Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Nyie UWT ni lini mlichangia ndani ya siku 2? CDM wanataka haki, nyie huwa mnachangisha wakuu wa idara na taasisi pamoja na wafanyabiashara kwa nguvu
CCM hata ikitaka keshi ya Billion moja inaweza kupata ndani ya siku moja tu tena kwa saa chache. Maana watu wanaoipenda CCM na kuwa na utayari wa kuichangia kwa hiyari ni wengi sanaa.
 
Anashindwa kutofautisha chama kinachoendeshwa na mfuko wa serikali 100% (CCM) na chama kinachojikongoja chenye (vyama vilivyobaki vya siasa ikiwemo CDM).
Yaani kutoa mchango wa mia tano au buku kumchagia Lissu imekuwa nongwa na mabishano makali.kwanini mnakuwa na mioyo migumu kiasi hicho?
 
Yaani kutoa mchango wa mia tano au buku kumchagia Lissu imekuwa nongwa na mabishano makali.kwanini mnakuwa na mioyo migumu kiasi hicho?
Naona nabishana na kichaa.
Embu endelea na ujinga wako hasara kwa jamii kwa hizi akili zako.
Usinipotezee muda.
 
Kwa hiyo kipi ni kipi? Je mmeweka mgomo wa kumchangia Lissu au hamna wanachama.maana hueleweki kabisa ewe mwanachadema uliyejaa msongo wa mawazo kichwani mwako. Maana naona umeanza hadi kuhusisha mambo ya kanisani. Kwa hiyo chama Chenu ni tawi la kanisa?
 
Naona nabishana na kichaa.
Embu endelea na ujinga wako hasara kwa jamii kwa hizi akili zako.
Usinipotezee muda.
Leo ni moto juu ya moto mpaka akili zinewarukeni kichwani. Mna wanachama hai wangapi? Maana inaonyesha hata laki tano tu hamgiki kati ya mamilioni ya watanzania waliopo.
 
Nakuelekeza mara ya mwisho kijana pia uwe na uelewa.
Mie sio mwanachama wa chama chochote bongo,elewa hilo kwanza.
Pili idadi ya watu waliochangia sio kipimo halali cha idadi ya wafuasi kwasababu wapo wanachama waliolichukulia hili jambo kuwa ni la kibinafsi zaidi,wapo ambao waliotamani kumchangia ila kwasababu za kiuwezo wakashindwa hali ngumu.
Na wapo walioliona lina umuhimu na wakachangia,watu hamuwezi kuwa na mawazo sawa.
Ndio maana nikakuuliza je,wanaoingia kanisani wote hutoa sadaka?
Je ambao hawajatoa kwasababu zao tofauti ndio tuwatoe kuwa hao sio waumini!?
Unaelewa maana ya mifano!?
Au shule ulikimbia wewe!?
Kama hujaelewa hili usini quote tena unanipotezea muda kujibizana na wewe na unaongea upuuzi.
 
Kwamba kila mwanachama wa Chadema atachangia Gari kilazima?
Au kila mwanachama wa Chadema amefikiwa na hili tangazo?
 
wanachama wengi wa chadema ni wasomi na wachumi sio mazezeta kama wa ccm,mtu unaambiwa mnunulie rais form unanunua wakati huna uhakika wa dagaa wa mwanza wa 200 na dona mtu unakiduchu afu huyo aliyesababisha uwe nakiduchu hicho anakuja kukunyang'anya kidogo ulichonacho kwa gia ya kujiliza ili aonekane analia lugha moja na watanzania huo ni unafiki
 
Leo ni moto juu ya moto mpaka akili zinewarukeni kichwani. Mna wanachama hai wangapi? Maana inaonyesha hata laki tano tu hamgiki kati ya mamilioni ya watanzania waliopo.
We una uhakika gani kama mimi Chadema!?
Mie sina raisi hapa bongo na sishabikii siasa.
Umeleta mjadala watu wajadili,kwahiyo kila anaejadili huu mjadala ni mfuasi wa siasa!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aisee kweli ni ngumu kushinda mjadala dhidi ya mtu mwerevu ila ni karibia na haiwezekani kushinda mjadala dhidi ya mpumbavu(Lucas mwashamba).
 
Kwa hiyo mmegoma kumchangia Lissu hela baada ya kugundua anakula sana michango yenu?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
CCM hata ikitaka keshi ya Billion moja inaweza kupata ndani ya siku moja tu tena kwa saa chache. Maana watu wanaoipenda CCM na kuwa na utayari wa kuichangia kwa hiyari ni wengi sanaa.
Mkapa kwenye kitabu chake alikiri kuiba 130B ajili ya uchaguzi wa 2005 kutoka kwenye fedha za umma, nyie ni majangili tupu, CCM kuanzia Wilaya kwenda juu wanatumia mafuta na posho za serikali kwa matumizi ya chama mpk matengenezo ya magari. Jinga kabisa chama kimeja majizi tupu na matapeli
 
Kwamba kila mwanachama wa Chadema atachangia Gari kilazima?
Au kila mwanachama wa Chadema amefikiwa na hili tangazo?
Kwa hiyo unamaanisha kuwa mpaka sasa wanachama wa CHADEMA hawajafikiwa na tangazo na ndio maana michango inachechemea? Kama jibu ni hilo basi wafuasi na wanachama wenu hawapo Tanzania na hawanamsaada wowote kwenu na kuna uwezekano wanaishi ardhini ndio maana hawajui kinachoendelea huku Duniani.na ndio maana michango imekuwa migumu sana kutoka.
 
Sasa kwanini mmeshiindwa kuchanga hata mia tano tu ili kiongozi wenu apate gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…