TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

Ahsante Kwakua umeelewa Sina uwezo wa kukuuliza swali lakukukasirisha basi nakuuliza swali mkuu.
JE UNAZO AKILI?
 
Unapopingana na ukweli ndiyo udhaifu wenyewe. Je, wewe hukuzaliwa?

Ni vizuri kwamba umekubali hatutakiwi kuamini vitu tu, tunatakiwa kuhakiki kama tunavyoamini ni vya kweli.

Na ukweli unaujuaje ili ujue hupingani nao?

Mtu akikwambia kuna Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, aliyeweza kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani kutokea popote, halafu Mungu huyo akaamua kuumba ulimwengu ambao ubaya unaweza kutokea, watoto wanakufa kwa njaa, ulimwengu una ma tsunami, matetemeko ya ardhi, magonjwa ya milipuko etc.

Mungu huyu anawanyima watu mabilioni uwezo wa kumjua, halafu anawachoma moto milele na milele.

Wewe unaona huo ni ukweli hapo?

Mimi hata nikikubali nimezaliwa, hilo halithibitishi Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote yupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu huyo yupo?
 
Mku
Mkuu NAOMBA unijibu swali kwanza
Hujaweza kufafanua swali, nitalijibu vipi?

Akili ni nini na unajuaje hii ni akili na hii si akili?

Tuanze na precise definitions kwanza ili tuelewane tusitofautiane kuelewa.

Unapotaka kunipeleka leo nishapita miaka kadhaa iliyopita na wenzako kulikuwa na mjadala mrefu sana kuhusu hilo swali hapa.
 
Mkuu sikupeleki ulipo pelekwa nimeuliza swali TU
 
Mkuu sikupeleki ulipo pelekwa nimeuliza swali TU
Hujauliza swali.

Umeshindwa kuuliza swali.

Nimekuuliza ufafanue ili nikujibu vizuri.

Akili ni nini na unajuaje hii ni akili na hii si akili?

Mpaka sasa hujajibu.
 
Una maana kama mabaya yote ya dunia uliyotaja yasingekuwapo ungekiri kwamba Mungu yupo?

Je wewe unaweza kuthitisha kuwa Mungu hayupo?
 
Hiyo nguvu ni nini?

Una judge hiyo nguvu ni Mungu kabla ya kuijua hiyo nguvu ni nini?

Ukiambiwa hiyo nguvu ni gravity, utasema gravity ni Mungu?
Yah Kama Ni gravity imecoz vyote ndio Ni Mungu
 
Una maana kama mabaya yote ya dunia uliyotaja yasingekuwapo ungekiri kwamba Mungu yupo?

Je wewe unaweza kuthitisha kuwa Mungu hayupo?
Ulimwengu ambao una mabaya unathibitisha Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Ulimwengu usio na mabaya unaweza kuwa kiashiria cha kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, lakini hauthibitishi Mungu bado kuwa Mungu huyo yupo.

Ni kama tuseme tumehakikisha Kiranga leo kavaa shati jekundu.

Tukiweka picha za watu zilizopigwa leo, halafu hakuna mtu aliyevaa shati jekundu, tutajua Kiranga hayupo.

Na tukiweka picha za watu, na kuna watu wamevaa mashati mekundu, hayo mashati mekundu yqnaashiria kwamba inawezekana Kiranga akawa mmoja wa hao waliovaa mashati mekundu.

Lakini hilo pia halithibitishi mtu yeyote aliyevaa shati jekundu ni Kiranga.

Kwa sababu anaweza kuwepo mshabiki wa Simba tu kavaa shati jekundu, wala si Kiranga.

Kwa mara nyingine tena, uwepo wa ulimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Ulimwengu huu uko mutually exclusive na huyo Mungu.

Maananyake, ulimwengu huu ukiweza kuwepo, Mungu huyo hayupo.

Mungu huyo akiwepo, ulimwengu huu hauwezi kuwepo.

Ulimwengu huu upo.

Hivyo Mungu huyo hayupo.

Je, wewe unaweza kuthibitisha Mungu huyo yupo?
 
Tb Joshua amezaliwa Anglican wanabatizwa watoto na ubarikio kuanzia umri wa kumi nakuendelea ,hao wanao dai hawajui ni mahasimu wake tuu :TB Joshua was born in 12th June 1963 in Nigeria in Ondo State which is some 260 kilo meters from Lagos. TB Joshual is a Yoruba born and his full names are Temitope Balogun Joshua. His father kolawole Balogun was educated man who worked as a translator for the British in Nigeria translating Yoruba to English.

TB Joshua attended an Anglican primary school. After school his father and mother took him to live at the house of an Anglican Priest which was at the back of the school.

Growing up he used to read the entire Bible from Genesis to Revelation every 2 months.
 
Duh aisee! naanza kupata mashaka na utimamu wa ufahamu wako. Neno "inawezekana" ni kauli dhaifu sana, sasa povu linakutoka la nini? et huwezi hata kulipinga.
 
Kiranga huwa anafikiri pakubwa sana, namfuatilia sana. Tatizo lake moja tu, kuna wakati hushabikia ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…