4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Inawezekana sio mzima kichwani aisee,kama upo na familia basi imepata baba wa familia wa hovyo kutokeaCCM Inaendelea kukubalika tu kila sehemu na kwa kila kundi .huku CHADEMA ikiendelea kudhoofika tu kila uchwao .
kwanini nikomenti kingine afu kiandikwe kingineAcha uzushi wako wewe.
Yule Askari Magereza Wa Ukonga Kuhusu Kikokotoo Ndiyo Serikali Imevuliwa NguoChawa kama hawa utakuta hata NSSF hana yeye ni Mapambio tuu ukiwa muhanga wa KIKOKOTOO huwezi hata sikumoja kusujudia hawa watu
Kinachohitajika hapa ni majibu ya hoja na siyo hayo mashairi yasiyo na vina Wala mizani wala mpangilio.acha Makele na mayowe yako hapa.jibu hoja kwa hoja.Hivi wewe ni mwanaume uliyekamirika kweli🤔.
Mbona kama shangingi hivi.
Chadema isikukoseshe Raha,Kwa maana wewe si lolote si chochote katika siasa za Nchi hii.
Hivi unateseka ukiwa wapi!.
Tafuta maisha mkuu, Kamwulize Pasco Mayalla juu ya sifia sifia.
Unaboa kiukweli, unajua wananchi tangu uhuru kilio chao ni nini
Katika wajinga we ni mmoja wao.Kumbuka ujinga sio tusi.
Siasa usikufanye kuwa juha,kutwakuchwa Chadema.
Jikite na ya chama chako pendwa.
Povu la nn,ya Lisu na michango Yao yanakuhusu nn.
Katika michango ile,usijekita hata wa baba yako,mama yako,ndugu zako imo mule.
Nenda kwenye ofisi zao ukaulize maana mimi sio msemaji wa cdm.Embu nijibu jibu fupi hapa je CHADEMA ina wanachama hai wangapi?
Kwa vipato gani walivyonavyo? Kama juzi ulikuwa unajiliza kwa watu kutokulipa kodi ambazo ziko kisheria, ndio itakuwa hizo za hiyari? Unakwama wapi chawa?Tantalila,Kwa hiyo hao wanaojaa kwenye Mafuriko yenu Wameshindwa kutoa hata jero Kwa kamanda wao? 😆😆😆😆😆😆😆
Dah vijana tuna nn lakiniNipo nae bega kwa bega!
Nilikua sijui kama Lucas anajua hesabu namna hii
Anafaa kua muhasibu wa serikali, kachambua hela mpaka nimebubujikwa na machozi
mlitaka lisu afe akafa mwendazake na lisu anaishi bado mnatamani afe ila hatuwezi pambana na kusudio la MunguCHADEMA Ni majitu maongo maongo sana. Wazee wa kupika takwimu.sasa awamu hii wanaendelea kuumbuka vibaya sana. Nilishawaambia kuwa CHADEMA imepuuzwa na watanzania na hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono wala kuwashabikia.
Bila shaka umekurupuka pasipo kuelewa hoja.Mli
mlitaka lisu afe akafa mwendazake na lisu anaishi bado mnatamani afe ila hatuwezi pambana na kusudio la Mungu
Changeni na ndicho kinachohitajika na siyo mayowe na makelele hapa.Usichokijua hapo ni kuwa,
Unahamasisha Kasi ya kuchangisha mchango uwe wa Kasi zaidi.
Mkishindwa kujibu hoja mnaanza matusi .jibuni hojaLucas Mwashambwa ni hasara kwa taifa na kwa familia bora mama mzazi angetoa mimba kuliko kuleta kiumbe cha hovyo kama hiki
Changia nawe maana wanaochangia ni Watz wote,Changeni na ndicho kinachohitajika na siyo mayowe na makelele hapa.
Kama ni kuwapigia kula sawa..! Lakini wale wanaowapigia kura, ndio hao wanaowachangia mkuuKupiga kula na Kumchangia lisu ni vitu vi2 tofauti. Mm mwenyewe nawapigiaga kula wabunge wa upinzani ila Michango siwezi toa
Kama wao chadema ni mafundi wa kujadili masuala ya vyama vingine, kwa nini chama chao kisijadiliwe?Mambo ya chadema waachie wenyewe!
linapokuja suala la uhalisia hawana wanachama wengi chademaWamejivua nguo hadharani kweupe kabisa. Wanasemaga wana mamilioni ya wanachama lakini hesabu inaonyesha hawana wanachama hata laki tano tu hawafiki. Aibu kubwa sana hii wanayoendelea kuipata CHADEMA. Wanajuta sana kuanzisha mchakato wa kununua gari la Lissu.
CHADEMA ni wapika takwimu ili kuwapofusha akili wafuasi wao kiduchu waliojikatia tamaa.