Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

Hivi hawaonagi aibu kuitangazia dunia utopolo kama huo!
 
Specification hajaweka boss.
 
Swali muhimu kabisa ni: je wameweza kuunda engine yake from the scratch ??

Nauliza swali hilo kwani gari hasa ni Engine, ukiweza kuunda Engine basi vyote vilivyobakia ni mtelemko tu, kuunda Engine ndio elimu ya ma-engineers.
You can't say more than this. Thanks
 
HUMU WADAU WAO NDIYO WANAJUA KILA KITU MKUU

OVA
 
Hata kama ni wanangu nitawaambia ukweli ili niwasaidie wafikiri kisasa na sio kizaman
Sawa, hata hao unaodhani ni "kichekesho" nina uhakika nao walipata ushauri mzuri tu au Ukweli kuhusu hali halisi kutoka kwa Wazazi wao(what makes you special ndugu?)
Suala nililokuomba ulitafakari, sio la kuwaambia ukweli au uongo na wala sio suala la kisasa au kizamani. Suala ni kuwa umedai ni kichekesho, kwa tafsiri nyingine, una maana ni wakuchekwa....Je wewe utafurahia watoto zako,

[ baada ya kuwapatia uhalisia wa- Ukweli dhidi ya
Uongo, Kisasa dhidi ya Kizamani] n.k

Je, Utafurahia wakichekwa?
Ni hilo tu.
 
tukisema ni upuuzi hakuna ubunifu wowote bbora wanaobuni majiko sanifu ya mishati mbada luliko hii kukopy idea na kufanya chini ya kiwango na ubunifu duni kabisa...research paper za wabongo ni za kuiga na kuedit edit ndio maana hatuoni utofauti wa mtu mwenye degree na asiyekuwa nayo katika kufanya mambo ya kawaida tu mitaani...hata mtayarisha habari mwenye degree na asiyekuwa nayo ipo sawa ni kucopy kutoka VOA na BBC auCNN na kuiweka google transilator na kuchapisha...kuna habari nyingi za kutosha vipindi sehemu nyingi sana tz lakini media haitulishi hivyo na kutuaminisha habari zinatoka hapo jiji la mzizima vivyo hivyo bunifu hizi zipo nyingi zenye tija na bunifu kweli kweli zisizopewa headline...
 
Kuna mambo tuachane nayo sanasana yanatufanya tuwe kichekesho.
Tujikite kwenye agricultural engineering tulete mageuzi kwenye kilimo ambacho mpaka leo tunapuyanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…