasizani sisi hatujaona na kwa kitendo kile ni wazi tuna raisi mbaya sana.
Kushinda atashinda.Tatizo langu ninashindwa kupata picha ulitakuwaje uongozi wake kwa miaka mitano ijayo kama hii minne tu Ina mauza uzauza hivi.Mama anasema atamteua Mpina, Hivi ameshashinda uraisi, huyu mama simuelewi
Kura za kushinda anazo tatizo ni kuthibitisha Nani amempigia hizo kura. Ni sawa na kutumia kuongoza cha mwalimu kupata jawabu lakini formula huna.Mama anasema atamteua Mpina, Hivi ameshashinda uraisi, huyu mama simuelewi
Umenisikia nikicheka mkuu 'Erythro'!Amen
Kuna jambo lolote unaloweza kumwamini Samia? Nitajie hata moja tu alilosema na likawa la kweli!"Mama" alisemaga yeye si mtu wa kusimama na kufokafoka ...yeeh yeeh yeeh...!Kumbe ile ilikuwa ni totally gibberish!
π€£ π€£ π€£ πMpina kavuruga ziara yote, Mama anaenda kulala na viatu leo, Wallah Wabhillah!
Mpina akili hana yuko jimbo la mtu mwingine alitakiwa tuasalimie wananchi tu na kwenda kukaa chiniMh. Rais ashariiwe aache kufanya personification si sawa kwa kiongozi wa kitaifa. Hapo ameshamfanyia character assassination mwenzake na kwakua ana power kubwa kuliko huyo mwanasiasa mwenzake...Angemwacha wananchi waamure kama anafaa au laa, kuwalazimisha raia waliomvhagua wamwone jinsi amonavyo yeye si sawa hasa kwakua yeye ni kiongozi wa kitaifa
π€£ π€£ π€£ πAlie karibu nae atume lipa namba, kaka anywe balimi hapo
Muarobaini ni mgombea binafsiNarudia tena haya Magenge ambayo yanajiita Vyama yataendelea kuteketeza Mawazo Mbadala (Muhimu sana Kuleta Wagombea Binafsi) hivi vyama vishakuwa Magenge....
Operesheni Piga Chini
SIo siri hawa wanasiasa wanatuchezea, sisi maboss wao wanatufanya kuwa vijakazi wao, hatuna cha kuwafanya zaidi ya kuwaonyesha boss ni nani; Je Tutafanyaje ? Box la Kura Ndio huenda wataiba lakini wote / wengi tukiwakataa watajua ukweli kwamba tumewachokan na huenda wakajirekebisha, ila...www.jamiiforums.com
πβοΈπ€πSio wanamuhitaji ni WANAMDAI