Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #361
Kaangalie vigezo vilivyowekwa ndio uchungulie gharama zake. Huoni hadi fatuma karume amewashangaa kwa kutaka kununua gari la kifahari na la anasa kwa mtu ambaye anasema mtetezi wa wanyonge na kila siku anapinga magari ya serikali ya kifahari? Huoni huo ni unafiki na undumila kuwili?..kwani imeshaamuliwa gari gani anatakiwa kupatiwa?
Lengo limewekwa kuwa zipatikane millioni mia tatu yaani 300. Sasa kuna sababu gani ya kumnunulia Lissu gari la bei hiyo?