Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Kwa hiyo unamaanisha kuwa mpaka sasa wanachama wa CHADEMA hawajafikiwa na tangazo na ndio maana michango inachechemea? Kama jibu ni hilo basi wafuasi na wanachama wenu hawapo Tanzania na hawanamsaada wowote kwenu na kuna uwezekano wanaishi ardhini ndio maana hawajui kinachoendelea huku Duniani.na ndio maana michango imekuwa migumu sana kutoka.
Michango ni swala endelevu. Wewe una conclude kama vile ndio imeshaisha tayar. Kuna watu wamejipanga kutoa wakipata muda wa kupitia taratibu za uchangaji.

Pia usisahau pia kuna watu ni wanachama ila hawajaguswa na huu uchangiaji, yaan hawaoni sababu.
 
Mleta mada umekosea ulivyotumia kiasi cha michango iliyochangwa kama ndio kipimo cha kujua wingi [ idadi] ya wanachama wa Chadema.

Iko hivi, CCM ina wanachama wachache lakini mafisadi, hivyo wakiamua jambo lao watatoa mapesa mengi licha ya uchache wao, lakini kwa Chadema wana wanachama wengi tatizo sio mafisadi, wanajipambania kuokoteza mia mia zao kila siku.

Lakini pia, michango mingi inayochangwa kwa manufaa ya viongozi wa CCM mfano kumchukulia form Samia, huwa ni kulazimishana, walimu licha ya vimshahara vyao vidogo huwa mnawakamua bila huruma, lakini michango ya Lissu ni hiari, mwenye kutaka atoe asietaka aache.

Naamini umeiona tofauti hapo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.

Michago inayoendelea kuchangwa imeonyesha CHADEMA haina wanachama hai hata million moja tu.imeonyesha CHADEMA huwa wanapika takwimu ili kuwapofua macho na akili wafuasi wake kiduchu na wafadhili wao. Sasa kwa sasa tangia michango imeanza kuchangwa kwa ajili ya Lissu, CHADEMA na wana CHADEMA mpaka muda huu wameshindwa kufikisha millioni 30.

Sasa tizama mahesabu haya kutoka kwangu Mwashambwa Lucas kada kindaki Ndaki wa CCM.

Kama CHADEMA ingekuwa na walau wafuasi na wanachama hai hata laki tano Tuuuu yaani 500,000 na kila mwanachama akachanga walau elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia tano keshi. Yaani

500,000×1000= 500,000,000/=

je pesa hizi zisingetosha kununua gari analolitaka Lissu na chenji kubaki??

Kama CHADEMA ingekuwa na wafuasi Million moja na kila mtu akachanga walau shilingi mia tano maana yake ni kuwa bado Lissu angepata millioni mia tano keshi.

Sasa hao mamilioni ya wanachama ambao CHADEMA huwa inasema inao wengi kuliko wana CCM wapo wapi? Wamejificha wapi? Hawajaona na kusikia kuwa Lissu anahitaji na kuomba walau hata miatano tu? Ikumbukwe kuwa CHADEMA huwa wanasema wana wanachama zaidi ya millioni kumi.

Sasa kama kati ya wanachama zaidi ya milioni kumi wanashindikana kupatikana hata wanachama laki tano tu wa kuchangia elfu moja tu ili kupata million mia tano.je hamuoni kuwa chama hiki kinapika takwimu mara nyingi?

Hata zile kura alizopata Hayati Lowassa mwaka 2015,zilitokana na mgawanyiko uliotoka ndani ya CCM katika upatikanaji wa mgombea Urais. Hata katika ngazi ya ubunge mahali popote pale wanapopata ubunge CHADEMA huwa ni kura za wana CCM wenzetu wanaokuwa wamegawanyika nakupiga kura za hasira kwa upinzani kama sehemu ya kutoridhishwa wakati mwingine na jina linalokuwa limerejeshwa na vikao vya juu.

Lakini kama sisi sote Wana CCM Pamoja na mashabiki wetu na wakereketwa na wanachama kindaki ndanki tukiamua kupigia kura wagombea wetu,nawahakikishia CHADEMA na upinzani wote kuwa hakuna kiti kinachoweza kwenda upinzani kuanzia mwenyekiti wa kitongoji hadi ngazi ya Urais. Upinzani hauwezi kuambulia chochote kile.

Na kwa sasa wale Wana CCM wachache waliokuwa wanapiga kura za hasira kwa upinzani hasa CHADEMA wamejifunza na kujutia makosa yao kwa machozi na maumivu makali sana.wametambua kuwa walikuwa wanajikomesha wenyewe na siyo chama.maana wameona upinzani kazi yao ni kupinga kila kitu na kila jambo pasipo kumpigania mwananchi kwa lolote lile. Kwa hiyo huu mserereko na mteremko waliokuwa wakipata CHADEMA kwa sasa wasahau kabisa kuupata.maana kila mwana CCM amejilia kiapo cha kuipa kura ya ndio CCM Katika kila ngazi ya uchaguzi.

Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. CHADEMA njooni Nataka tubishane kwa hoja na siyo makelele na matusi. Weka hesabu nami niweke hesabu. Weka takwimu nami nishushe nondo za uhakika. Raha ya CCM Ni kubishana kwa hoja na siyo matusi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Crap from the king of idiocy.
 
Mambo ya chadema waachie wenyewe! Ukiona chadema ni nzuri na unahitaji mabadiliko ktk hiko chama basi chukua kadi kuwa mwanachama

Tulia na chama chako jenga chama chako, kosoa chama chako, kijenge chama chako!

Usingoje makonda aje akosoe ndio nawe utokeshimoni...!

Usingoje mwenyekiti wako aseme ndio nawe useme! Wakati huo akiwa kimya unamsifia ata kama amekosea!

Jenga chama chako, jenga taifa lako!

Chama chako kipo madarakani miaka nenda rejea, kina mapungufu kibao! Paza sauti kujenga nchi na chama

Kemea watendaji wazembe!

******
Wewe atakuwa mtendaji wanyumba kumi hakuna utafanya, ata ile kazi ya Anuani za makazi sijui kama ulifanya kwa ufanisi kwa namna unavyoishi katika hii platform!
Umeongea vizuri mkuu, badala vijana wa ccm kujenga chama chao wapo kujikomba na kulamba viatu ili wapate chochote ,
 
Michango ni swala endelevu. Wewe una conclude kama vile ndio imeshaisha tayar. Kuna watu wamejipanga kutoa wakipata muda wa kupitia taratibu za uchangaji.

Pia usisahau pia kuna watu ni wanachama ila hawajaguswa na huu uchangiaji, yaan hawaoni sababu.
Unafikiri ni Kwanini hao wanachama hawajaguswa na hawaoni sababu ya kuchanga?
 
Hoja yangu imewakaba koo na kuwanyima pumzi.ndio maana unaona wanatukana matusi tu kama wamechanganyikiwa vile.maana hawana majibu.wamepigwa na nyundo nzito sana kichwani mwao mpa akili zimewaruka.
Hakuna hoja elewa izo sh 50,100, 200 n.k na inajulikana namna maisha ya watz yalivyo kwa sasa ,ugum wa maisha plus tozo , kodi lukuki , hata hivyo nawapongeza wanaccm wenye akili, utu wanaoendelea mchangia Mh lissu,

Na haijaanza leo hata wakati ameshambuliwa wapo wanaccm walitoa michango yao hasa wale wenye utu na hofu ya Mungu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.

Michago inayoendelea kuchangwa imeonyesha CHADEMA haina wanachama hai hata million moja tu.imeonyesha CHADEMA huwa wanapika takwimu ili kuwapofua macho na akili wafuasi wake kiduchu na wafadhili wao. Sasa kwa sasa tangia michango imeanza kuchangwa kwa ajili ya Lissu, CHADEMA na wana CHADEMA mpaka muda huu wameshindwa kufikisha millioni 30.

Sasa tizama mahesabu haya kutoka kwangu Mwashambwa Lucas kada kindaki Ndaki wa CCM.

Kama CHADEMA ingekuwa na walau wafuasi na wanachama hai hata laki tano Tuuuu yaani 500,000 na kila mwanachama akachanga walau elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia tano keshi. Yaani

500,000×1000= 500,000,000/=

je pesa hizi zisingetosha kununua gari analolitaka Lissu na chenji kubaki??

Kama CHADEMA ingekuwa na wafuasi Million moja na kila mtu akachanga walau shilingi mia tano maana yake ni kuwa bado Lissu angepata millioni mia tano keshi.

Sasa hao mamilioni ya wanachama ambao CHADEMA huwa inasema inao wengi kuliko wana CCM wapo wapi? Wamejificha wapi? Hawajaona na kusikia kuwa Lissu anahitaji na kuomba walau hata miatano tu? Ikumbukwe kuwa CHADEMA huwa wanasema wana wanachama zaidi ya millioni kumi.

Sasa kama kati ya wanachama zaidi ya milioni kumi wanashindikana kupatikana hata wanachama laki tano tu wa kuchangia elfu moja tu ili kupata million mia tano.je hamuoni kuwa chama hiki kinapika takwimu mara nyingi?

Hata zile kura alizopata Hayati Lowassa mwaka 2015,zilitokana na mgawanyiko uliotoka ndani ya CCM katika upatikanaji wa mgombea Urais. Hata katika ngazi ya ubunge mahali popote pale wanapopata ubunge CHADEMA huwa ni kura za wana CCM wenzetu wanaokuwa wamegawanyika nakupiga kura za hasira kwa upinzani kama sehemu ya kutoridhishwa wakati mwingine na jina linalokuwa limerejeshwa na vikao vya juu.

Lakini kama sisi sote Wana CCM Pamoja na mashabiki wetu na wakereketwa na wanachama kindaki ndanki tukiamua kupigia kura wagombea wetu,nawahakikishia CHADEMA na upinzani wote kuwa hakuna kiti kinachoweza kwenda upinzani kuanzia mwenyekiti wa kitongoji hadi ngazi ya Urais. Upinzani hauwezi kuambulia chochote kile.

Na kwa sasa wale Wana CCM wachache waliokuwa wanapiga kura za hasira kwa upinzani hasa CHADEMA wamejifunza na kujutia makosa yao kwa machozi na maumivu makali sana.wametambua kuwa walikuwa wanajikomesha wenyewe na siyo chama.maana wameona upinzani kazi yao ni kupinga kila kitu na kila jambo pasipo kumpigania mwananchi kwa lolote lile. Kwa hiyo huu mserereko na mteremko waliokuwa wakipata CHADEMA kwa sasa wasahau kabisa kuupata.maana kila mwana CCM amejilia kiapo cha kuipa kura ya ndio CCM Katika kila ngazi ya uchaguzi.

Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. CHADEMA njooni Nataka tubishane kwa hoja na siyo makelele na matusi. Weka hesabu nami niweke hesabu. Weka takwimu nami nishushe nondo za uhakika. Raha ya CCM Ni kubishana kwa hoja na siyo matusi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ili kujua CCM Ina wanachama wazee , ni ngumu ccm kufanya maandamano,kwani wanachama wake hawawezi kutembea km 1.5 kwa miguu.
 
Hakuna hoja elewa izo sh 50,100, 200 n.k na inajulikana namna maisha ya watz yalivyo kwa sasa ,ugum wa maisha plus tozo , kodi lukuki , hata hivyo nawapongeza wanaccm wenye akili, utu wanaoendelea mchangia Mh lissu,

Na haijaanza leo hata wakati ameshambuliwa wapo wanaccm walitoa michango yao hasa wale wenye utu na hofu ya Mungu
Ndio ujuwe kuwa CCM Ni Chama chenye utu na upendo mkubwa sana.
 
Hivi wewe ni mwanaume uliyekamirika kweli🤔.
Mbona kama shangingi hivi.
Chadema isikukoseshe Raha,Kwa maana wewe si lolote si chochote katika siasa za Nchi hii.
Hivi unateseka ukiwa wapi!.

Tafuta maisha mkuu, Kamwulize Pasco Mayalla juu ya sifia sifia.

Unaboa kiukweli, unajua wananchi tangu uhuru kilio chao ni nini

Katika wajinga we ni mmoja wao.Kumbuka ujinga sio tusi.

Siasa usikufanye kuwa juha,kutwakuchwa Chadema.
Jikite na ya chama chako pendwa.

Povu la nn,ya Lisu na michango Yao yanakuhusu nn.

Katika michango ile,usijekita hata wa baba yako,mama yako,ndugu zako imo mule.
 
Ndio ujuwe kuwa CCM Ni Chama chenye utu na upendo mkubwa sana.
Tofautisha chama na mwanachama mwenye utu ndani ya chama hapa hatuzungumzii ccm kama chama tunazungumza mwanachama mmoja mmoja ndani ya ccm wanye tunu ya hofu ya mungu na utu ,acha ukilaza soma elewa na jibu sio kukurupuka
 
Back
Top Bottom