Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Mkuu seti tupu hiyo unapoteza muda wako empty headed!!Hivi unaandika 500,000/= halafu unahusanisha na idadi ya watu? ukishaweka alama ya /= mbele ya namba hapo unamaanisha ni fedha mkuu wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu seti tupu hiyo unapoteza muda wako empty headed!!Hivi unaandika 500,000/= halafu unahusanisha na idadi ya watu? ukishaweka alama ya /= mbele ya namba hapo unamaanisha ni fedha mkuu wangu
Wameshindwa kujibu hoja wameanzaa kutukana matusi kama kawaida yao.📌📌📌📌📌🔨 😆😆😆😆😆 Bado hujasema
Sio tuu idadi ya wanachama Bali kukubalika Kwa Kiongozi wenu.
Huyo Pinga Pinga watu wanamuona ni mgonjwa wa akili hana jema na hawezi kuwa na rafiki mtu wa hivyo 🤣🤣
Wewe peleka bakuli kawaambie naomba hela za kununua gari yangu na kura pia 😁😁
Na hizi ndio akili zenu halisi wana CHADEMA nazozifahamu ,ambapo hoja ikiwashinda kujibu mnaanza kutukana matusi kama wagonjwa wa akili.Wewe tangu umepakuliwa asali Yako baada kufungwa miezi 6 jela kwa kuuza sukari ya magendo akili hazijarudi mshukuru Sana yule diwani vinginevyo ungekuwa unapika na kutandika muda huu
Hoja yangu imekuwa msumari wa moto maana mnakimbiana leo humu bila kujibu hoja.
Hoja yangu imekuwa msumari wa moto maana mnakimbiana leo humu bila kujibu hoja.
Ndg Lucas Mwashambwa anasubiri uteuzi awe mkuu wa wilaya au DASChama changu cha CCM Tayari kipo imara na madhubuti sana na ndio maana kinaendelea kubeba matumaini ya watanzania na kupigiwa kura za ndio katika kila uchaguzi,pamoja na kuendelea kuaminiwa.
Nimeshasema hapa kuwa tubishane kwa hoja na takwimu.weka hoja niweke hoja. Hao wanachama wenu mamilioni mnaosemaga mnao wapo wapi? Wamejificha wapi?
Wewe huoni wananchi kupigika wa kulaumiwa ni serikali ya CCM iliyopo madaraka na sio Chadema? Kama watu wanapata mlo mmoja kwa siku watapata wapi hela ya kuchangia? 🤔CHADEMA mmeshapuuzwa na Watanzania na ndio maana unaona hata michango inakwenda kwa kuchechemea.
Mimi siandiki hapa kwa ajili ya kutafuta uteuzi,bali naandika UKWELI kuwapa watuNdg Lucas Mwashambwa anasubiri uteuzi awe mkuu wa wilaya au DAS
Mimi siandiki hapa kwa ajili ya kutafuta uteuzi,bali naandika UKWELI kuwapa watuNdg Lucas Mwashambwa anasubiri uteuzi awe mkuu wa wilaya au DAS
Fanya kazi kwa bidii, maarifa na juhudi na kwa kujituma pasipo kuchagua chagua kazi kwa kusema mimi sijuwi ni msomi au sijuwi kazi ngumu. Wewe fanya kazii yoyote iliyo halali mbele ya sheria na mbele za MunguWewe huoni wananchi kupigika wa kulaumiwa ni serikali ya CCM iliyopo madaraka na sio Chadema? Kama watu wanapata mlo mmoja kwa siku watapata wapi hela ya kuchangia? 🤔
Hivi michango ndio njia sahihi ya kujua idadi ya wafuasi!?Ndugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.
Michago inayoendelea kuchangwa imeonyesha CHADEMA haina wanachama hai hata million moja tu.imeonyesha CHADEMA huwa wanapika takwimu ili kuwapofua macho na akili wafuasi wake kiduchu na wafadhili wao. Sasa kwa sasa tangia michango imeanza kuchangwa kwa ajili ya Lissu, CHADEMA na wana CHADEMA mpaka muda huu wameshindwa kufikisha millioni 30.
Sasa tizama mahesabu haya kutoka kwangu Mwashambwa Lucas kada kindaki Ndaki wa CCM.
Kama CHADEMA ingekuwa na walau wafuasi na wanachama hai hata laki tano Tuuuu yaani 500,000 na kila mwanachama akachanga walau elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia tano keshi. Yaani
500,000×1000= 500,000,000/=
je pesa hizi zisingetosha kununua gari analolitaka Lissu na chenji kubaki??
Kama CHADEMA ingekuwa na wafuasi Million moja na kila mtu akachanga walau shilingi mia tano maana yake ni kuwa bado Lissu angepata millioni mia tano keshi.
Sasa hao mamilioni ya wanachama ambao CHADEMA huwa inasema inao wengi kuliko wana CCM wapo wapi? Wamejificha wapi? Hawajaona na kusikia kuwa Lissu anahitaji na kuomba walau hata miatano tu? Ikumbukwe kuwa CHADEMA huwa wanasema wana wanachama zaidi ya millioni kumi.
Sasa kama kati ya wanachama zaidi ya milioni kumi wanashindikana kupatikana hata wanachama laki tano tu wa kuchangia elfu moja tu ili kupata million mia tano.je hamuoni kuwa chama hiki kinapika takwimu mara nyingi?
Hata zile kura alizopata Hayati Lowassa mwaka 2015,zilitokana na mgawanyiko uliotoka ndani ya CCM katika upatikanaji wa mgombea Urais. Hata katika ngazi ya ubunge mahali popote pale wanapopata ubunge CHADEMA huwa ni kura za wana CCM wenzetu wanaokuwa wamegawanyika nakupiga kura za hasira kwa upinzani kama sehemu ya kutoridhishwa wakati mwingine na jina linalokuwa limerejeshwa na vikao vya juu.
Lakini kama sisi sote Wana CCM Pamoja na mashabiki wetu na wakereketwa na wanachama kindaki ndanki tukiamua kupigia kura wagombea wetu,nawahakikishia CHADEMA na upinzani wote kuwa hakuna kiti kinachoweza kwenda upinzani kuanzia mwenyekiti wa kitongoji hadi ngazi ya Urais. Upinzani hauwezi kuambulia chochote kile.
Na kwa sasa wale Wana CCM wachache waliokuwa wanapiga kura za hasira kwa upinzani hasa CHADEMA wamejifunza na kujutia makosa yao kwa machozi na maumivu makali sana.wametambua kuwa walikuwa wanajikomesha wenyewe na siyo chama.maana wameona upinzani kazi yao ni kupinga kila kitu na kila jambo pasipo kumpigania mwananchi kwa lolote lile. Kwa hiyo huu mserereko na mteremko waliokuwa wakipata CHADEMA kwa sasa wasahau kabisa kuupata.maana kila mwana CCM amejilia kiapo cha kuipa kura ya ndio CCM Katika kila ngazi ya uchaguzi.
Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. CHADEMA njooni Nataka tubishane kwa hoja na siyo makelele na matusi. Weka hesabu nami niweke hesabu. Weka takwimu nami nishushe nondo za uhakika. Raha ya CCM Ni kubishana kwa hoja na siyo matusi.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CCM ni kusanyiko la watu wajinga haswasisiemu inawenyewe wewechawa piga mapambio tu hilo bando fungu la mchicha
Mnaumia sana Lissu akichangiwa na WaTanzania wema kwaa akili yako ndogo unafikiri hiyo michango ni wanachama wa Chadema
Akili za kuvunja chawa jamaa
Huyo ni PS unategemea awe na reasoning ya maana?Hivi michango ndio njia sahihi ya kujua idadi ya wafuasi!?
Je kama wanachama wengine hawakuona umuhimu wa kuchanga!?
Mbona hii ni poor reasoning kabisa!?
Kazi unazosemea zinahitaji sera nzuri za kiuchumi zitakazowezesha mzunguko stahiki wa pesa nyambafu wewe.Fanya kazi kwa bidii, maarifa na juhudi na kwa kujituma pasipo kuchagua chagua kazi kwa kusema mimi sijuwi ni msomi au sijuwi kazi ngumu. Wewe fanya kazii yoyote iliyo halali mbele ya sheria na mbele za Mungu
Nani kakudanganya? ni mama mwenye watoto watatuSema wewe jamaa ungekuwa mwanamke ungeishajiuza sana mwili wako kwa mabosi wa CCM ili wakupenyeze..bahati mbaya ni mwanaume sababu kuna kitu unakitafuta kwa nguvu sana kupitiliza bahati mbaya hawakuoni unaotamani wakuone...
Ni aibu sana kwa mwanaume kuwa hivi
Kwani hamasa imefika kwa wanachama wote?Chadema wanajimaliza wenyewe bila kutumia nguvu nyingi. Tayari wameudhihirishia uma kwamba wana wanachama wasiozidi elfu 10 nchi nzima