Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #361
Kaangalie vigezo vilivyowekwa ndio uchungulie gharama zake. Huoni hadi fatuma karume amewashangaa kwa kutaka kununua gari la kifahari na la anasa kwa mtu ambaye anasema mtetezi wa wanyonge na kila siku anapinga magari ya serikali ya kifahari? Huoni huo ni unafiki na undumila kuwili?..kwani imeshaamuliwa gari gani anatakiwa kupatiwa?
βπΏKwa hiyo mmegoma kumchangia bosi wenu mpaka michango iingizwe kwenye katiba?
Luca....tulia kidogo......sio wapiga kura wote wana simu za smart....walala hoi wanatumia simu ya kitochi....Kwani michango inachangwa twitter au kupitia simu na benki? Kwani michango inahusu watu wa twitter pekee yake? Mbona unaonyesha udogo wa akili kiasi hicho?
Elli Ndugu yangu mtanzania uliye jaa msongo wa mawazo umefikaje huku? Umepitia njia gani? Wewe si ulisema una Ni ignore? Sasa umeonaje andiko langu wakati ulisema umeni ignore?Wewe ni mpumbavu sana
Mbona Lissu ana wafuasi kwenye twitter yake wengi tu? Ina maana nao hawajaona maombi ya kuchangiwa pesa za kununua gari la kifahari kwa ajili ya mizunguko yake?Luca....tulia kidogo......sio wapiga kura wote wana simu za smart....walala hoi wanatumia simu ya kitochi....
π
Wapo...ila sidhani wote wanapenda kujionyesha kama wametoa, wengine ni wa upande wa pili, wanatoa kimya kimya π πMbona Lissu ana wafuasi kwenye twitter yake wengi tu? Ina maana nao hawajaona maombi ya kuchangiwa pesa za kununua gari la kifahari kwa ajili ya mizunguko yake?
Hakuna serikali inayogawa pesa kwa wananchi wake mahali popote pale hapa Duniani. Kazi ya serikali ni kukuwekea mazingira wezeshi wewe mwananchi kujikwamua kiuchumi kwa kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi. Kazi ambayo serikali ya CCM imeifanya kwa ukamilifu mkubwa sana.Simply watu wachache kujitokeza kumchangia Lissu ni kwasababu ya hali ngumu ya maisha waliyoletewa na serikali ya CCM, kama watanzania wengi mijini wanashindia mihogo hizo pesa za kumchangia Lissu watazipata wapi badala ya kulisha familia zao...
Tatizo sio la watanzania, tatizo ni wale wanaowalimbikizia watanzania kodi na tozo mpya kila siku zinazozidi kummaliza kiuchumi.
Wangekuwa wametoa kiasi cha pesa na idadi ya watoaji ingeonyesha hivyo. Lakini pia mtu anaweza kwenda kutuma pesa kupitia kwa wakala tu na asifahamike. Lakini kinachoonekana mpaka sasa ni kuwa wafu wamegoma kununua V8 ya lissu.Wapo...ila sidhani wote wanapenda kujionyesha kama wametoa, wengine ni wa upande wa pili, wanatoa kimya kimya π π
Acha ushetani wako hapa.We ukitaka kujua watu hawampendi mama yako ngoja Aumwe,na saivi simsikii kabisaa yupo wapi?
Hiyo ni hisia yako tu, πWangekuwa wametoa kiasi cha pesa na idadi ya watoaji ingeonyesha hivyo. Lakini pia mtu anaweza kwenda kutuma pesa kupitia kwa wakala tu na asifahamike. Lakini kinachoonekana mpaka sasa ni kuwa wafu wamegoma kununua V8 ya lissu.
Shetani Sisi tupo hapa wa omba dua mbaya kama wew unavyoomba kwa Viongozi wetu na kuwakashfu kila siku na hivi ni mzee na uzito unaongezeka sana.Acha ushetani wako hapa.
Aliishaungwa mkono mliouvunja kwa risasi aungwe mkono mara ngapiAliyekwambia Lisu anataka Kuungwa mkono nani?,Mkono wa Lisu umekatika tangu lini?,Lisu alikwambia wafuasi wake ni Madkari wanaoweza kumuunga mkono uliovunjika?
Kama kuandika Kiswahili fasaha huwezi!,Hivi unao uwezo wa kunielewa kweli nikiamua kuandika hoja?
CHADEMA wamepeleka ujumbe kwa Lissu kuwa aache kudeka deka hapa.Hiyo ni hisia yako tu, π
Kwani michango inachangwa twitter au kupitia simu na benki? Kwani michango inahusu watu wa twitter pekee yake? Mbona unaonyesha udogo wa akili kiasi hicho?
Kweli kabx naunga mkono hojaNdugu yangu unashangaza saana,, unaweza pelekea watu wakutukane kwa fikila zako hizo
Unaweza twambia niwangapi wanatumia simi janja wapeta hizo habari pia waweza twambia
Kila mtu anaweza changia ikiwa tu asilimia kubwa ya wa Tz wanaishi chini ya dollar moja JE unajua kama kupiga kura ni Bure au kuna uhusiano kati ya kura na kuchangia pesa ebu acha UCHAWA ongea reality.
Yab
Luca ........ Anakukera sana.πCHADEMA wamepeleka ujumbe kwa Lissu kuwa aache kudeka deka hapa.
Luca niazime laki bas babaNapata raha sana nikiona comments zako. Moyo Wangu unachanua kwa furaha utafikiri maua ya bustani ya kitalii.