Ankazominiotra
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 607
- 379
Nakazia hilo la kuajiri mkurugenzi toka nje ya nchi, japo najua waTz hawatakuelewa wasivyopenda watu wa nje. Wanasahau hatuko kisiwani.Pia ajirini watangazaji warembo wanaovutia jifunzeni hata kwa citizen TV watangazaji wao walivo. Tatizo TBC mna mazoea mno. Ikiwezekana TBC iajiri CEO kutoka nje ya nchi mwenye uzoefu wa mambo ya habari.
Na hao kina grace kingalame kwanini wasipumzike kutangaza yani mvuto zero kabisa
Jiwe gizani kwa JONIIIUtangazaji ni kipaji na sio mavyeti tu..hawashangai clouds media wanaendelea kuwa relevant kwa kiasi fulani kutokana na kuweka watu wenye vipaji na sio tu degree ya mass communication na journalism..
Sehemu ukichajazaa wazee wengi hata ubunifu unakuwa hamna..refer taasisi nyingi za serikali kama Ttcl na nyingine..
CEO wakitanzania aliyewezea alikuwa Tindo Mhando, tukisema tuweke mtanzania asiye mzoefu vingine tuangalie performance haiwezekani TBC inapewa support na serikali lakini inafanya hovyo huo ka si ufisadi nini.Umeongea point lkn CEO awe mtanzania sema sasa iv teknolojia inabadilika sana ivo hao TBC ina wazee ambao hawawez kwendana na kasi ya teknolojia ivo wa ajiri vijana bana ambao wanaenda na wakati na kasi ya teknolojia
Umesahau na ile kuonyesha bombadia kila saa na kuhamia Dodoma, TBC mumezidi kwa kweliAcheni siasa tena zile za upande mmoja. TV station imepoteza mvuto kwasababu ya kukosa ubunifu na kuegemea katika kampeni za chini kwa chini na ziara za kuzindua visima.
Taarifa yenu ya habari haina mvuto,taarifa nzima ni utekelezaji wa ilani ya chama fulani.
Vipindi vinginevyo,navyo havina mvuto hata hamasa ya kutazama. Kila wakati ni "Miaka mitano ya Mkulu",mara "Kutoka Maktaba ya Chama ChaChaMa".
Yani TV station iko kama jukwaa la siasa. Shame on you'.
Kuleta watu wa nje ni wazoefu pia kuleta mawazo mapya ya ubunifu, watafte watu wa kubuni vipindi ikiwezekana watoe ka shindano la watu kubuni vipindi vyenye maudhui kuanzia kila sector inayoendana na wakati. Kuajiri watu hata wa nje au ushirikiano ni kujifunza vtu vipya na kuboresha.Nakazia hilo la kuajiri mkurugenzi toka nje ya nchi, japo najua waTz hawatakuelewa wasivyopenda watu wa nje. Wanasahau hatuko kisiwani.
Ushauri wa maana tena wa bure kabisa.Kuleta watu wa nje ni wazoefu pia kuleta mawazo mapya ya ubunifu, watafte watu wa kubuni vipindi ikiwezekana watoe ka shindano la watu kubuni vipindi vyenye maudhui kuanzia kila sector inayoendana na wakati. Kuajiri watu hata wa nje au ushirikiano ni kujifunza vtu vipya na kuboresha.
Uko sahihi mkuu,ni jambo la kushangaza hili!Umesahau na ile kuonyesha bombadia kila saa na kuhamia Dodoma, TBC mumezidi kwa kweli
TBC inasikitisha yani kah ifungwe kwa mda iboreshwe sio inaonyesha picha kama za enzi ya charlie Chaplin huko, no color at allUshauri wa maana tena wa bure kabisa.
Mazee ndo yamejazana....
Taarifa ya habari utadhani watangazaji wamekaa kuzimu....giza si giza...mazee tuu ndo yanatangaza
emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umemalizaTBC hata mkipewa CNN muiendeshe ndani ya wiki 2 tu itakuwa haina watamazaji.
Muulizeni Tido Mhando alikuwa akifanyaje? Ondoeni upupu wenu humu.
Kama hawataki kubadilika wasichezee kodi zetu bure kwa vipindi hewa, pia nimemshangaa Sam mahela kaenda kule naye kafubaa weledi wote umekwisha au ni zile rangi za ajabu za hyo TV.Uko sahihi mkuu,ni jambo la kushangaza hili!
TV station mwaka mzima inaonesha Bombardier!.
Nawashauri watafute Watangazaji/Wafanyakazi wenye weledi na ubunifu, vinginevyo TBC itabaki kuwa hivyo hivyo ilivyo kwa sasa.
Dah, umesiliba mpaka nimeona aibu kwa niaba yao!TBC inasikitisha yani kah ifungwe kwa mda iboreshwe sio inaonyesha picha kama za enzi ya charlie Chaplin huko, no color at all
Mkuu. Maswali yako yote sijaona lenye tija kulijibu. Niwie radhi.