Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

..kwani imeshaamuliwa gari gani anatakiwa kupatiwa?
Kaangalie vigezo vilivyowekwa ndio uchungulie gharama zake. Huoni hadi fatuma karume amewashangaa kwa kutaka kununua gari la kifahari na la anasa kwa mtu ambaye anasema mtetezi wa wanyonge na kila siku anapinga magari ya serikali ya kifahari? Huoni huo ni unafiki na undumila kuwili?

Lengo limewekwa kuwa zipatikane millioni mia tatu yaani 300. Sasa kuna sababu gani ya kumnunulia Lissu gari la bei hiyo?
 
Kwa hiyo mmegoma kumchangia bosi wenu mpaka michango iingizwe kwenye katiba?
☝🏿
Inawezekana kabisa ndicho wanachokitaka.

Wakati wa Maridhianao,
CHADEMA walidai Katiba Mpya.

Itoshe, walitaka kiitwe "chama kikuu".... eti, CCM wakitaja CHADEMA watamke 'Chama kikuu cha Upinzani' kitu ambacho CCM ilikataa kwenye Maridhiano.

Sasa sishangai sana wakitaka michango kwa Tundu Laigwanan Lissu, iingizwe kwenye Katiba😅 iitwe michango ya Lissu!

🐒
 
Wewe ni mpumbavu sana
Elli Ndugu yangu mtanzania uliye jaa msongo wa mawazo umefikaje huku? Umepitia njia gani? Wewe si ulisema una Ni ignore? Sasa umeonaje andiko langu wakati ulisema umeni ignore?

cc ephen

ephen
 
Luca....tulia kidogo......sio wapiga kura wote wana simu za smart....walala hoi wanatumia simu ya kitochi....
😀
Mbona Lissu ana wafuasi kwenye twitter yake wengi tu? Ina maana nao hawajaona maombi ya kuchangiwa pesa za kununua gari la kifahari kwa ajili ya mizunguko yake?
 
Simply watu wachache kujitokeza kumchangia Lissu ni kwasababu ya hali ngumu ya maisha waliyoletewa na serikali ya CCM.

Kama watanzania wengi mijini wanashindia mihogo gharama za maisha zikipanda kila siku, huku mkiwadanganya kwa kuwaongezea 5000 kwenye mishahara yao, hizo pesa za kumchangia Lissu watazipata wapi badala ya kulisha familia zao?

Tatizo sio la watanzania, tatizo ni wale wanaowalimbikizia watanzania kodi na tozo mpya kila siku zinazozidi kummaliza kiuchumi.
 
Mbona Lissu ana wafuasi kwenye twitter yake wengi tu? Ina maana nao hawajaona maombi ya kuchangiwa pesa za kununua gari la kifahari kwa ajili ya mizunguko yake?
Wapo...ila sidhani wote wanapenda kujionyesha kama wametoa, wengine ni wa upande wa pili, wanatoa kimya kimya 😀 😀
 
Simply watu wachache kujitokeza kumchangia Lissu ni kwasababu ya hali ngumu ya maisha waliyoletewa na serikali ya CCM, kama watanzania wengi mijini wanashindia mihogo hizo pesa za kumchangia Lissu watazipata wapi badala ya kulisha familia zao...

Tatizo sio la watanzania, tatizo ni wale wanaowalimbikizia watanzania kodi na tozo mpya kila siku zinazozidi kummaliza kiuchumi.
Hakuna serikali inayogawa pesa kwa wananchi wake mahali popote pale hapa Duniani. Kazi ya serikali ni kukuwekea mazingira wezeshi wewe mwananchi kujikwamua kiuchumi kwa kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi. Kazi ambayo serikali ya CCM imeifanya kwa ukamilifu mkubwa sana.
 
We ukitaka kujua watu hawampendi mama yako ngoja Aumwe,na saivi simsikii kabisaa yupo wapi?
 
Wapo...ila sidhani wote wanapenda kujionyesha kama wametoa, wengine ni wa upande wa pili, wanatoa kimya kimya 😀 😀
Wangekuwa wametoa kiasi cha pesa na idadi ya watoaji ingeonyesha hivyo. Lakini pia mtu anaweza kwenda kutuma pesa kupitia kwa wakala tu na asifahamike. Lakini kinachoonekana mpaka sasa ni kuwa wafu wamegoma kununua V8 ya lissu.
 
Aliyekwambia Lisu anataka Kuungwa mkono nani?,Mkono wa Lisu umekatika tangu lini?,Lisu alikwambia wafuasi wake ni Madkari wanaoweza kumuunga mkono uliovunjika?

Kama kuandika Kiswahili fasaha huwezi!,Hivi unao uwezo wa kunielewa kweli nikiamua kuandika hoja?
Aliishaungwa mkono mliouvunja kwa risasi aungwe mkono mara ngapi
 
Wewe si mwana Chadema ni mpotoshaji,kuna neno baya ningekwambia ila niko kwenye sala.
 
Kwani michango inachangwa twitter au kupitia simu na benki? Kwani michango inahusu watu wa twitter pekee yake? Mbona unaonyesha udogo wa akili kiasi hicho?
Ndugu yangu unashangaza saana,, unaweza pelekea watu wakutukane kwa fikila zako hizo

Unaweza twambia niwangapi wanatumia simi janja wapeta hizo habari pia waweza twambia
Kila mtu anaweza changia ikiwa tu asilimia kubwa ya wa Tz wanaishi chini ya dollar moja JE unajua kama kupiga kura ni Bure au kuna uhusiano kati ya kura na kuchangia pesa ebu acha UCHAWA ongea reality.


Yab
Kweli kabx naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom