Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

sisiemu inawenyewe wewechawa piga mapambio tu hilo bando fungu la mchicha

Mnaumia sana Lissu akichangiwa na WaTanzania wema kwaa akili yako ndogo unafikiri hiyo michango ni wanachama wa Chadema
Akili za kuvunja chawa jamaa
kwan chadema wengine wamegoma kuchangia au hawana hela?🐒
 
awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea 🐒
Hoja yangu imewakaba koo na kuwanyima pumzi.ndio maana unaona wanatukana matusi tu kama wamechanganyikiwa vile.maana hawana majibu.wamepigwa na nyundo nzito sana kichwani mwao mpa akili zimewaruka.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.

Michago inayoendelea kuchangwa imeonyesha CHADEMA haina wanachama hai hata million moja tu.imeonyesha CHADEMA huwa wanapika takwimu ili kuwapofua macho na akili wafuasi wake kiduchu na wafadhili wao. Sasa kwa sasa tangia michango imeanza kuchangwa kwa ajili ya Lissu, CHADEMA na wana CHADEMA mpaka muda huu wameshindwa kufikisha millioni 30.

Sasa tizama mahesabu haya kutoka kwangu Mwashambwa Lucas kada kindaki Ndaki wa CCM.

Kama CHADEMA ingekuwa na walau wafuasi na wanachama hai hata laki tano Tuuuu yaani 500,000/=, na kila mwanachama akachanga walau elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia tano keshi. Yaani

500,000×1000= 500,000,000/=

je pesa hizi zisingetosha kununua gari analolitaka Lissu na chenji kubaki??

Kama CHADEMA ingekuwa na wafuasi Million moja na kila mtu akachanga walau shilingi mia tano maana yake ni kuwa bado Lissu angepata millioni mia tano keshi.

Sasa hao mamilioni ya wanachama ambao CHADEMA huwa inasema inao wengi kuliko wana CCM wapo wapi? Wamejificha wapi? Hawajaona na kusikia kuwa Lissu anahitaji na kuomba walau hata miatano tu? Ikumbukwe kuwa CHADEMA huwa wanasema wana wanachama zaidi ya millioni kumi.

Sasa kama kati ya wanachama zaidi ya milioni kumi wanashindikana kupatikana hata wanachama laki tano tu wa kuchangia elfu moja tu ili kupata million mia tano.je hamuoni kuwa chama hiki kinapika takwimu mara nyingi?

Hata zile kura alizopata Hayati Lowassa mwaka 2015,zilitokana na mgawanyiko uliotoka ndani ya CCM katika upatikanaji wa mgombea Urais. Hata katika ngazi ya ubunge mahali popote pale wanapopata ubunge CHADEMA huwa ni kura za wana CCM wenzetu wanaokuwa wamegawanyika nakupiga kura za hasira kwa upinzani kama sehemu ya kutoridhishwa wakati mwingine na jina linalokuwa limerejeshwa na vikao vya juu.

Lakini kama sisi sote Wana CCM Pamoja na mashabiki wetu na wakereketwa na wanachama kindaki ndanki tukiamua kupigia kura wagombea wetu,nawahakikishia CHADEMA na upinzani wote kuwa hakuna kiti kinachoweza kwenda upinzani kuanzia mwenyekiti wa kitongoji hadi ngazi ya Urais. Upinzani hauwezi kuambulia chochote kile.

Na kwa sasa wale Wana CCM wachache waliokuwa wanapiga kura za hasira kwa upinzani hasa CHADEMA wamejifunza na kujutia makosa yao kwa machozi na maumivu makali sana.wametambua kuwa walikuwa wanajikomesha wenyewe na siyo chama.maana wameona upinzani kazi yao ni kupinga kila kitu na kila jambo pasipo kumpigania mwananchi kwa lolote lile. Kwa hiyo huu mserereko na mteremko waliokuwa wakipata CHADEMA kwa sasa wasahau kabisa kuupata.maana kila mwana CCM amejilia kiapo cha kuipa kura ya ndio CCM Katika kila ngazi ya uchaguzi.

Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. CHADEMA njooni Nataka tubishane kwa hoja na siyo makelele na matusi. Weka hesabu nami niweke hesabu. Weka takwimu nami nishushe nondo za uhakika. Raha ya CCM Ni kubishana kwa hoja na siyo matusi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa kweli hata Mimi nimeshangaa yaani kukigamba kote mitandaoni,kutembeza bakuli mtaani na mitandaoni Hadi Nje ya Nchi eti Hadi Sasa akaunti.ina mili.16 tuu 😁😁😁

Ni wazi watu washamuona ni miyeyusho na asiye na Shukrani, kwenye mikutano wanakuja kumshangaa yeye anajiona kapata wafuasi 🤣🤣
 
Aliyekwambia wanaochangia ni wanachama wa chadema tu ni nani? Maharage wewe
 
Ni wafuasi wa mbowe hawataki lissu apate gari ila kwa kuwa umewashtua watachanga kwa hasira ili wakukomoe!
 
Kwa kweli hata Mimi nimeshangaa yaani kukigamba kote mitandaoni,kutembeza bakuli mtaani na mitandaoni Hadi Nje ya Nchi eti Hadi Sasa akaunti.ina mili.16 tuu 😁😁😁

Ni wazi watu washamuona ni miyeyusho na asiye na Shukrani, kwenye mikutano wanakuja kumshangaa yeye anajiona kapata wafuasi 🤣🤣
😃😃😃😃 CHADEMA ni wapika data na matapeli wa kisiasa.huwa wandanganya kuwapofusha akili wafuasi wao kiduchu walio nao. Sasa saizi wanaumbuka. Wanaomba michango mpapa wanatia huruma ile mbaya.
 
Hoja yangu imewakaba koo na kuwanyima pumzi.ndio maana unaona wanatukana matusi tu kama wamechanganyikiwa vile.maana hawana majibu.wamepigwa na nyundo nzito sana kichwani mwao mpa akili zimewaruka.
Screenshot_20240521-210433.png

Kula chuma hicho
 
Unapata taabu sana wahi kule Dodoma
Mimi nimeweka hoja kwa takwimu safi kabisa na hesabu rahisi sana ambazo ni rahisi kuelewa hata kama wewe ni mbumbumbu wa hesabu. Kwanini CHADEMA huwa mnadanganya watu? Hao mamilioni ya wafuasi wenu wapo wapi ikiwa mnashindwa kuchanga hata buku buki tu hapo mkiwa laki moja tu inapatikana millioni mia moja ndani ya muda mfupi.lakini hata million 30 tu mmeshindwa kufikisha lakini mwili mzima mmejaa jasho la kuomba michango kwa watu.
 
Wamejivua nguo hadharani kweupe kabisa. Wanasemaga wana mamilioni ya wanachama lakini hesabu inaonyesha hawana wanachama hata laki tano tu hawafiki. Aibu kubwa sana hii wanayoendelea kuipata CHADEMA. Wanajuta sana kuanzisha mchakato wa kununua gari la Lissu.

CHADEMA ni wapika takwimu ili kuwapofusha akili wafuasi wao kiduchu waliojikatia tamaa.
Fedha ya michango ya hiyari ndio inayopima idadi ya wanachama? Hao wanachama wake hutoa kura, na sio fedha. Michango ni mambo ya hiyari na hayana mahusiano yoyote na mambo ya idadi ya wanachama.
 
Uzi mzuri. Komredi Lucas Mwashambwa huenda majamaa wana wafuasi wengi ila wamemkataa Lissu na kuamua kumdhalilisha kijanja kuwa hakubaliki. CHADEMA ukishatofautiana na Mbowe tayari safari yako ya kuondoka imewadia. Kama waliweza kuchanga 350m ndani ya masaa ili kuwakomboa viongozi wao wasiende jela hawashindwi kumchangia Lissu. Ni kwamba Lissu kashatofautiana na Sultani Mbowe hivyo hatakiwi. Hili ni anguko la Lissu kisiasa.
 
Kwanini hayana uhusiano? Huyo Lissu si aligombea hadi Urais? Sasa hao wafuasi na wanachama wenu mamilioni ambao huwa mnasema mbao wapo wapi? Inakuwa kama mbgetia hata elfu moja tu kwa watu laki moja ingepatikana millioni mia moja? Sasa katika mamilioni ya wafuasi mnaosemaga mnao imeshindikana kupatikana watu laki moja tu? Tena hadi nje ya nchi? Kweli CHADEMA imepuuzwa sana na watanzania hadi aibu.
 
Endelea kubebeshwa mabango kaka mjinga badala ya kufanya kazi ujipatie kipato chako wewe unaendelea kuzungushwa mitaani na mibango kama wakala wa kusajili Laini za simu.
Uwezi kunishauri mtu uliyezibuliwa mtaro jela mshukuru yule diwani aliyekuchomoa jela vinginevyo ungejiunga na upinde
 
Fedha ya michango ya hiyari ndio inayopima idadi ya wanachama? Hao wanachama wake hutoa kura, na sio fedha. Michango ni mambo ya hiyari na hayana mahusiano yoyote na mambo ya idadi ya wanachama.
Sio tuu idadi ya wanachama Bali kukubalika Kwa Kiongozi wenu.

Huyo Pinga Pinga watu wanamuona ni mgonjwa wa akili hana jema na hawezi kuwa na rafiki mtu wa hivyo 🤣🤣
 
Uzi mzuri. Komredi Lucas Mwashambwa huenda majamaa wana wafuasi wengi ila wamemkataa Lissu na kuamua kumdhalilisha kijanja kuwa hakubaliki. CHADEMA ukishatofautiana na Mbowe tayari safari yako ya kuondoka imewadia. Kama waliweza kuchanga 350m ndani ya masaa ili kuwakomboa viongozi wao wasiende jela hawashindwi kumchangia Lissu. Ni kwamba Lissu kashatofautiana na Sultani Mbowe hivyo hatakiwi. Hili ni anguko la Lissu kisiasa.
Zile za kuwatoa akina Mdee mahabusu kuna hadi ambao siyo wanachadema walichangia ili wabunge wake warejee bungeni na kuendelea kuimarisha ushindani wa kisiasa. Lakini lazima ufahamu kwa sasa chini ya uongozi shupavu,imara na madhubuti wa Rais wetu na Jemedari wetu kipenzi Mama Samia suluhu Hasssan, CHADEMA imeendelea kupuuzwa na kukimbiwa na watanzania.
 
Back
Top Bottom