R na L ni ugonjwa wa Watu wengi sana hapa jukwaani. Chukulia kawaida tu 😅😅😅Umeandika vizuri kabisa ila umeharibu kuchanganya r na l. Ni mteRemko, sio mtelemko. Leo fanya mazoezi ya ra re ri ro ru. Kesho la le li lo lu, rudia wiki nzima utabadilika.
Slope ni MTEREMKO sio Mtelemko
Na watu wameingia kichwa kichwa ndio ujue Jamii Forums sio wote great thinkers wako wengine vichwani hamna kituAlitaka watu wajadili taarifa isiyojulikana kuhusu hiyo gari.
Slope ni MTEREMKO sio Mtelemko
Tafuta kamusi achana na Google translation
Aliyeweka hiyo "mtelemko" kwenye google naye yupo km wewe.Kweli unaweza kunifundisha kiswahili katika maneno mengine lakini sio kwa hili neno:- " "mteLemko" eti usahihi ni "mteRemko" !!🤤
[emoji38]Daah kuna shida sana hao wanafunzi na supervisor wao bado wana mawazo ya kijamaaa " BIG MISTAKE". ingekuwa enzi za mwalimu io gari ndo ingekomaliwa watanzania watumie- komba angeimbia hadi nyimbo. Alafu bungeni wabunge uchwala wangetunga sheria hamna magari ya mtumba kuingia bongo ili watanzania wanunue io gari pekee, sababu wangekuambia kulinda kiwanda chetu cha gari.
Sasa kweli kipindi hiki kulivyo na ushindani mkali wa kiutandawazi, mwanafunzi anatengeneza gari yenye body hioo... Watu saa hivi wanapress body cover kwa hydraulic fluid. Hivi hao wanafunzi kuchagua .... Niishie hapa
Aliyeweka hiyo "mtelemko" kwenye google naye yupo km wewe.
Neno sahihi ni "mteremko"
UDSM kitengo cha kozi za degree za Engineering cha COET husajili wanafunzi wenye performance na akili nyingi mno kupata nafasi COET unatakiwa kufaulu hasa hasa hawaangalii tu pass ulipata form six form lazima waangalie pia wanataka mwenye akili consistent sio za hapa na pale na selection zao huonyesha O level ulipata nini na A level ulipata nini na ku rankAlitaka watu wajadili taarifa isiyojulikana kuhusu hiyo gari.
Haswa, angalau ni mwanzo mzuri.Hahaha Da Bado Tunayo Safari
Ukweli kuhusu mbwa, ni kuwa ni mnyama mwenye akili sana. Ni mwerevu pia. Ulimi kuwa nje ina maana ameridhika. Au ulikuwa unataka kutuaminisha nini mkuu?Ila tutafika ulimi ukiwa nje mithili ya mbwa.
Jipya ni.... Vijana wa leo wameonyesha nia nzuri. Wapongezwe na sio kubezwa! Hata wale unaofikiri kuwa ndio wagunduzi, nao pia waliboresha tu 'ugunduzi'Hakuna jipya hapo wala ugunduzi.
Kwanini tusijisifie, Mkuu unakitu unachojisifia kweli?hakuna haja ya kujisifu,
Kwanini iwe hivyo? Kwanini isiwe kwenye Engineering ya hivyo vitu badala ya kuwa Makarani, madereva, na walinzi wa wanyama?Nadhani kama nchi tungewekeza zaidi kwenye vijana wa IT, kilimo na ufugaji.
Unafikiri kwa sababu gani Mamasamia2025?Hilo gari hata kama linaweza tembea HALINUNULIKI.
Wape moyo!bado sana!!
Hapo Ujamaa umeingiaje? Duhbado wana mawazo ya kijamaaa
Taja hata gari moja lilokomaliwa enzi za mwalimu! Sidhani unalijua gari lelote lililotengenezwa enzi "io" na likakomaliwa! Unabisha?enzi za mwalimu io gari ndo ingekomaliwa watanzania watumie
Kwa sasa watu hawaanzii nyuma, wanaanzia wenzao walipofika kwenda mbele. Hilo gari linafanana na 1930s na baada ya hapo ni store. Yule jamaa ambaye hakuwa kasoma miaka kadhaa zi alitengeneza gari likaonyeshwa analipiga misele hadi likawa maonyesho ya sabasaba.Haswa, angalau ni mwanzo mzuri.
Ukweli kuhusu mbwa, ni kuwa ni mnyama mwenye akili sana. Ni mwerevu pia. Ulimi kuwa nje ina maana ameridhika. Au ulikuwa unataka kutuaminisha nini mkuu?
Jipya ni.... Vijana wa leo wameonyesha nia nzuri. Wapongezwe na sio kubezwa! Hata wale unaofikiri kuwa ndio wagunduzi, nao pia waliboresha tu 'ugunduzi'
Kwanini tusijisifie, Mkuu unakitu unachojisifia kweli?
Kwanini iwe hivyo? Kwanini isiwe kwenye Engineering ya hivyo vitu badala ya kuwa Makarani, madereva, na walinzi wa wanyama?
Unafikiri kwa sababu gani Mamasamia2025?
Wape moyo!
Hapo Ujamaa umeingiaje? Duh
Taja hata gari moja lilokomaliwa enzi za mwalimu! Sidhani unalijua gari lelote lililotengenezwa enzi "io" na likakomaliwa! Unabisha?
Mkuu, naungana na wewe hapa kwa mtazamo huo.UDSM kitengo cha kozi za degree za Engineering cha COET husajili wanafunzi wenye performance na akili nyingi mno kupata nafasi COET unatakiwa kufaulu hasa hasa hawaangalii tu pass ulipata form six form lazima waangalie pia wanataka mwenye akili consistent sio za hapa na pale na selection zao huonyesha O level ulipata nini na A level ulipata nini na ku rank
Sasa huyo kapost picha tu ya gari kapost kupima akili za watu humu.jamii forums kuwa zimo au hazimo kwa kupost picha tu for discussion
Kama lengo lao lilikuwa kujua wachangia mafa hiyo picha zimo au hazimo zimo au hazimo picha yao na response walizopata humu kwa hiyo picha watakuwa wameelewa tatizo la nchi hii watu IQ ndogo pia inachangia nchi kuwa maskini
Mtu aweza ona kivuko picha yake akasema kinunuliwe bila kupata specifications kikija kinakufa kabla kuanza safari
Comments nyingi humu zime ignore specification na wengine humu utakuta ndio watoa maamuzi kipi kinunuliwe au waelimishaji nk
Inaumiza.kujadili picha badala ya specification binafsi nimeumia
Mungu atusaidie watanzania
UDSM kitengo cha kozi za degree za Engineering cha COET husajili wanafunzi wenye performance na akili nyingi mno kupata nafasi COET unatakiwa kufaulu hasa hasa hawaangalii tu pass ulipata form six form lazima waangalie pia wanataka mwenye akili consistent sio za hapa na pale na selection zao huonyesha O level ulipata nini na A level ulipata nini na ku rank
Sasa huyo kapost picha tu ya gari kapost kupima akili za watu humu.jamii forums kuwa zimo au hazimo kwa kupost picha tu for discussion
Kama lengo lao lilikuwa kujua wachangia mafa hiyo picha zimo au hazimo zimo au hazimo picha yao na response walizopata humu kwa hiyo picha watakuwa wameelewa tatizo la nchi hii watu IQ ndogo pia inachangia nchi kuwa maskini
Mtu aweza ona kivuko picha yake akasema kinunuliwe bila kupata specifications kikija kinakufa kabla kuanza safari
Comments nyingi humu zime ignore specification na wengine humu utakuta ndio watoa maamuzi kipi kinunuliwe au waelimishaji nk
Inaumiza.kujadili picha badala ya specification binafsi nimeumia
Mungu atusaidie watanzania
Kikubwa kinachoonekana ni kuwa wameunda gari. Kwani sehemu dunia ilipofika katika utengenezaji wa magari vitu vinaunganishwa tu.Kwa sasa watu hawaanzii nyuma, wanaanzia wenzao walipofika kwenda mbele.
Sawa, Ila wameunda gari, kwa sasa hao jamaa hata wakitaka kazi Rolls Royce wanapata kazi.Hilo gari linafanana na 1930s na baada ya hapo ni store.
Kudos zake.Yule jamaa ambaye hakuwa kasoma miaka kadhaa zi alitengeneza gari likaonyeshwa analipiga misele hadi likawa maonyesho ya sabasaba.
Sehemu tuliyofikia ya Udikteta za mabepari, tunabidi tuwe wakorofi kufanya hivyo.....hata majibu/comments zinazoonekana zimelala upande wa kumezeshwa na itikadi za Ubepari au niseme Ubepari wa kibeberu....hawataki tushindane. Mfano mzuri kwa leo ni ile ndege ya china ya C919 sasa baada ya kuleta ushindani wao, Wamarekani wanataka washindane kortini tena. Huo ni Udikteta na ukandamizajiNi dunia ya mashindano lazima ulete vitu vyenye ushindani.
Hakuna neno mtelemko kwenye kiswahili ni mteremko acha ubishi wa kitoto
Hakuna kitu walichofanya hao wanafunzi wa udsm ni kichekeshoKikubwa kinachoonekana ni kuwa wameunda gari. Kwani sehemu dunia ilipofika katika utengenezaji wa magari vitu vinaunganishwa tu.
Sawa, Ila wameunda gari, kwa sasa hao jamaa hata wakitaka kazi Rolls Royce wanapata kazi.
Kudos zake.
Sehemu tuliyofikia ya Udikteta za mabepari, tunabidi tuwe wakorofi kufanya hivyo.....hata majibu/comments zinazoonekana zimelala upande wa kumezeshwa na itikadi za Ubepari au niseme Ubepari wa kibeberu....hawataki tushindane. Mfano mzuri kwa leo ni ile ndege ya china ya C919 sasa baada ya kuleta ushindani wao, Wamarekani wanataka washindane kortini tena. Huo ni Udikteta na ukandamizaji
Alafu mbaya zaid analazamisha ujinga wakeSlope ni MTEREMKO sio Mtelemko
Tafuta kamusi achana na Google translation