Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

Alitaka watu wajadili taarifa isiyojulikana kuhusu hiyo gari.
 
Naona wengi wanakebehi lakini naomba nitumie tu neno Moja tu kuwa ni WAJUHA Kwa kuwa hawajui nguvu ya TRIAL and ERROR kwenye creative.VIVA UDSM
 
Body inajionyesha nani apoteze mda kuomba specification , utashangaa kwa utopolo huo wanaomba ruzuku serikalini watu wanagawana af wanachikichia
 
Specifications muhimu design ya nje sio kitu cha maana ni kipengele cha mwisho

Magari ya Umeme ya Tesla yana design nzuri lakini wanunuzi wachache

Hununui design
 
Kutokusoma ni ujinga wake Kwani hakupelekwa shule

Baada ya miaka 10 tueleze alipofikia
 
Umesema kweli
Kwa hiyo hata Mimi naweza unda Gari kazi yangu ni kupachika vifaa tuu sio?😀😀
 
Specifications muhimu design ya nje sio kitu cha maana ni.kipengele cha mwusho

Magari ya Umeme ya Tesla yana design nzuri lakini wanunuzi wachache

Hununui design

The Subject matter which stole the show is; "Wanafunzi wa UDSM watengeneza gari" basi, na sisi tumejadili hapo tu,hayo mengine ya specificans, bei, spidi, inabeba watu wangapi, bei yake, Hp ya Engine etc, come next.
 
Naona wengi wanakebehi lakini naomba nitumie tu neno Moja tu kuwa ni WAJUHA Kwa kuwa hawajui nguvu ya TRIAL and ERROR kwenye creative.VIVA UDSM
Nguvu ya trial and error ina variables kama time and demand. Ugunduzi ndo una trial and error, huwezi sema utapoteza muda kwenye trial and error katika uzalishaji ambao wengine wanaufanya kwa usahihi na teknolojia ya juu.

Ndo maana watu wanaunda mpaka helkopta ila serikali haisumbuki nao sana sababu inajua iwapo nchi itataka kuunda helkopta sio suala la trial and error tena, ni suala la elimu ya kuiunda kutoka kwa waliofanya trial and error miaka mingi nyuma na sasa wanaunda helkopta za kisasa.
 
Kama tunataka kuunda magari hatua ya kwanza ni kuifahamu teknolojia ya sasa ya uundaji magari na kuwekeza huko. Hii ya kuanzia mwanzo kama vile dunia ndo inagundua magari ni kupoteza muda.
Ni sawa na kurudi zama za ujima
 
Reactions: Tsh
Umesema kweli
Kwa hiyo hata Mimi naweza unda Gari kazi yangu ni kupachika vifaa tuu sio?😀😀

Kabisa, tena hiyo inaitwa Cloning technology, inafanyika sana kwenye uundaji wa Kompyuta, mtu anaokoteza vifaa mbalimbali vya kompyuta kutoka huko na huko kisha anaunda Kompyuta na inafanya kazi na hata anaweza kuziuza.
 
The Subject matter which stole the show is; "Wanafunzi wa UDSM watengeneza gari" basi, na sisi tumejadili hapo tu,hayo mengine ya specificans, bei, spidi, inabeba watu wangapi, bei yake, Hp ya Engine etc, come next.
Labda mtu uwe hukusoma au hata kama ulisoma hukuelewa ulichosoma

Kanuni za discussion au debate ili kujenga hoja vizuri ungetaka specifications kwanza

Lakini kulipuka tu ni ulayman ni kujadili.tu kama mtu wa mtaani ambaye hajawahi kanyaga hata darasa moja

Uzuri mleta mada anaonyesha ana akili nyingi sana katupia picha tu aone huko nje jamii ina uelewa wa kiwango gani

Kwa waliosoma saikolojia hiyo picha na response za watu humu ni kipimo tosha Cha IQ test ya waliojadili hiyo picha kujua zimo au hazimo
 
Sehemu tunayotaka kupita wenzetu walishapita miaka 100 iliyopita ni ngumu sana mambo tunayofanya yanatia aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…